- Thread starter
- #21
Bahati mbaya sana shusho mchoyo ameshindwa kurithisha beauty Kwa wanae wote yawezekana kweli hakumpenda Mzee shusho ndo maana kakataa hata kujizaa.. Kwa mantiki hiyo binti atatulia kwenye ndoa maana Hana uzuriMtoto sura ya baba,pamoja na kupaka makeup lkn kakomaa,limama lake lizuri kinoma!