Uchaguzi 2020 Hivi inakuwaje kuanza kwa kampeni kwa CCM kuwa ruksa na kwa wapinzani kuwe haramu?

Kipi ni cha dhamani Maslahi au Kiapo? Ukinijibu utakuwa umeshapata jibu kuwa kanini wanafanya hivyo.
Kama waliapa kabla ya kuanza kazi hiyo ya upolisi, kuwa watakuwa "fair" kwa wananchi wao, itabidi watekeleze hicho kiapo chao.............

Ni makosa makubwa kwa Jeshi la Polisi, kuwa washabiki kindaki ndaki wa CCM
 
Hivi wazawa wa nchi hii tutategemea kufanya siasa kwa HISANI YA WAHAMIAJI HARAMU mpaka lini?
 
Hivi wazawa wa nchi hii tutategemea kufanya siasa kwa HISANI YA WAHAMIAJI HARAMU mpaka lini?
Tunalazimika kuamka sasa na kusema tumeonewa kiasi cha kutosha na tmeteswa kiasi cha kutosha..........

Sasa kuonewa huko kufike mwisho
 

Yaani mbona vizuri sana . Yaani wameshaongea yote umekuwa kama wimbo wa Taifa sasa
Kila siku Yaleyale
Sasa wanao wanyima ndio watapata wasaa kusikilizwa zaidi .
Bao la mwisho lina maumivu na kihoro. Ni kama kumpa mtoto wa shule mimba.
 
Watanzania mmekuwaje kila kitu mnalalamika tu mara katiba mara polisi mara mahakama mara bunge kila siku mnalalamika tu kuhusu mihimili ya serikali na dola yaan hamna akili ya kufanya kitu zaidi ya kulalamika zipo mbinu nying tu za kutatua matatizo ila hamtak kuzitumia mnalalamika tu mtandaoni mnaboa
 
You're not well informed broda,

Jiulize kwanini Zitto alikamatwa pamoja na Abdillah Bungara (bwege)?

Ilhali Karatu Mhe. John Heche alifanya kikao na picha zilitapakaa huku mkijisifu kwamba ukumbi umetapika.

Aidha Mhe.Mbatia amefanya kikao jijini Dodoma na watia nia wa Ubunge kupitia NCCR Mageuzi wapatao 300 hatukuona hao polisi wakimzuia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…