Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Hili swali nilitaka kulijua pia la kuzikaHUYUUU KADISCO INAJULIKANA SEMA KAFANYA MAAMUZI MAGUMU SANAAA
SWALI LANGU HAKUNA ULINZI WA KUTOSHA
LA.MWISHO LAZIMA UFE UFIKE MBINGJNI AMA.JEHANUM SO MWAMBA KAAMUA AWAHI MWACHENI TUSIMJADILI MWAMBA WETU
JE ATAZIKWA KIKRISTO AMA??
Dah Nasikitika Sana, Kwa wewe Kutokujua Kuhusu Uhalisi wa Fungu hilo..Si Kweli, hayo ni maneno Yako.
Yeremia alikuwa akiongelea manabii wa UONGO waliokuwa wakimtabiria mfalme na Nchi Amani Ili kumfurahisha.
Yeremia alipotabiri juu ya kuangamia Kwa nchi kupitia vita, walimpinga na kumtupa gerezani.
Ni kama tu hivi sasa, wapo wanaotabiri na kupinga kuwa Nchi haiwezi KUPIGWA wakati maovu yanazidi na watu hawataki kusikia sauti na maagizo ya Mungu.
To conclude; NABII WA UONGO NI YULE ANAYETABIRI AMANI KWA WAOVU, NA ASIWAAMBIE KWELI KUWA, WASIPOKUBALI NA KUTII SAUTI YA MUNGU NA KUTUBIA UOVU WAO, KUANGAMIA HAKUKWEPEKI.
Ni hayo tu.
Kweli kabisaAskofu,padri,shehe,mchungaji,hawa wote ni binadamu kama sisi tulivyo nao wana share yao ya stress na matatizo.Nao pia wana mitihani na majaribu tena makubwa kuliko yetu,cha muhimu tumuombe Mungu tuvuke majaribu yetu salama
Umenena vyema,Dah Nasikitika Sana, Kwa wewe Kutokujua Kuhusu Uhalisi wa Fungu hilo..
Tuachane na hayo Unazungumziaje Kumbukumbu la Torati 18:22
Soma mwenyewe, usidanganywe na huyo kasisi wako kwamba huwezi kusona
Hiyo anayeiba sadaka na kubaka Si Mchungaji, ni mbwa mwitu katika ngozi ya Kondoo,
Uweze kutofautisha mambo
Sasa kwanini uchanganye mafaili?😀Basi na aliejinyonga Nae ni mbwa mwitu katika ngozi ya Kondoo,
Jacob Steven huyu JB mwigizaji au?Umenena vyema,
Ikiwa amenena Kwa kutumia na miungu yake, Mungu ataruhusu afe. Asipokufa, huyo ni WA KWELI.
Narudia kusisitiza kuwa, Nabii yule ni WA Kweli. Sababu kuu ni kuwa, Mimi binafsi nilimuuliza Mungu akanithibitishia,
Na jambo lingine linalothibitisha UKWELI juu ya unabii huo, alimtuma Nabii Jackob Steven wa Huduma ya Kristo Kutoa maelekezo juu ya kusogezwa mbele tukio Hilo.
Sio JB Msanii,Jacob Steven huyu JB mwigizaji au?
Kama uliambiwa kwamba ni Nabii wa kweli bhasi wote mmeingiwa na Pepo Mchafu kutoka kwa Mungu ili mtabiri uongo...
Yeremia 14:14
“Hao manabii wanatoa unabii wa uongo kwa jina langu. Mimi sikuwatuma, wala sikuwaamuru, wala sikusema nao. Wanawatabiria maono ya uongo, maaguzi yasiyo na maana yoyote, uongo wanaojitungia wenyewe"
Unahisi watu hawaitukani Imani yenu Ya Ukristo au Dini kwa Ujumla kwa Hoja dhaifu mnazotoa na Utabiri mnauotoa hayo ndo Petro aliyowahi kuwaandikia..
2 Petro 2:2-3
"Na wengi watafuata ufisadi wao; na kwa hao njia ya kweli itatukanwa.
Na katika kutamani watajipatia faida kwenu kwa maneno yaliyotungwa; ambao hukumu yao tangu zamani haikawii, wala uvunjifu wao hausinzii."
Unakumbuka Kipindi cha Ahabu , Mfalme wa Yuda Yehoshafati, mfalme wa Israel na Kipindi cha Mikaiya, Kulitokea Nini??
1 Wafalme 22:22-23
"BWANA akamwambia, Jinsi gani? Akasema, Nitaondoka, na kuwa pepo wa uongo kinywani mwa manabii wake wote. Akasema, Utamdanganya, na kudiriki pia; ondoka ukafanye hivyo.
Basi angalia, BWANA ametia pepo wa uongo kinywani mwa manabii wako hawa wote; naye BWANA amenena mabaya juu yako."
Nakutakia Asubuhi Njema kabisa
Unabii Uliofeli ni Unabii Wa UongoSio JB Msanii,
Ni Jackob Steven anaongoza huduma ya Kristo.
Ukiingia U-Tube ukaandika Jackob Steven, Huduma ya Kristo utaona, yupo Arusha.
Unabii wa Isaya Kwa mfalme akimwambia tengeneza mambo ya nyumbani mwako sababu utakufa Kwa ugonjwa huu, mfalme akageukia kutani na kuomba,Unabii Uliofeli ni Unabii Wa Uongo