Hana mengi ya kusema zaidi ya kupata stress ya kuitwa bibi soonWanajikaza hivohivo kama wazazi shughuli iende.ikiisha Kila mtu kwaheri.
Btw Cristina alimuhusia Nini Binti yake hapo?
Ni mbaya mno aisee watoto wakubwa Hadi wa kuolewa alafu mama ameamua kudangaNi mtoto husika anakuwa kwenye wakati mgumu tu.
Kuna wimbo wa zamani unaimba;
''wazazi wangu baba na mama mnaniaibisha, kila siku kugombana gombana sio vizurii!, Ee!''
Kinyankulu betabeta...betabetaNi mtoto husika anakuwa kwenye wakati mgumu tu.
Kuna wimbo wa zamani unaimba;
''wazazi wangu baba na mama mnaniaibisha, kila siku kugombana gombana sio vizurii!, Ee!''
Duu muhenga km muhengaNi mtoto husika anakuwa kwenye wakati mgumu tu.
Kuna wimbo wa zamani unaimba;
''wazazi wangu baba na mama mnaniaibisha, kila siku kugombana gombana sio vizurii!, Ee!''
Bi Tina hana cha kumuhusia Binti yakeWanajikaza hivohivo kama wazazi shughuli iende.ikiisha Kila mtu kwaheri.
Btw Cristina alimuhusia Nini Binti yake hapo?
Mkuu, hii ni haki na jukumu la baba mzazi, iwe mmetengana au la. Na kwa sheria za kimila zilizochapwa rasmi na serikali yetu Tanzania zinaelekeza kuwa mahari inatakiwa ipelekwe kwa baba mzazi wa binti.swali hivi wazazi wakitengana nani ana haki ya kusimamia shughuli za kumuoza Binti na je vipi kuhusu kuwapa nafasi ndugu wa pande zote...
Kabila gani hilo?Mkuu, hii ni haki na jukumu la baba mzazi, iwe mmetengana au la. Na kwa sheria za kimila zilizochapwa rasmi na serikali yetu Tanzania zinaelekeza kuwa mahari inatakiwa ipelekwe kwa baba mzazi wa binti.
Na kama baba mzazi hayupo (amekufa) basi baba mkubwa, na kama wote wamekufa basi iende kwa kaka mkubwa kuzaliwa wa huyo muolewaji, na ikiwa hawapo ndio inakuja ujombani sasa.
Una pesa?Hata akiitwa bibi soon lazima nimukule
Nitauza nyumba ya urithi kwa ajili yakeUna pesa?
Mzae na katoto kabisaNitauza nyumba ya urithi kwa ajili yake
Huyo haendi bleed umri umekwendaMzae na katoto kabisa
Shauri Yako ngoja diamond akuwahi..au unaogopa child support?Huyo haendi bleed umri umekwenda
Mtoto sura ya baba,pamoja na kupaka makeup lkn kakomaa,limama lake lizuri kinoma!Binti kaolewa na mimba kubwa tu da Tina hataki hata kumposti bintiye