Hivi inawezekana kupata mwanaume mwenye sifa hizi?

Hivi inawezekana kupata mwanaume mwenye sifa hizi?

bishontongo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2016
Posts
239
Reaction score
223
Mfano mie napenda nimpate mwanaume mrefu, mcheshi, mchapakazi, asiwe mchoyo asiwe mpenda ndogo, asiwe na maringo. Je, inawezekana kumpata?

Pia asiwe mchafu maana wanaume wengine mhhh! Na anipende na mie napenda sana kupendwa jamani, sjui ni matatizo au ni kawaida kwa watu wote?

Wasiwasi ni pale je nitampata nimtakaye au niende vyovyote tu? Ila awe mweusi, kama ni mweupe awe mzungu basi sogeza muda siku zipite.

Nipendavyo mimi .
 
Katika hali ya kawaida ni vigumu kumpata mwenye tabia zote unazozitaka cha muhimu ni kumuomba m'mungu angalau akupatie mwenye chache kati ya hizo.

Pia usisahau ule usemi wa "hakuna mwanadamu aliyemkamilifu" ukiuelewa huo sidhani kama utakuwa ni mwenye machaguzi mengi kiasi hicho.
 
Amina nimekuelewa
 
We we ukoje kwanza? Mwonekano mpaka tabia zako pamoja na matumizi ya pesa
 
Back
Top Bottom