Hata kama unayo matano si vizuri kuzoea magari hata kwa safari fupifupi.. Kutembea ni mojawapo ya mazoezi bora kabisa ya mwiliKuna jamaa yangu amestaafu hivi karibuni. Kanunua Harrier, hajui kuendesha, kuendeshwa Mara moja kwa wiki akienda kanisani, kwenda sokoni kwa mguu! Hivi jamani ni salama kweli hapo?
Sasa wewe vinakuhusu nini?...nunua lako na wewe uache kukodolea vya watuKuna jamaa yangu amestaafu hivi karibuni. Kanunua Harrier, hajui kuendesha, kuendeshwa Mara moja kwa wiki akienda kanisani, kwenda sokoni kwa mguu! Hivi jamani ni salama kweli hapo?
Una wivu wewe [emoji19]Anatusumbua sana kwa kuombaomba lifti! Tunakosa privacy.
Imagine[emoji848]We nunua lako endesha kila sehemu.
Binadamu tutaacha lini kutaka binadamu wengine wafanye tunayoyataka?
[emoji23]Labda route zake nyingi za usiku, mchana analipumzisha. Nitashangaa endapo utajua ratiba yake, usiku na mchana.
Yaan kijiroho kimeuma kabisaKwa upande wake ni salama hana presure ni mali yake ila wewe inaonyesha imeweka wivu kabisa huo
Kimfaacho mtu chake mzeeKuna jamaa yangu amestaafu hivi karibuni. Kanunua Harrier, hajui kuendesha, kuendeshwa Mara moja kwa wiki akienda kanisani, kwenda sokoni kwa mguu! Hivi jamani ni salama kweli hapo?
Huyo atakuwa alikuwa afisa mwandamizi alizoea kuendeshwa na pia siyo mtu wa misifa,nadhani siyo mtu wa lake zone huyo,atakuwa labda ni mkinga,maana hawa watu wako low profile.Otherwise namuona akiishi miaka mingine mingi sana yenye furaha baada ya kustaafu.Hasa ukizingatia ni mtu wa Ibada Maana hapo akina Manka wameshayakosa mafao yake,maana ni watalaamu sana wa kutumia mafao ya wastaafu halafu mafao yakikata unatolewa mkuku,unarudi zako kwa Bi-mkubwa kuuguzwa kabla ya kufa.Kuna jamaa yangu amestaafu hivi karibuni. Kanunua Harrier, hajui kuendesha, kuendeshwa Mara moja kwa wiki akienda kanisani, kwenda sokoni kwa mguu! Hivi jamani ni salama kweli hapo?
Ninalo, Mimi ni mtu mpenda kutalii. Nisipoendesha gari zaidi ya siku mbili, nahisi kumisi kitu fulani. Kuendesha gari kuna raha yake. Waulize wenye nayo!Una wivu wewe [emoji19]
Sasa hiyo ni wewe.Ninalo, Mimi ni mtu mpenda kutalii. Nisipoendesha gari zaidi ya siku mbili, nahisi kumisi kitu fulani. Kuendesha gari kuna raha yake. Waulize wenye nayo!
Mkuu wanyakyusa wote mpo hivi kwa tabia...?Ninalo, Mimi ni mtu mpenda kutalii. Nisipoendesha gari zaidi ya siku mbili, nahisi kumisi kitu fulani. Kuendesha gari kuna raha yake. Waulize wenye nayo!
Umejuaje? Wanyakyusa ndivyo walivyo! Wanapenda sana kuona wastaafu wanarudi wachovuu halafu wanakuwa waleviwalevi wa pombe! Basi hapo roho zao zinakuwa kwatu!Mkuu wanyakyusa wote mpo hivi kwa tabia...?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni salama sana. Hana mambo mengi na ataishi muda mrefu Inshaallah.
Na angepiga ruti nyingi za kula bata ungemlaumu.
Jamani hadi wazee mnafuatiliana kama kina mwijaku na Lokole[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu wanadai mzunguko wa hela ulipungua!Daah bongo kiboko mtu kanunua gari lake unaenda kulichungulia kama leo limetoka au laa mpaka unakuja kuanzisha Uzi..