Hivi inawezakana Mchungaji au Askofu kujinyonga?

Hivi inawezakana Mchungaji au Askofu kujinyonga?

Basi hata bibli ni upagani mana inakusaidi kusali wakati ungewesa kuongea na mungu moja kwa mona bila kupitia kitabu. Ndo mana nasema nenda shule kwanza utofautishe mamboa. Biblia haisomwi na walei au laymen kama nyie utach ga yikiwa bure
Soma mwenyewe, usidanganywe na huyo kasisi wako kwamba huwezi kusona
Hakuna cha pepo kuvamiwa wala nini.

Nao binadamu kama sisi, kama nao huwa wanabaka na kuiba sadaka

Ndo iwe ajabu kujiua?
Hiyo anayeiba sadaka na kubaka Si Mchungaji, ni mbwa mwitu katika ngozi ya Kondoo,

Uweze kutofautisha mambo!!
 
Soma mwenyewe, usidanganywe na huyo kasisi wako kwamba huwezi kusona

Hiyo anayeiba sadaka na kubaka Si Mchungaji, ni mbwa mwitu katika ngozi ya Kondoo,

Uweze kutofautisha mambo!!
Si kama wewe tu. Utakuwaje mchngaji huna hata mil 100 kwente account. Si unataka kuwaibia tu
 
Maana ya neno. Kama vile petro ambayo maana yake ni mwamba. Au yesu ambayo maana yake ni kristus au mwokozi ni neno la kiebrania ambacho lazima usome sana. Achana na ujanja ujanja . Biblia siyo gazeti inahitaji shule haswaaa
Rozari ni upupu tu
 
Si kama wewe tu. Utakuwaje mchngaji huna hata mil 100 kwente account. Si unataka kuwaibia tu
Sasa u mahusiano ya kuwa Mchungaji na kuwa na Ml 100 ni yapi?

Mchungaji ni mtumishi wa Mungu, Si mfanyabiashara.
 
Rozari ni upupu tu
Hujui kitu. Nenda shule kwanza acha hizi injili za mtaani za akina mwamposa. Ukatoliki kuuelewa lazima uwe na shuld kubwa. Umeshawahi kuona any seminarian ambaye anababaishwa na haya mamitume yenu ya mtaani
 
Salaam, Shalom!!

Kuna wimbi linaendelea kujitokeza la vifo tata kuhusu viongozi wa kiroho.

Miezi kadhaa iliyopita, yaliripotiwa matukio ya Padri kukutwa ameuwawa na kutupwa, wengine wakiuwawa,

Jambo lililonishtua zaidi ni tukio la kujinyonga Askofu Dodoma, tena ndani ya nyumba ya Ibada,kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari.

Nijuavyo Mimi Rabbon, Ili mtu ajinyonge, lazima avamiwe na Pepo wa MAUTI atakayemuongoza kufanya kitendo hicho bila ridhaa yake.

Swali LANGU ni kuwa, Askofu, mtumishi wa Mungu, anayeongozwa na Roho wa Mungu, anayewatia moyo waumini waliovunjika moyo daily, awezaje kuamua kujinyonga?

Source: Millard Ayo, Askofu ajinyonga Dodoma.

Karibuni 🙏.
kuna elimu moja mpaka ufunguke jicho la tatu hapa utapigiwa kelele tu za jokeri
 
Sasa u mahusiano ya kuwa Mchungaji na kuwa na Ml 100 ni yapi?

Mchungaji ni mtumishi wa Mungu, Si mfanyabiashara.
Ili usiibe lazima uwe na hela. Vinginevyo utaiba mana unafamilia. Utakula wapi sasa mana lazima uishi. Acheni kuwadnganya watu m awafilisi kwa ujinga wao wa kutoelew dini sahihi ya ukatoliki
 
Mkuu Rabbon vipi aliyetabiri kuhusu Kupotea kwa Dar..
Leo tarehe 21 ulisema nikukumbushe..
Vipi inawezekana nipo ndani ya Maji sijijui??
Yule ni mtumishi wa Mungu,

Kabla ya kufika tarehe 20, Mungu alisema na mtumishi aitwaye Jackob Steven wa Arusha, Huduma ya Kristo,na kusema muda umeongezwa sababu Kuna mtu ameomba Kwa HAKI na maombi yamesikika. Video hiyo IPO U-Tube channel ya Huduma ya Kristo.

Note: Muda umeongezwa, uharibifu wa mji haujaondolewa.
 
Nani kakwambia askofu anaongozwa na mungu. Hizo huwa ni fix tu. Mfano kakobe alikanyaga na kuchoma rozari takatifu na ikawa ndp mwanzo wa laana mpaka leo hana waumini.

Rozari ni nguvu kubwa ukiidharau unapotea dunia hii. Nawashauri nyote mrudi kanisa katoliki huko kwingine mmepotea mana wanatumia mapepo kububiri kama mwamposa ni swala la mda tu
Umeongea upumbavu sana kijana
 
Yule ni mtumishi wa Mungu,

Kabla ya kufika tarehe 20, Mungu alisema na mtumishi aitwaye Jackob Steven wa Arusha, Huduma ya Kristo,na kusema muda umeongezwa sababu Kuna mtu ameomba Kwa HAKI na maombi yamesikika.

Note: Muda umeongezwa, uharibifu wa mji hayajaondolewa.
Acha ufala basi kaka
 
Ila hawa nao ni binadamu kujaribiwa lazima
Si Rahisi kama unavyodhani,

Ulinzi wa kiroho alionao Mchungaji au Askofu, aliye mtumishi wa Mungu Kweli Kweli Si wa kawaida!!
 
Si Rahisi kama unavyodhani,

Ulinzi wa kiroho alionao Mchungaji au Askofu, aliye mtumishi wa Mungu Kweli Kweli Si wa kawaida!!
Kwa situation ya huyu baba askofu...naona shetani alipitia humohumo akampandikiza roho ya mauti
 
Yule ni mtumishi wa Mungu,

Kabla ya kufika tarehe 20, Mungu alisema na mtumishi aitwaye Jackob Steven wa Arusha, Huduma ya Kristo,na kusema muda umeongezwa sababu Kuna mtu ameomba Kwa HAKI na maombi yamesikika. Video hiyo IPO U-Tube channel ya Huduma ya Kristo.

Note: Muda umeongezwa, uharibifu wa mji hayajaondolewa.
🤣🤣🤣🤣🤣
Alisema kwamba Muda wa rehema Umeisha so lazima Hukumu Itakuja hata watu wakiomba vipi msamaha yaani Mungu hakubali chochote kutoka kwao..

Vipi Maandiko yanasemaje kuhusu Nabii ambaye Ujumbe wake usipotimilika?

Kumbukumbu la Torati 18:22

"Atakaponena nabii kwa jina la BWANA, lisitokee jambo lile wala kutimia, hilo ndilo neno asilolinena BWANA (Amenena kwa matakwa yake); kwa kujikinai amelinena huyo nabii, usimwogope (wala kumfuata)"

Yeremia 28:9

Nabii atabiriye habari za amani au Shari, neno la nabii yule litakapotokea, ndipo nabii yule atakapojulikana, kuwa BWANA amemtuma kweli kweli.

Vipi Nabii Huyo Bado ni wa Ukweli
 
Salaam, Shalom!!

Kuna wimbi linaendelea kujitokeza la vifo tata kuhusu viongozi wa kiroho.

Miezi kadhaa iliyopita, yaliripotiwa matukio ya Padri kukutwa ameuwawa na kutupwa, wengine wakiuwawa,

Jambo lililonishtua zaidi ni tukio la kujinyonga Askofu Dodoma, tena ndani ya nyumba ya Ibada,kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari.

Nijuavyo Mimi Rabbon, Ili mtu ajinyonge, lazima avamiwe na Pepo wa MAUTI atakayemuongoza kufanya kitendo hicho bila ridhaa yake.

Swali LANGU ni kuwa, Askofu, mtumishi wa Mungu, anayeongozwa na Roho wa Mungu, anayewatia moyo waumini waliovunjika moyo daily, awezaje kuamua kujinyonga?

Source: Millard Ayo, Askofu ajinyonga Dodoma.

Karibuni 🙏.
MKUU KUNA SIRI NZITOO JUU YAKE HAWA VIONGOIZII HILI KANISAA NINGEWEKA NDANI WOTE KAMA WANGEKUWA RWANDA MIEZI SITA WAJITAFAKARI WAJE. NA MAJIBU SAHIHI NDIO NAWAPELEKA MAHAKAMAN ELSE ANAEJIUA ANAZIKWAJE KIKANISA??

UKISIKIA +NA ZA KWAKOOO
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Alisema kwamba Muda wa rehema Umeisha so lazima Hukumu Itakuja hata watu wakiomba vipi msamaha yaani Mungu hakubali chochote kutoka kwao..

Vipi Maandiko yanasemaje kuhusu Nabii ambaye Ujumbe wake usipotimilika?

Kumbukumbu la Torati 18:22

"Atakaponena nabii kwa jina la BWANA, lisitokee jambo lile wala kutimia, hilo ndilo neno asilolinena BWANA (Amenena kwa matakwa yake); kwa kujikinai amelinena huyo nabii, usimwogope (wala kumfuata)"

Yeremia 28:9

Nabii atabiriye habari za amani au Shari, neno la nabii yule litakapotokea, ndipo nabii yule atakapojulikana, kuwa BWANA amemtuma kweli kweli.

Vipi Nabii Huyo Bado ni wa Ukweli
Yeremia 28:9 neno Shari umelitoa wapi?

Hujui kuwa,kuongeza neno lisilokuwapo kwenye BIBLIA ni LAANA?
 
Kijana mwingine wa Kanisa catholic huko Lushoto kajinyonga nae mnawaitaje sijui nimesahau
Ila Dunia hii
HUYUUU KADISCO INAJULIKANA SEMA KAFANYA MAAMUZI MAGUMU SANAAA

SWALI LANGU HAKUNA ULINZI WA KUTOSHA

LA.MWISHO LAZIMA UFE UFIKE MBINGJNI AMA.JEHANUM SO MWAMBA KAAMUA AWAHI MWACHENI TUSIMJADILI MWAMBA WETU

JE ATAZIKWA KIKRISTO AMA??
 
Yeremia 28:9 neno Shari umelitoa wapi?

Hujui kuwa,kuongeza neno lisilokuwapo kwenye BIBLIA ni LAANA?
Biblia imetafasiriwa Isivyo na kuwekewa maneno mengi yasiyo yake wala sio mimi maneno mengi ya kwenyr Biblia yenye alama () na [] unajua kama sio maandishi original??

Ila hilo shari Ni andishi original kabisa..

In TANAKH version Imeandikwa Hivi..יִרְמְיָהוּ (Yirmeyahu) 28:9 au Yeremia 28:9..

הַנָּבִ֕יא אֲשֶׁ֥ר יִנָּבֵ֖א לְשָׁלֹ֑ום אוֹ חֲרוּם בְּבֹא֙ דְּבַ֣ר הַנָּבִ֗יא יִוָּדַ֙ע֙ הַנָּבִ֔יא אֲשֶׁר־שְׁלָחֹ֥ו יְהוָ֖ה בֶּאֱמֶֽת׃

Kutamkwa inatamkwa hivi:-

"Ha-navi asher yinnave le-shalom o harum bevo devar ha-navi yiwada ha-navi asher shalcho YHWH be-emet."

Unajua maana ya "le-shalom o harum" (לְשָׁלֹ֑ום אוֹ חֲרוּם).

Inamaanisha katika Amani na Shari ila watafasiri wa Kuipeleka Kwenye Lugha ya kilatin na Lugha zingine kuns maneno mengi waliacha kwa manufaa yao...
Nakushauri Jifunze Hebrew utaona Biblia ilivyo tamu kuijua
 
Si Kweli, hayo ni maneno Yako.

Yeremia alikuwa akiongelea manabii wa UONGO waliokuwa wakimtabiria mfalme na Nchi Amani Ili kumfurahisha.

Yeremia alipotabiri juu ya kuangamia Kwa nchi kupitia vita, walimpinga na kumtupa gerezani.

Ni kama tu hivi sasa, wapo wanaotabiri na kupinga kuwa Nchi haiwezi KUPIGWA wakati maovu yanazidi na watu hawataki kusikia sauti na maagizo ya Mungu.

To conclude; NABII WA UONGO NI YULE ANAYETABIRI AMANI KWA WAOVU, NA ASIWAAMBIE KWELI KUWA, WASIPOKUBALI NA KUTII SAUTI YA MUNGU NA KUTUBIA UOVU WAO, KUANGAMIA HAKUKWEPEKI.

Ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom