Uko sahihi anasomea fedha halafu fedha hazijui kweli ? Hilo ni jitu la kukariri tu hilo.Linataka mwalimu aandike notisi ubaoni kuwa shilingi elfu Kumi iko hivi halijiongezi hata nje ya notisi za darasani? Limeenda kusoma kukariri tuMkuu, tatizo ni usomi wa kukariri. Nahisi hao wanaoushutumu uzi huu ni wahusika.
Usichanganye mambo mtu wa fedha kasomea fedha hilo la kondomu lingekuwa sahihi kama mtu kasomea kondomu ndio umuulizeHuu ujinga kwa hiyo ukisomea udaktari tuamue tu kukuuliza hivi kondomu zinakaa ngapi kwenye pakiti?
Kwani yeye anataka kazi ya kutengeneza kondomu? Same as hao kwani hiyo position ilikuwa anahusika kutengeneza fedha?
Kama ni mtu wa finance being fair mngeuliza rangi ya fedha inakuwa rahisi kwamba elfu kumi Ina rangi gani, elfu tano, elfu moja na Mia tano ya noti.
At least mtu wa finance anahusika kuzigawa hela katika makundi hivyo akiona kwa rangi ni rahisi tu kutambua .
Alikuwa anamkoleza sanaHaipiti Siku hujamtaja yule Mzee dooh
Maswali madogo ndilo kaburi la wengi waenda interview kuna nyingine waliomba u director wa finance kampuni kubwa ya ku import bidhaa toka Marekani wakaulizwa exchange rate ya dollar kwa Leo ni shilingi ngapi walifeli wote hawajuiNa wewe unaamini kabisa kwamba jamaa elfu 10 haijui? Tatizo mnakuwa mmeshaandaa watu wenu
mtihani ulikuwa na jumla ya marks ngapi?Hilo swali lilikuwa na marks 70. Hawajatoboa wote, kwenye written interview waende oral interview
100 asilimia 25 academic questions alivyokariri huko alikosomamtihani ulikuwa na jumla ya marks ngapi?
kama swali dogo kama hilo linabeba marks 70 ... ninamashaka na waliotunga huo mtihani possibly huo mtihani nao uko below standard
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Was ridiculous Qn ... na mkaamini kabisa hao watu hawaijui picha ya mnyama aliyeko kwenye hiyo pesa? waliona irrelevant qn so wakaamua nao wajibu walichojibu100 asilimia 25 academic questions alivyokariri huko alikosoma
Ok kwa hiyo unampangia mwenye kazi akuhoji maswali gani kwenye interview? Ulimsaidia kumpa mtaji wa kuanzisha hiyo kampuni au unaongelea ajira serikalini na mashirika ya umma?Was ridiculous Qn ... na mkaamini kabisa hao watu hawaijui picha ya mnyama aliyeko kwenye hiyo pesa? waliona irrelevant qn so wakaamua nao wajibu walichojibu
Wauliza maswali ninyi ndio mliofeli .. tunawapa lawama za bure vijana .... Consultant wenu naye wa michongo tuu ....Ok kwa hiyo unampangia mwenye kazi akuhoji maswali gani kwenye interview? Ulimsaidia kumpa mtaji wa kuanzisha hiyo kampuni au unaongelea ajira serikalini na mashirika ya umma?
Kasomea fedha je fedha yenyewe anaijua ?au kaishia tu kukariri what is money ohh anajibu money is a medium of exchange ok sawa asante kwa kukariri je pesa yenyewe hiyo medium of exchange unaijua physically? haya elfu 10 ina mnyama gani hajui analeta uswahili ohh mungeuliza atakavyo yeye!!! hopelessWauliza maswali ninyi ndio mliofeli .. tunawapa lawama za bure vijana .... Consultant wenu naye wa michongo tuu ....
ehe tuambie swali lenu lilikuwa linapima nini?
Itoshe kusema mlifanya vetting ya kijinga sana na mlistahili kupata majibu hayo ...Kasomea fedha je fedha yenyewe anaijua ?au kaishia tu kukariri what is money ohh anajibu money is a medium of exchange ok sawa asante kwa kukariri je pesa yenyewe hiyo medium of exchange unaijua physically? haya elfu 10 ina mnyama gani hajui analenga uswahili ohh mungeuliza atakavyo yeye!!! hopeless
Mshitue mwanao au nduguyo aelewe vizuri anachosoma na match yake kwenye real environment vinginevyo atazurura sana kutatua ajira labda umwandikie kimemo huko serikalini na taasisi za UmmaItoshe kusema mlifanya vetting ya kijinga sana na mlistahili kupata majibu hayo ...
Interview gani hiyo unafanyisha watoto ..
Hajui pesa halafu anataka kazi ya pesa ulishawahi kutana na makenika ukimuliza site mirror ziko ngapi halafu anajibu swali la kijinga au umuuliza alama za kufunga mkanda kwenye dashboard zina picha gani akasema hajui?.Kwahiyo kusahau mnyama aliye kwenye noti ndiockuna mfanyabasijue alichosomea? Duuh