Hivi inawezekana kupata mwanaume mwenye sifa hizi?

Hivi inawezekana kupata mwanaume mwenye sifa hizi?

Mbona wapo shida inakuja kwako kuwa huna sifa wanazotaka wao maana na wao wanatafuta wenye sifa wanazitaka
Una akili sana.Wanawake wapumbavu huweka masharti wasijue mwanaume timamu nae ana vigezo vyake.Mwishowe wanakuwa machangu,muhimu ni kumshirikisha Mungu.Aache umbulula.
 
Iwe okwo olikushobokerwa omshaija anga omkazi wakumuiya omtandao watata.aliwo orwoyakubikueza .mbanindeba emigambile ya abantu chonka mbagambasi bojo mhhh deka deka.tinkakibonaga,ebijumi mhhh ndamanyile fb inye mawe.
 
hahahahahaha mbaija kukutela..... bakuigile?
 
Huu ubaguzi Katika hio rangi, hatupo popote katikati.. Je dini?
 
Mfano mie napenda nimpate mwanaume mrefu, mcheshi, mchapakazi, asiwe mchoyo asiwe mpenda ndogo, asiwe na maringo. Je, inawezekana kumpata?

Pia asiwe mchafu maana wanaume wengine mhhh! Na anipende na mie napenda sana kupendwa jamani, sjui ni matatizo au ni kawaida kwa watu wote?

Wasiwasi ni pale je nitampata nimtakaye au niende vyovyote tu? Ila awe mweusi, kama ni mweupe awe mzungu basi sogeza muda siku zipite.

Nipendavyo mimi .
Kwa upande wako una churaa na reception? Hizo ndo sifa za mwanzo kwa vijana wa dot.com
 
hapo nimekosa sifa moja tu...ya kupenda ndogo,, nadhani unamaanisha soda ndogo...mimi napenda soda ndogo hasa pepsi ndogo,
 
Mfano mie napenda nimpate mwanaume mrefu, mcheshi, mchapakazi, asiwe mchoyo asiwe mpenda ndogo, asiwe na maringo. Je, inawezekana kumpata?

Pia asiwe mchafu maana wanaume wengine mhhh! Na anipende na mie napenda sana kupendwa jamani, sjui ni matatizo au ni kawaida kwa watu wote?

Wasiwasi ni pale je nitampata nimtakaye au niende vyovyote tu? Ila awe mweusi, kama ni mweupe awe mzungu basi sogeza muda siku zipite.

Nipendavyo mimi .
njoo inbox
 
Mwambie aje na id yake ya siku zote!

Alisha kuja na id nyingine akataja sifa zake akitafuta mwanaume naona ili buma kaja kwa style hii
[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
ahaaaaaa hizo sifa kila mwanamke angependa ampate mwanaume wa hivyo ila mie ningependa pamoja na hivyo huyo mwanaume asikose vigezo hivyo

1.akupende
2. msafii
3. mama yake akupende

n.b sioni raha kuishi na mwanaume anaekosa vigezo hivyo.
Dada sorry.. Njoo pm mara moja please..!!!
 
Back
Top Bottom