Hivi inakuwaje Makosa ya Timu ya Yanga yanarekebishwa na TFF ? Wajuzi wa Mambo hii imekaaje ?

Hivi inakuwaje Makosa ya Timu ya Yanga yanarekebishwa na TFF ? Wajuzi wa Mambo hii imekaaje ?

RNA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
1,647
Reaction score
2,803
Hii barua ya TFF inajieleza kabisa kwamba usajiri wa Kisinda ulishindikana sababu Yangu walikuwa na wachezaji wengi wa kigeni na Dirisha lilishafungwa ,Kisinda anaingiaje sasa Wajuzi wa mambo ?

IMG-20220915-WA0034.jpg
 
Kama hujaridhishwa na huo usajli wake, basi peleka malalamiko yako huko TFF. Humu jukwaani hutapata msaada unao utaka.

Maana tayari Kisinda ni mwananchi
 
Hii barua ya TFF inajieleza kabisa kwamba usajiri wa Kisinda ulishindikana sababu Yangu walikuwa na wachezaji wengi wa kigeni na Dirisha lilishafungwa ,Kisinda anaingiaje sasa Wajuzi wa mambo ?

View attachment 2358061
Ndugu, akili za kuambiwa changanya na za kwako la sivyo utaoneka kama mjinga.

Hapo hao wachezaji Kambole na Kisinda kwenye usajili wa CAF wamesajiliwa wote kwenye timu ya Utopolo na pia kwenye usajili wa hapa Bongo, tatizo lilikuwa ni kwa KICHEFUCHEFU sababu wameweka masharti kwamba wachezaji wa kigeni ni 12 tu ndio maana wakawa wanawakomalia Utopolo kwamba hawatamruhusu Kisinda kucheza mpaka dirisha dogo la usajili.

Yanga walichofanya ni kumtafutia timu nje ya Tanzania sababu hapa Tanzania usajili ulikuwa umeshafungwa na asingeweza kusajiliwa hapa Bongo na timu nyingine hii ingekula kwa Utopolo, akasajiliwa na hiyo timu ya Uganda ndio hapo hao KICHEFUCHEFU wakawa wamepigwa bao wakashindwa kumzuia tena huyo Kisinda kutoichezea Yanga sababu wangeshitakiwa BMT hata CAF na hao KICHEFUCHEFU ambao ni Wahuni fulani wangeumbuka
 
Yaani roho imekuuma sana kwa sababu

1. Kisinda kusajiliwa Yanga?
2. Kambole kupata timu Uganda?
3. Yanga kufata masharti yaliyowekwa na TFF ili kukamilisha usajili wa Kisinda?
4. Simba kumkosa Manzoki?
5. Hali ya timu ya Makolo kutoridhisha?

Nini kimeuma zaidi katika hivyo?
 
Yaani roho imekuuma sana kwa sababu

1. Kisinda kusajiliwa Yanga?
2. Kambole kupata timu Uganda?
3. Yanga kufata masharti yaliyowekwa na TFF ili kukamilisha usajili wa Kisinda?
4. Simba kumkosa Manzoki?
5. Hali ya timu ya Makolo kutoridhisha?

Nini kimeuma zaidi katika hivyo?
Manzoki hakuna kitu, alikuwa kwenye timu bora ndio maana akafanya vizuri, Mzungu wetu hata angekuwa Vipers angefunga magoli mengi sana
 
Yaani roho imekuuma sana kwa sababu

1. Kisinda kusajiliwa Yanga?
2. Kambole kupata timu Uganda?
3. Yanga kufata masharti yaliyowekwa na TFF ili kukamilisha usajili wa Kisinda?
4. Simba kumkosa Manzoki?
5. Hali ya timu ya Makolo kutoridhisha?

Nini kimeuma zaidi katika hivyo?
😂😂😂😂
 
Nataka TFF waseme kama kuna sheria inayoruhusu Yanga kufanya usajili kwa kumpeleka mchezaji wake Uganda ikiwa dirisha letu la usajili lilishafungwa, watuwekee hiyo sheria tuione.

Kinyume na hapo, TFF inadharauliwa sio kwa bahati mbaya, ni shirikisho la wajinga lililokubali kuvunja sheria zake lenyewe ili kuzinufaisha baadhi ya timu, ndio maana mpaka leo hawatolei maamuzi lile shtaka la Hersi na Manara, wanaongoza mpira kienyeji sana.
 
Hii barua ya TFF inajieleza kabisa kwamba usajiri wa Kisinda ulishindikana sababu Yangu walikuwa na wachezaji wengi wa kigeni na Dirisha lilishafungwa ,Kisinda anaingiaje sasa Wajuzi wa mambo ?

View attachment 2358061
Inashangaza Kama ilivyoshangaza makosa ya Simba kumchezesha Kibu mrundi bila ICT.kutochukuliwa hatua yoyote!baadala yake TFF ikapambana apate uraia faster na kufunika kila kitu.uhamiaji wakapinda sheria kumpa uraia kliaza anayetokea benchi kwenye klabu.hana mchango wowote notable kwenye national team mpaka leo.
 
ID yangu ya GENTAMYCINE haijaanza kutaka Kulinganishwa au Kufananishwa na Wengine hapa JamiiForums na yote hii ni Kutaka Kushindana nami, Kufunika Umaarufu wangu ulio na Kibali kutoka kwa Mwenyezi Mungu.

Kuna Mtu alianza kujiita Gentamicine akachemka. akaja mwingine nae akajiita Gentamycine na leo kuna ID mpya imeanza na kujiita GENTAMYCIME na najua zitakuja nyingi tu.

JamiiForums nzima kuna GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE*Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Mmoja tu ambaye ni Mimi.

Ukiona Watu wameanza na Kukuandama, Kukushambulia, Kukuchukia na hawajafanikiwa kisha ghafla wanahamia katika Kuiga Jina la ID yako jua Umebarikiwa vingi mno na Mwenyezi Mungu ambavyo hawana, vinawatesa na Wanavitamani sana.

Akhsante Mwenyezi Mungu wangu!!!!!
 
Back
Top Bottom