Kwanza nitoe pongezi ziende Kwa wazazi wote pastor John shusho na Christina shusho Katika sherehe ya kumuaga binti Yao wa kwanza .. swali hivi wazazi wakitengana nani ana haki ya kusimamia shughuli za kumuoza Binti na je vipi kuhusu kuwapa nafasi ndugu wa pande zote... Mimi naona Kuna haha ya wazazi kutowahusisha watoto kwenye maugomvi yao