FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Mfano huyo mama mtu mzima kabisa, kama analazimishwa si alipaswa ajiuzulu? Hiyo ndio maana ya kukomaa kisiasa, kitu hukubaliani nacho unajitoa, kwani lazima uwe kwenye hiyo nafasi? Enzi za JPM alitoa video ya nini kifanyike (mazoezi, matunda, kupiga nyungu nk.),na walikataa chanjo kwa sauti moja, leo hii anasema chanjo ndio jibu, kiongozi kinyonga wa namna hii ni hatari kuliko ukoma!!!
=================================
Update: 17/08/2021
www.jamiiforums.com
==================================
Update: 22/08/2021
Askofu Josephat Gwajima awataka Waziri wa Afya Dorothy Gwajima na naibu wake Mollel, wajiuzulu ili wasiwe vigeugeu
=================================
Update: 17/08/2021
Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, alidai atamfufua Chifupa pia alikutwa na Mrembo akasema mkono wa Baunsa
Waziri wa Afya, Dkt Gwajima leo ameelezea suala askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima kupinga chanjo ya Covid-19 na kudai pamoja na ushemeji walionao haungani na itikadi zake. Pia ameshangaa wanaomuamini akitolea mfano wa Askofu kudai atamfufua Amina Chifupa kitu ambacho...
==================================
Update: 22/08/2021
Askofu Josephat Gwajima awataka Waziri wa Afya Dorothy Gwajima na naibu wake Mollel, wajiuzulu ili wasiwe vigeugeu