Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,386
- 6,473
Tema mate chini! Usije wapa sababu viongozi njaa wa Tz wakatugawa kwa Wachina!Nchi hii inafaa kua koloni la China,,sababu tuna viongozi vilaza sijawahi ona..
Mbona tushauzwa vipande vipande siku nyingiTema mate chini! Usije wapa sababu viongozi njaa wa Tz wakatugawa kwa Wachina!
...Njaa, Njaa, Tumbo, Tumbo...!![emoji16][emoji16][emoji16]Mfano huyo mama mtu mzima kabisa, kama analazimishwa si alipaswa ajiuzulu? Hiyo ndio maana ya kukomaa kisiasa, kitu hukubaliani nacho unajitoa, kwani lazima uwe kwenye hiyo nafasi? Enzi za JPM alitoa video ya nini kifanyike (mazoezi, matunda, kupiga nyungu nk.),na walikataa chanjo kwa sauti moja, leo hii anasema chanjo ndio jibu, kiongozi kinyonga wa namna hii ni hatari kuliko ukoma!!!
View attachment 1889817View attachment 1889818
View attachment 1889819
Na ndio hicho ninachosema, kama hukubaliani na yanayoendelea ndani ya serikali uliyopo, ni vyema ukaandika barua ya kujiuzulu, maana si lazima uwe kwenye hiyo nafasi, kuliko kukubali kuyumbishwa kama bendera kwenye upepo, JPM hadi anafariki alisimama imara, alikufa kwa ajili ya watz!huyo maza gwajiwoman hata uchawi uyo ni mchawi, ama sivyo kasomea bachelor degree ya unafiki na uzandiki, maana haeleweki, hana msimamo kabsa...alitakiwa kujiuzuru mtu huyu......ni vile tu urafi wa madaraka unamuweka mpka leo hii
Mfano huyo mama mtu mzima kabisa, kama analazimishwa si alipaswa ajiuzulu? Hiyo ndio maana ya kukomaa kisiasa, kitu hukubaliani nacho unajitoa, kwani lazima uwe kwenye hiyo nafasi? Enzi za JPM alitoa video ya nini kifanyike (mazoezi, matunda, kupiga nyungu nk.),na walikataa chanjo kwa sauti moja, leo hii anasema chanjo ndio jibu, kiongozi kinyonga wa namna hii ni hatari kuliko ukoma!!!
View attachment 1889817View attachment 1889818
View attachment 1889819
=================================
Update: 17/08/2021
Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, alidai atamfufua Chifupa pia alikutwa na Mrembo akasema mkono wa Baunsa
Waziri wa Afya, Dkt Gwajima leo ameelezea suala askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima kupinga chanjo ya Covid-19 na kudai pamoja na ushemeji walionao haungani na itikadi zake. Pia ameshangaa wanaomuamini akitolea mfano wa Askofu kudai atamfufua Amina Chifupa kitu ambacho...www.jamiiforums.com
Ndilo limenigusa zaidiKwani nini unauliza swala la Corona tu badala ya kuuliza maswala yote?