Hivi inakuwaje unaamka asubuhi unatoka........

Gody

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2010
Posts
1,251
Reaction score
418
Et wana chit chat nisaidieni hichi ninachojiuliza!
Inakuwaje unaamka asubuh ukitoka tu! Unakuta NJE hakupo?
je patakuwaje unavyofkir??
Cc; Baba V
cacico
Chocs
gfsonwin
Bujibuji
snow White
Asprin babu
n.k n.k
na wengine weengi!!
Nisaidien jibu!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kama nje patakuwa hakupo, ofcoz na ndani hapatakuwepo! Refar hapo wewe unapopaita ndani, hapo kabla palikua nje! (kiwanja)
Jibu sahihi ikijiri hivyo utakua ahera! Fullstop.
 
Kama nje patakuwa hakupo, ofcoz na ndani hapatakuwepo! Refar hapo wewe unapopaita ndani, hapo kabla palikua nje! (kiwanja)
Jibu sahihi ikijiri hivyo utakua ahera! Fullstop.

ndani kuko poa tu na sofa zako unaziona je nje hakupo pakoje?
 
Haka kasredi kaliwahi kuletwa hapa mwaka jana kama sikosei.
 
Yani inamaana nyumba itakuwa ina ning'inia juu juu....?


ndo ujiulize sasa!
Sjui utakuta ukuta, maji, mawingu....sjui wewe !
 
Yani inamaana nyumba itakuwa ina ning'inia juu juu....?

Ndiyo mkuu tedo!
Staki kuamini kama hukua ukiijua nyumba ya Mz Abunuwas! Ilikua imejengwa angani.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Nje na Ndani ni kielezi cha mahali, vilevile huwezi kutaja moja ya sehemu hizo mbili ikiwa nyingine haipo.
Hivyo kama ndani kupo basi nje kutakuwepo, otherwise hutaweza kufanya hiyo imagination
 
Baki ndani...........

nataka niende toilet tumbo limenishika af nikitoka huko niende kwa mama tausi kununua mihogo ya kukaanga na kachumbar kwaajili ya chai!!
 
nataka niende toilet tumbo limenishika af nikitoka huko niende kwa mama tausi kununua mihogo ya kukaanga na kachumbar kwaajili ya chai!!

Una akili kama hiyo mihogo...
 
Last edited by a moderator:
Ulizinywa sana jana nini chali angu, afu ukapiga na cha tarime... utazoea tu usiwe na wasiwasi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…