Hivi inawezakana Mchungaji au Askofu kujinyonga?

'Anaongozwa na mungu' so inawezekana mungu ndio amemuongoza ajinyonge. Tujitahidi kujiongoza wenyewe, ili atleast iwepo tofauti kati ya roboti na binaadamu halisi
Wewe angalau unatumia vizuri akili Yako,

Ingawa umekosa evidence ya maandiko!!

Jambo lingine ambalo hujaliangazia, ni huna uhakika ikiwa Kweli amejinyonga au amenyongwa!!
 
Nimetafuta ndani ya BIBLIA sijaona.

Nakusihi Rudi Kwa mwalimu wako umuulize swali nililokuuliza, akikujibu njoo unifafanulie kulingana na maandiko.
Maana ya neno. Kama vile petro ambayo maana yake ni mwamba. Au yesu ambayo maana yake ni kristus au mwokozi ni neno la kiebrania ambacho lazima usome sana. Achana na ujanja ujanja . Biblia siyo gazeti inahitaji shule haswaaa
 
Salaam, Shalom!!

Kuna wimbi linaendelea kujitokeza la vifo tata kuhusu viongozi wa kiroho.

Miezi kadhaa iliyopita, yaliripotiwa matukio ya Padri kukutwa ameuwawa na kutupwa, wengine wakiuwawa,

Jambo lililonishtua zaidi ni tukio la kujinyonga Askofu Dodoma, tena ndani ya nyumba ya Ibada,kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari.

Nijuavyo Mimi Rabbon, Ili mtu ajinyonge, lazima avamiwe na Pepo wa MAUTI atakayemuongoza kufanya kitendo hicho bila ridhaa yake.

Swali LANGU ni kuwa, Askofu, mtumishi wa Mungu, anayeongozwa na Roho wa Mungu, anayewatia moyo waumini waliovunjika moyo daily, awezaje kuamua kujinyonga?

Source: Millard Ayo, Askofu ajinyonga Dodoma.

Karibuni 🙏.
hii pattern niliiona siku nyingi! sikuizi kuna murder nyingi sana ambazo hutegesha au watu humnyonga mtu ionekane amejinyonga!!….
Fuatilia hizi kesi za kujinyonga kuna kipindi huwa kama ugonjwa wa mlipuko
 
Mimi ni Rabbon, mwalimu wa Neno la Mungu.

Hayo yote uliyoandika, Petro, MWAMBA, Kristo,Neno, Mwokozi,

Yamo kwenye BIBLIA.

Rozali imeandikwa wapi?
 
Umesomea wapi. Au nawe ni wale wachungaji w kufunuliwa ambao yesu anasema udongo ulianguka kwemye mwamba hivyo utasongw na kunyauka kama wanavyonyauka wachungaji wenzi mpaka kujinyonga. Umeshaona kanisa katoliki limenyauka? Ule ni udongo mzuri ambao mbegu hustawi whether you like or not
 
Salaam, Shalom!!

Kuna wimbi linaendelea kujitokeza la vifo tata kuhusu viongozi wa kiroho.

Miezi kadhaa iliyopita, yaliripotiwa matukio ya Padri kukutwa ameuwawa na kutupwa, wengine wakiuwawa,

Jambo lililonishtua zaidi ni tukio la kujinyonga Askofu Dodoma, tena ndani ya nyumba ya Ibada,kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari.

Nijuavyo Mimi Rabbon, Ili mtu ajinyonge, lazima avamiwe na Pepo wa MAUTI atakayemuongoza kufanya kitendo hicho bila ridhaa yake.

Swali LANGU ni kuwa, Askofu, mtumishi wa Mungu, anayeongozwa na Roho wa Mungu, anayewatia moyo waumini waliovunjika moyo daily, awezaje kuamua kujinyonga?

Source: Millard Ayo, Askofu ajinyonga Dodoma.

Karibuni 🙏.
Kwa nini isiwezekane? Mtu anayejinyonga ina ana maana uwezo wake wa kufikiria na kutofautisha chema na kibaya umeondoka - anachoona chem na kibaya ni sawa (sawa na mtu anayeona rangi ya kijivu - si nyeusi na si nyeupe) na hali hii inaweza kutokea kwa mtu yeyote. Kumbuka Yuda Iskariote alichaguliwa na Bwana Yesu kuwa mmoja wa mitume 12 na alikuwa ndiye mhazini wa mitume. Pengine alipokubali kupokea fedha alijua watesi wa Bwana Yesu wanajisumbua Bure, atawaonyesha muujiza. Lakini kwa Yesu hakufanya hivyo, ingawa angeweza kuwafanyia watesi wake wote wasielewane lugha au wasimwone. Baada ya Yuda kuona waliyomfanyia Yesu, hakuamino kama ni yeye aliyefanya hivyo. Aliona maisha hayana maana tena - wenzake watamwelewaje? Watu waliomwona akiwa pamoja na Yesu watamwelewaje? Akaona rangi nyeupe na nyeusi inakuwa ya kijivu - haoni nyeusi wala nyeupe. Ina maana judgement yake ikaathirika na akaona heri afe tu. Kama ilitokea kwa mtu aliyeaminiwa na Yesu, je kwa wachungaji wetu haiwezi kutokea? Hali hii inaweza kutokea kwa mtu yeyote ndugu! Take care!
 
hii pattern niliiona siku nyingi! sikuizi kuna murder nyingi sana ambazo hutegesha au watu humnyonga mtu ionekane amejinyonga!!….
Fuatilia hizi kesi za kujinyonga kuna kipindi huwa kama ugonjwa wa mlipuko
Kuna jambo haliko sawa somewhere,

Uzuri Mungu wetu Yu hai na atajibu vizuri kabisa.

Tusubiri.
 
Umesomea wapi. Au nawe ni wale wachungaji w kufunuliwa ambao yesu anasema udongo ulianguka kwemye mwamba hivyo utasongw na kunyauka kama wanavyonyauka wachungaji wenzi mpaka kujinyonga. Umeshaona kanisa katoliki limenyauka? Ule ni udongo mzuri ambao mbegu hustawi whether you like or not
Ungenisaidia kunambia Rozali imeandikwa wapi katika BIBLIA ningeshukuru sana.
 
Back
Top Bottom