GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kweli kabisa. !!GENTAMYCINE nitakuwa wa mwisho Kiamini Mtoto wa Jirani yangu Kumfanyia Umafia Mwanangu ama bila ya Baba yake kujua au hata nae Kuchangia na Kuchochea Uhuni na Upumbavu huo.
'Owner Chair' Taifa Vunja UVCCM.
Hili genge limekuwa hatari sana na tukiendelea kulichekea litakuwa zaidi ya panya road!'Owner Chair' Taifa Vunja UVCCM.
Naunga mkono hoja, UVCCM ni genge hatari sana na kwa sasa wanajipambanua waziwazi kwamba wao ni wavunjifu wa amaniGENTAMYCINE nitakuwa wa mwisho Kiamini Mtoto wa Jirani yangu Kumfanyia Umafia Mwanangu ama bila ya Baba yake kujua au hata nae Kuchangia na Kuchochea Uhuni na Upumbavu huo.
'Owner Chair' Taifa Vunja UVCCM.
Red brigade walifia au bado wanafuga [emoji215]Naunga mkono hoja, UVCCM ni genge hatari sana na kwa sasa wanajipambanua waziwazi kwamba wao ni wavunjifu wa amani
Chama cha MapumbavuGENTAMYCINE nitakuwa wa mwisho Kiamini Mtoto wa Jirani yangu Kumfanyia Umafia Mwanangu ama bila ya Baba yake kujua au hata nae Kuchangia na Kuchochea Uhuni na Upumbavu huo.
'Owner Chair' Taifa Vunja UVCCM.
Oya huogopi Kutekwa? Tena unavyopenda Kushinda Baa hapo kwa Sinde Mbezi Beach Tangi Bovu na pale Kona Baa kwa Poti ( Mwetu ) wangu wa Kizanaki Mzee Juma na Wazanaki Wenzangu wengine na Baba zangu Maafande Wastaafu Brigedia Kohi na Kapteni Mugwe ndiyo utatekwa nao Kiurahisi mno japo Mzee Juma ni mwana CCM Mwenzao na Boss wa Chama ( CCM ) hilo eneo.Chama cha Mapumbavu
Won't it be too late for us to know that?Ipo siku watakuja kutuambia ni kwanini wanayafanya haya
Naunga mkono hoja, UVCCM ni genge hatari sana na kwa sasa wanajipambanua waziwazi kwamba wao ni wavunjifu wa amani
Wananijua, hamna mtekaji ambaye hanijui. Na nyumbani kwangu hapo Mbezi Beach jirani na nyumbani kwa John Malecela wanapajua.Oya huogopi Kutekwa? Tena unavyopenda Kushinda Baa hapo kwa Sinde Mbezi Beach Tangi Bovu na pale Kona Baa kwa Poti ( Mwetu ) wangu wa Kizanaki Mzee Juma na Wazanaki Wenzangu wengine na Baba zangu Maafande Wastaafu Brigedia Kohi na Kapteni Mugwe ndiyo utatekwa nao Kiurahisi mno japo Mzee Juma ni mwana CCM Mwenzao na Boss wa Chama ( CCM ) hilo eneo.