kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,742
Kuna jamaa yangu amestaafu hivi karibuni. Kanunua Harrier, hajui kuendesha, kuendeshwa Mara moja kwa wiki akienda kanisani, kwenda sokoni kwa mguu! Hivi jamani ni salama kweli hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe jamaa😂😂😂Kila mtu ale kuku wake.
Kwa upande wake ni salama hana presure ni mali yake ila wewe inaonyesha imeweka wivu kabisa huoKuna jamaa yangu amestaafu hivi karibuni. Kanunua Harrier, hajui kuendesha, kuendeshwa Mara moja kwa wiki akienda kanisani, kwenda sokoni kwa mguu! Hivi jamani ni salama kweli hapo?
Anatusumbua kuombaomba lifti. Tunayo!!Kwa upande wake ni salama hana presure ni mali yake ila wewe inaonyesha imeweka wivu kabisa huo
Kuna jamaa yangu amestaafu hivi karibuni. Kanunua Harrier, hajui kuendesha, kuendeshwa Mara moja kwa wiki akienda kanisani, kwenda sokoni kwa mguu! Hivi jamani ni salama kweli hapo?