Tusipopinga huu udikteta watanzania tutajuta sana miaka 5 ijayo.Kamwe mtoto hawezi kumpiga baba kibao cha uso[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusipopinga huu udikteta watanzania tutajuta sana miaka 5 ijayo.Kamwe mtoto hawezi kumpiga baba kibao cha uso[emoji3]
kipara kipyaNenda ukashtaki kwa msajili wa vyama sio jukwaani!
nahata ikatokea itakuwa ni bahati mbaya labda wakati wa ajali au maigizo ya kina ray kigosi inawezekanaKamwe mtoto hawezi kumpiga baba kibao cha uso[emoji3]
tunahakikisha tu sio magoli pekeyake pamoja na chenga twawala..tunaiga kotekote kakaDaudi Mchambuzi
Hao CCM wanaojitapa kuwa wamewafanyia mambo mengi sana mazuri wananchi, kwa hiyo hawaogopi wapinzani katika uchaguzi mkuu ujao.........
Hivi kama mna uhakika wa kupata ushindi mkubwa kiasi hiko, mna haja gani ya kufanya figisu figisu hizi zote, zinazoongozwa na Jeshi letu la Polisi?
Daudi Mchambuzi

vijana wa ufipa mna tatizo kubwa sana,wewe hapo ulipo Lissu au Mdee akisema kitu hata kwa asilimia mia ni cha uongo na kutunga bado utatetea bila aibu bila kujali ubaya wa ule uzushi je wewe tukuiteje!kipara kipya
Wewe ambaye umejiunga katika ile "Praise & worship team for Magufuli" kwa kila analolifanya, hata liwe baya kiasi gani, ni vyema na wewe ukatambua kuwa kilio na kusaga meno kwetu sote watanzania, bila kujali Itikadi zetu za kisiasa zitakuwa kubwa mno!
Na wewe wakati huo uta-realize kuwa imekuwa too late, kuweza kukemea tena!
Hapo sasa ndipo utagundua unafiki wa hali ya juu kwa Kiongozi Mkuu wa ccm alipotoa tamko la kuwakemea Wanausalama wa Mkoa wa Arusha. Eti alikuwa hajawatuma kwenda kutenda waliokuwa wakiyatenda.Lakini lazima watekeleze majukumu yao kwa mujibu wa viapo vyao.
Viapo vyao vinawataka wao wasijuhusishe na mambo ya siasa na jukumu lao kubwa liwe kulinda usalama wa raia na Mali zao na wawe "fair" katika utekelezaji wa majukumu yao.
Wajiulize hao Polisi wetu, hivi ni kweli wanatekeleza majukumu yao kwa mujibu wa viapo vyao au wamejitumbukiza kwenye ulingo wa kisiasa, wakijiegemeza kwa upande wa CCM?
Ninachokataa Mimi ni kwa Jeshi la Polisi kutumika kwa ajili ya kulinda utawala huu wa mabavuWewe ungekuwa polisi ungeweza kumkamata Waziri mkuu au Rais kwa hicho unachokiita kufanya kampeni kabla ya wakati?
Pili, unawezaji kutenganisha CCM na serikali, au Rais na mwenyekiti wa CCM? Mbona matatizo yakitokea mnasema ni CCM kisa tu serikali inaongozwa na CCM?
Potelea mbali kiapo. Hawawezi kuuma mkono unaowalisha. Tumefika pabaya. Nani atabadili hali hii?Lakini lazima watekeleze majukumu yao kwa mujibu wa viapo vyao.