Yani Haina mwenyewe.. inajiendea tu. Alafu No one is in Control...
Yani inawezekanaje...
Haya mamvua yote yanayonyesha alafu bado tuambiwe shida ya umeme itaisha March...!?
How is it possible, mafuta yameshuka, Nauli zilipanda na ziko palepale!??
Saivi tunasikia Mkurugenzi akiamua tu kubadili shule kutoka Swahili as the Medium of Instruction to English anajiamulia..
And no one is in control, no one takes charge! Hivi tupo "auto pilot"!??
Tunaongozwa na ushungi tuwe macho jamani!Yani Haina mwenyewe.. inajiendea tu. Alafu No one is in Control...
Yani inawezekanaje...
Haya mamvua yote yanayonyesha alafu bado tuambiwe shida ya umeme itaisha March...!?
How is it possible, mafuta yameshuka, Nauli zilipanda na ziko palepale!??
Saivi tunasikia Mkurugenzi akiamua tu kubadili shule kutoka Swahili as the Medium of Instruction to English anajiamulia..
And no one is in control, no one takes charge! Hivi tupo "auto pilot"!??
Auto pilot.... Pilot yupo na yeye ndiye anayefanya monitoring.Kama auto pilot maana yake ni 'haina mwenyewe, Je hio auto pilot ikipata hitilafu inarekebishwa na nani?
Kwani changamoto ya umeme uliambiwa shida ni mvua?Yani Haina mwenyewe.. inajiendea tu. Alafu No one is in Control...
Yani inawezekanaje...
Haya mamvua yote yanayonyesha alafu bado tuambiwe shida ya umeme itaisha March...!?
How is it possible, mafuta yameshuka, Nauli zilipanda na ziko palepale!??
Saivi tunasikia Mkurugenzi akiamua tu kubadili shule kutoka Swahili as the Medium of Instruction to English anajiamulia..
And no one is in control, no one takes charge! Hivi tupo "auto pilot"!??
Sasa usichoelewa nini? Tatizo la umeme sio maji na suluhisho ni mpaka March. sasa jiulize kuna kitu gani kitatokea March? Wenzio wanaona aibu kusema suluhisho la umeme ni nini.Yani Haina mwenyewe.. inajiendea tu. Alafu No one is in Control...
Yani inawezekanaje...
Haya mamvua yote yanayonyesha alafu bado tuambiwe shida ya umeme itaisha March...!?
How is it possible, mafuta yameshuka, Nauli zilipanda na ziko palepale!??
Saivi tunasikia Mkurugenzi akiamua tu kubadili shule kutoka Swahili as the Medium of Instruction to English anajiamulia..
And no one is in control, no one takes charge! Hivi tupo "auto pilot"!??
Kwa taarifa yako hata hiyo March siyo suluhisho wala mwisho labda km wewe ni Mnyarwanda.Sasa usichoelewa nini? Tatizo la umeme sio maji na suluhisho ni mpaka March. sasa jiulize kuna kitu gani kitatokea March? Wenzio wanaona aibu kusema suluhisho la umeme ni nini.
SawaKwa taarifa yako hata hiyo March siyo suluhisho wala mwisho labda km wewe ni Mnyarwanda.
Kuna mtu anafanya biashara Katika nchi hii... Ambaye Ana roho mbaya Sana.Kuna watu hasa wanaojiita Wastahafu walioko huko ccm, Magufuli alitakiwa awaue kwani ndio msingi wa Kansa inayolitafuna Taifa, cha ajabu akaishia kupambana na akina Mbowe, Lissu na wapinzani wengine.
Uongozi kuanzia wizara Hadi tanescoIn the first place tuliambiwa ni marekebisho.. As for J.Makamba. yakaisha.
Wakatuambia maji yamekauka...
Mvua zimenyesha..Mito imefurika.
Sasa hivi shida Ni Nini!!?