Hivi inakuwaje msomi wa mambo ya fedha hajui shilingi Elfu 10 ina mnyama gani? Anashindwa kujibu kwenye interview

Hivi inakuwaje msomi wa mambo ya fedha hajui shilingi Elfu 10 ina mnyama gani? Anashindwa kujibu kwenye interview

Mkuu, tatizo ni usomi wa kukariri. Nahisi hao wanaoushutumu uzi huu ni wahusika.
Uko sahihi anasomea fedha halafu fedha hazijui kweli ? Hilo ni jitu la kukariri tu hilo.Linataka mwalimu aandike notisi ubaoni kuwa shilingi elfu Kumi iko hivi halijiongezi hata nje ya notisi za darasani? Limeenda kusoma kukariri tu
 
Huu ujinga kwa hiyo ukisomea udaktari tuamue tu kukuuliza hivi kondomu zinakaa ngapi kwenye pakiti?

Kwani yeye anataka kazi ya kutengeneza kondomu? Same as hao kwani hiyo position ilikuwa anahusika kutengeneza fedha?

Kama ni mtu wa finance being fair mngeuliza rangi ya fedha inakuwa rahisi kwamba elfu kumi Ina rangi gani, elfu tano, elfu moja na Mia tano ya noti.

At least mtu wa finance anahusika kuzigawa hela katika makundi hivyo akiona kwa rangi ni rahisi tu kutambua .
Usichanganye mambo mtu wa fedha kasomea fedha hilo la kondomu lingekuwa sahihi kama mtu kasomea kondomu ndio umuulize

Wewe umesomea fedha halafu hujui hata hiyo fedha yenyewe kuna shida
 
hahahaha serious, hawakuwa nayo hata mfukoni wakachungulia? Tatizo wanakuja wamejiandaa na miswali migumu halafu nyie mnawavuruga kwa kuwapa mepesi.
hope hakukuwa namchaga kwenye hiyo interview.
 
Na wewe unaamini kabisa kwamba jamaa elfu 10 haijui? Tatizo mnakuwa mmeshaandaa watu wenu
Maswali madogo ndilo kaburi la wengi waenda interview kuna nyingine waliomba u director wa finance kampuni kubwa ya ku import bidhaa toka Marekani wakaulizwa exchange rate ya dollar kwa Leo ni shilingi ngapi walifeli wote hawajui
 
Hilo swali lilikuwa na marks 70. Hawajatoboa wote, kwenye written interview waende oral interview
mtihani ulikuwa na jumla ya marks ngapi?

kama swali dogo kama hilo linabeba marks 70 ... ninamashaka na waliotunga huo mtihani possibly huo mtihani nao uko below standard

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
100 asilimia 25 academic questions alivyokariri huko alikosoma
 
100 asilimia 25 academic questions alivyokariri huko alikosoma
Was ridiculous Qn ... na mkaamini kabisa hao watu hawaijui picha ya mnyama aliyeko kwenye hiyo pesa? waliona irrelevant qn so wakaamua nao wajibu walichojibu
 
Was ridiculous Qn ... na mkaamini kabisa hao watu hawaijui picha ya mnyama aliyeko kwenye hiyo pesa? waliona irrelevant qn so wakaamua nao wajibu walichojibu
Ok kwa hiyo unampangia mwenye kazi akuhoji maswali gani kwenye interview? Ulimsaidia kumpa mtaji wa kuanzisha hiyo kampuni au unaongelea ajira serikalini na mashirika ya umma?
 
Ok kwa hiyo unampangia mwenye kazi akuhoji maswali gani kwenye interview? Ulimsaidia kumpa mtaji wa kuanzisha hiyo kampuni au unaongelea ajira serikalini na mashirika ya umma?
Wauliza maswali ninyi ndio mliofeli .. tunawapa lawama za bure vijana .... Consultant wenu naye wa michongo tuu ....

ehe tuambie swali lenu lilikuwa linapima nini?
 
Wauliza maswali ninyi ndio mliofeli .. tunawapa lawama za bure vijana .... Consultant wenu naye wa michongo tuu ....

ehe tuambie swali lenu lilikuwa linapima nini?
Kasomea fedha je fedha yenyewe anaijua ?au kaishia tu kukariri what is money ohh anajibu money is a medium of exchange ok sawa asante kwa kukariri je pesa yenyewe hiyo medium of exchange unaijua physically? haya elfu 10 ina mnyama gani hajui analeta uswahili ohh mungeuliza atakavyo yeye!!! hopeless
 
Kasomea fedha je fedha yenyewe anaijua ?au kaishia tu kukariri what is money ohh anajibu money is a medium of exchange ok sawa asante kwa kukariri je pesa yenyewe hiyo medium of exchange unaijua physically? haya elfu 10 ina mnyama gani hajui analenga uswahili ohh mungeuliza atakavyo yeye!!! hopeless
Itoshe kusema mlifanya vetting ya kijinga sana na mlistahili kupata majibu hayo ...

Interview gani hiyo unafanyisha watoto ..
 
Itoshe kusema mlifanya vetting ya kijinga sana na mlistahili kupata majibu hayo ...

Interview gani hiyo unafanyisha watoto ..
Mshitue mwanao au nduguyo aelewe vizuri anachosoma na match yake kwenye real environment vinginevyo atazurura sana kutatua ajira labda umwandikie kimemo huko serikalini na taasisi za Umma

Private sector ataisikia kwenye radio ajira
Huko public sector ndiko
munauliza too much academic questions ambazo sio practical
 
Kwahiyo kusahau mnyama aliye kwenye noti ndiockuna mfanyabasijue alichosomea? Duuh
 
Kwahiyo kusahau mnyama aliye kwenye noti ndiockuna mfanyabasijue alichosomea? Duuh
Hajui pesa halafu anataka kazi ya pesa ulishawahi kutana na makenika ukimuliza site mirror ziko ngapi halafu anajibu swali la kijinga au umuuliza alama za kufunga mkanda kwenye dashboard zina picha gani akasema hajui?.

Au ukamuuliza picha ya hazard kwenye gari sehemu ya kubonyeza ile alama ya hazard picha yake ikoje akashindwa kujibu?

Sasa jitu limesoma fedha halafu halijui hata picha za kwenye pesa yenyewe kuna mtaalamu hapo? NI MTU TU KARIRI NOTES DARASANI
 
Back
Top Bottom