Hivi inawezekana kupata mwanaume mwenye sifa hizi?

Hivi inawezekana kupata mwanaume mwenye sifa hizi?

Kwamba unataka Jamaa wa dizaini hiyo.?

Yupo mmoja namjua anazo hizo sifa aisee.!

Kama vip, niwakutanishe nae.
No ukinikutanisha utakuwa umenitaftia utabeba lawama.hahahah ila ahsante kwa support
 
Mfano mie napenda nimpate mwanaume mrefu, mcheshi, mchapakazi, asiwe mchoyo asiwe mpenda ndogo, asiwe na maringo. Je, inawezekana kumpata?

Pia asiwe mchafu maana wanaume wengine mhhh! Na anipende na mie napenda sana kupendwa jamani, sjui ni matatizo au ni kawaida kwa watu wote?

Wasiwasi ni pale je nitampata nimtakaye au niende vyovyote tu? Ila awe mweusi, kama ni mweupe awe mzungu basi sogeza muda siku zipite.

Nipendavyo mimi .
Nime ku pm bishotongo Njoo tujuane Sifa zetu pengine tunaweza ku match
 
Kwa sifa ulizozitaja/unazihitaji kwa mwanaume

Binafsi ninazo mamy wangu bishontongo na nahisi kama nakufaa vile

Naomba nichukue fursa hii kuja Pm then tubadilishane namba za simu na tutumiane picha pia bila kuhusisha camera 360.


KARIBU SANA
 
Back
Top Bottom