Hivi inawezekana hii nchi saivi ikawa iko kwenye "auto pilot"?

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768
Yani Haina mwenyewe.. inajiendea tu. Alafu No one is in Control...

Yani inawezekanaje...
Haya mamvua yote yanayonyesha alafu bado tuambiwe shida ya umeme itaisha March...!?

How is it possible, mafuta yameshuka, Nauli zilipanda na ziko palepale!??

Saivi tunasikia Mkurugenzi akiamua tu kubadili shule kutoka Swahili as the Medium of Instruction to English anajiamulia..

And no one is in control, no one takes charge! Hivi tupo "auto pilot"!??
 
Subili wenyewe waje wakujibu,
 
Tunaongozwa na ushungi tuwe macho jamani!
 
Kwani changamoto ya umeme uliambiwa shida ni mvua?
 
Sasa usichoelewa nini? Tatizo la umeme sio maji na suluhisho ni mpaka March. sasa jiulize kuna kitu gani kitatokea March? Wenzio wanaona aibu kusema suluhisho la umeme ni nini.
 
In the first place tuliambiwa ni marekebisho.. As for J.Makamba. yakaisha.
Wakatuambia maji yamekauka...
Mvua zimenyesha..Mito imefurika.
Sasa hivi shida Ni Nini!!?
 
Ni Nini hasa!??
 
Kwa taarifa yako hata hiyo March siyo suluhisho wala mwisho labda km wewe ni Mnyarwanda.
 
Kuna watu hasa wanaojiita Wastahafu walioko huko ccm, Magufuli alitakiwa awaue kwani ndio msingi wa Kansa inayolitafuna Taifa, cha ajabu akaishia kupambana na akina Mbowe, Lissu na wapinzani wengine.
Kuna mtu anafanya biashara Katika nchi hii... Ambaye Ana roho mbaya Sana.
 
Ma pilot wanawaza mambo makubwa namna watakavyoimiliki Tz ya kesho(compitate themselves),hawana njaa,wanavyeo,waheshimiwa and they have full time table of their dairy routine (basic needs). Vilio vya makapuku wanaona it's like jokes😬
 
In the first place tuliambiwa ni marekebisho.. As for J.Makamba. yakaisha.
Wakatuambia maji yamekauka...
Mvua zimenyesha..Mito imefurika.
Sasa hivi shida Ni Nini!!?
Uongozi kuanzia wizara Hadi tanesco
 
Back
Top Bottom