Hivi inakuaje unanunua gari halafu unalifungia kibandani badala ya kulitumia?

kissa anyigulile

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
1,550
Reaction score
1,742
Kuna jamaa yangu amestaafu hivi karibuni. Kanunua Harrier, hajui kuendesha, kuendeshwa Mara moja kwa wiki akienda kanisani, kwenda sokoni kwa mguu! Hivi jamani ni salama kweli hapo?
 
Labda route zake nyingi za usiku, mchana analipumzisha. Nitashangaa endapo utajua ratiba yake, usiku na mchana.
 
Kama analipaki kwake mbele ya nyumba yake hana neno huyo mzee
 
Kuna jamaa yangu amestaafu hivi karibuni. Kanunua Harrier, hajui kuendesha, kuendeshwa Mara moja kwa wiki akienda kanisani, kwenda sokoni kwa mguu! Hivi jamani ni salama kweli hapo?

Akifa wanalifaidi wengine...akili za kizamani hizo πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…