DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kwani Kuna uhusiano wowote Kati ya kiingereza na usomi??. Ukienda uingereza kwani ambao hawajasoma hawajui kiingereza??. Je vp wahandisi kutoka China ambao hawajui kuongea kiingereza nao pia sio wasomi??. Kiingereza ni lugha sio taaluma Sawa mdogo wangu?.Elimu ya Bongo Ni maaajabu sana hivi Mtu unashindwaje kuzungumza lugha ya Kingereza kwa Ufasaha na kuandika.
Yule Rais wa Kanda ya ziwa na yeye alikuwa miongoni Mwao anasema tupo na PhD lakini hata kuongea sentensi moja ya Kingereza alikuwa hawezi.
Mtu ukijiita Msomi hakikisha unajua kuongea na kuandika fluently kizungu.
Hatuitaji degrees za chupi.
Mbona alikuwa akiongea kingereza bana, we are dona kantre?Elimu ya Bongo Ni maaajabu sana hivi Mtu unashindwaje kuzungumza lugha ya Kingereza kwa Ufasaha na kuandika.
Yule Rais wa Kanda ya ziwa na yeye alikuwa miongoni Mwao anasema tupo na PhD lakini hata kuongea sentensi moja ya Kingereza alikuwa hawezi.
Mtu ukijiita Msomi hakikisha unajua kuongea na kuandika fluently kizungu.
Hatuitaji degrees za chupi.
Kama wa PhD kilimpa shida na waziri wa elimu wazamani kilimshinda tena ni Prof kabise, sembuse sie tuliosomea shule za St kayumbaElimu ya Bongo Ni maaajabu sana hivi Mtu unashindwaje kuzungumza lugha ya Kingereza kwa Ufasaha na kuandika.
Yule Rais wa Kanda ya ziwa na yeye alikuwa miongoni Mwao anasema tupo na PhD lakini hata kuongea sentensi moja ya Kingereza alikuwa hawezi.
Mtu ukijiita Msomi hakikisha unajua kuongea na kuandika fluently kizungu.
Hatuitaji degrees za chupi.
Hao Wachina wanasoma higher education kwa lugha ya kiingereza???Kwani Kuna uhusiano wowote Kati ya kiingereza na usomi??. Ukienda uingereza kwani ambao hawajasoma hawajui kiingereza??. Je vp wahandisi kutoka China ambao hawajui kuongea kiingereza nao pia sio wasomi??. Kiingereza ni lugha sio taaluma Sawa mdogo wangu?.
Kwani Kuna uhusiano wowote Kati ya kiingereza na usomi??. Ukienda uingereza kwani ambao hawajasoma hawajui kiingereza??. Je vp wahandisi kutoka China ambao hawajui kuongea kiingereza nao pia sio wasomi??. Kiingereza ni lugha sio taaluma Sawa mdogo wangu?.
Kwa hiyo hoja yako hasa ni niniElimu ya Bongo Ni maaajabu sana hivi Mtu unashindwaje kuzungumza lugha ya Kingereza kwa Ufasaha na kuandika.
Yule Rais wa Kanda ya ziwa na yeye alikuwa miongoni Mwao anasema tupo na PhD lakini hata kuongea sentensi moja ya Kingereza alikuwa hawezi.
Mtu ukijiita Msomi hakikisha unajua kuongea na kuandika fluently kizungu.
Hatuitaji degrees za chupi.
kulingana na ID yake....majitu ya huko yanapenda sana KUJIVUNA....kwahiyo bora LIPUUZWE tu.Uzi wa kijinga sana
Elimu ya Bongo Ni maaajabu sana hivi Mtu unashindwaje kuzungumza lugha ya Kingereza kwa Ufasaha na kuandika.
Yule Rais wa Kanda ya ziwa na yeye alikuwa miongoni Mwao anasema tupo na PhD lakini hata kuongea sentensi moja ya Kingereza alikuwa hawezi.
Mtu ukijiita Msomi hakikisha unajua kuongea na kuandika fluently kizungu.
Ilitakiwa uandike kwa lugha ya malkia, mkuu
Papai lingine ili
Linadhani kuongea English ndo elimu
Stupid
Wachina waliosoma kiingereza wanakijua vizuri sana angalia Chanel zao !!! Sisi tumekisoma na hatukijui huo ndio ukweli achen ubishi wa kijingaHao Wachina wanasoma higher education kwa lugha ya kiingereza???