Hivi inamaana kuna viongozi huwa hawana mshipa wa aibu, ni vigeu geu sana kwenye suala la Corona

huyo maza gwajiwoman hata uchawi uyo ni mchawi, ama sivyo kasomea bachelor degree ya unafiki na uzandiki, maana haeleweki, hana msimamo kabsa...alitakiwa kujiuzuru mtu huyu......ni vile tu urafi wa madaraka unamuweka mpka leo hii
 
Mfano huyo mama mtu mzima kabisa, kama analazimishwa si alipaswa ajiuzulu? Hiyo ndio maana ya kukomaa kisiasa, kitu hukubaliani nacho unajitoa, kwani lazima uwe kwenye hiyo nafasi? Enzi za JPM alitoa video ya nini kifanyike (mazoezi, matunda, kupiga nyungu nk.),na walikataa chanjo kwa sauti moja, leo hii anasema chanjo ndio jibu, kiongozi kinyonga wa namna hii ni hatari kuliko ukoma!!!

View attachment 1889817View attachment 1889818

View attachment 1889819
...Njaa, Njaa, Tumbo, Tumbo...!![emoji16][emoji16][emoji16]
 
huyo maza gwajiwoman hata uchawi uyo ni mchawi, ama sivyo kasomea bachelor degree ya unafiki na uzandiki, maana haeleweki, hana msimamo kabsa...alitakiwa kujiuzuru mtu huyu......ni vile tu urafi wa madaraka unamuweka mpka leo hii
Na ndio hicho ninachosema, kama hukubaliani na yanayoendelea ndani ya serikali uliyopo, ni vyema ukaandika barua ya kujiuzulu, maana si lazima uwe kwenye hiyo nafasi, kuliko kukubali kuyumbishwa kama bendera kwenye upepo, JPM hadi anafariki alisimama imara, alikufa kwa ajili ya watz!
 
Huyu mama ametoa taswira kubwa ya tabia ya mtanzania, typical Tanzanian. Ndivyo tulivyo kwa ujumla wetu.

Ingekuwa huko mbele angeshajiuzulu mda tu!
 
Kwani nini unauliza swala la Corona tu badala ya kuuliza maswala yote?
Mfano huyo mama mtu mzima kabisa, kama analazimishwa si alipaswa ajiuzulu? Hiyo ndio maana ya kukomaa kisiasa, kitu hukubaliani nacho unajitoa, kwani lazima uwe kwenye hiyo nafasi? Enzi za JPM alitoa video ya nini kifanyike (mazoezi, matunda, kupiga nyungu nk.),na walikataa chanjo kwa sauti moja, leo hii anasema chanjo ndio jibu, kiongozi kinyonga wa namna hii ni hatari kuliko ukoma!!!

View attachment 1889817View attachment 1889818

View attachment 1889819

=================================
Update: 17/08/2021
 
Update: 22/08/2021
Askofu Josephat Gwajima awataka Waziri wa Afya Dorothy Gwajima na naibu wake Mollel, wajiuzulu ili wasiwe vigeugeu
 
Back
Top Bottom