Alakara Armamasitai
JF-Expert Member
- Feb 4, 2011
- 481
- 133
Kipi ni cha dhamani Maslahi au Kiapo? Ukinijibu utakuwa umeshapata jibu kuwa kanini wanafanya hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama waliapa kabla ya kuanza kazi hiyo ya upolisi, kuwa watakuwa "fair" kwa wananchi wao, itabidi watekeleze hicho kiapo chao.............Kipi ni cha dhamani Maslahi au Kiapo? Ukinijibu utakuwa umeshapata jibu kuwa kanini wanafanya hivyo.
Tuna Nini??Hatuna Polisi
hakuna baba ,tunahoji baba kumpendelea pacha kuliko mwingine wakati wote ni watoto wa mtu mmojaKamwe mtoto hawezi kumpiga baba kibao cha uso[emoji3]
Jeshi la Polisi nchini linatekeleza majukumu yake kwa "double standards"
Lile linaloonekana haramu, likitendwa na CCM linaonekana halali kwao na likitendwa na vyama vya upinzani linaonekana haramu na linachukuliwa hatua Mara moja!
Mfano halisi ni hivi majuzi tu wakati kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, alipofanya kikao, tena cha ndani, huko Mtwara, akakamatwa na kulazwa kituo cha Polisi, akidaiwa kufanya kikao haramu cha kukusanyika kinyume cha sheria!
Lakini waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amefanya mkutano wa hadhara na tena amepiga simu kwa Rais Magufuli, na simu hiyo ikawekwa "loud speaker" ili kila mtu aliyekuwepo pale mkutanoni amsikie, tena akiwa anafanya kampeni kabla ya muda, kwa kuwaahidi wananchi wa huko kuwa atawajengea barabara ya lami, lakini kitendo hicho hakikuhesabika kuwa ni kuanza kampeni kabla na ni kitendo cha kutaka kuwahonga wakazi wa huko!
Hata hao Polisi walipigwa "ganzi" na kujifanya hawakuliiona "kosa" hilo la wazi kabisa na kutochukuliwa hatua yoyote, kwa Waziri Mkuu, kwa kufanya kosa hilo la kuanza kampeni kabla ya muda!
Ndipo hapo ninapojiuliza, hivi hawa Polisi wetu wameshakuwa jumuiya mojawapo ya Chama cha Mapinduzi?
Hii "double Standards" mnayoiendesha Jeshi letu la Polisi nchini, itafika mahali wananchi tutasema "enough is enough"
Watanzania mmekuwaje kila kitu mnalalamika tu mara katiba mara polisi mara mahakama mara bunge kila siku mnalalamika tu kuhusu mihimili ya serikali na dola yaan hamna akili ya kufanya kitu zaidi ya kulalamika zipo mbinu nying tu za kutatua matatizo ila hamtak kuzitumia mnalalamika tu mtandaoni mnaboaJeshi la Polisi nchini linatekeleza majukumu yake kwa "double standards"
Lile linaloonekana haramu, likitendwa na CCM linaonekana halali kwao na likitendwa na vyama vya upinzani linaonekana haramu na linachukuliwa hatua Mara moja!
Mfano halisi ni hivi majuzi tu wakati kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, alipofanya kikao, tena cha ndani, huko Mtwara, akakamatwa na kulazwa kituo cha Polisi, akidaiwa kufanya kikao haramu cha kukusanyika kinyume cha sheria!
Lakini waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amefanya mkutano wa hadhara na tena amepiga simu kwa Rais Magufuli, na simu hiyo ikawekwa "loud speaker" ili kila mtu aliyekuwepo pale mkutanoni amsikie, tena akiwa anafanya kampeni kabla ya muda, kwa kuwaahidi wananchi wa huko kuwa atawajengea barabara ya lami, lakini kitendo hicho hakikuhesabika kuwa ni kuanza kampeni kabla na ni kitendo cha kutaka kuwahonga wakazi wa huko!
Hata hao Polisi walipigwa "ganzi" na kujifanya hawakuliiona "kosa" hilo la wazi kabisa na kutochukuliwa hatua yoyote, kwa Waziri Mkuu, kwa kufanya kosa hilo la kuanza kampeni kabla ya muda!
Ndipo hapo ninapojiuliza, hivi hawa Polisi wetu wameshakuwa jumuiya mojawapo ya Chama cha Mapinduzi?
Hii "double Standards" mnayoiendesha Jeshi letu la Polisi nchini, itafika mahali wananchi tutasema "enough is enough"
Ndivyo walivyo. Huo ndio ukweli.Ni bora tu wakatambulika kama Jumuiya mojawapo ya CCM.
Kama vilivyo Jumuiya ya vijana na Jumuiya ya wazazi
You're not well informed broda,Jeshi la Polisi nchini linatekeleza majukumu yake kwa "double standards"