Hivi inawezekana kupata mwanaume mwenye sifa hizi?

Utatupata tu kama kawaida, vip na wewe umekamilika kila idara?
 
Unaweza kumpata. Ni jinsi gani na Wewe uko kimaisha! Hakuna linaloshindikana... Unatakiwa uwe Mawazo ya wazi... Karibu
 
kama na wewe ni mrefu mnene huna maringo unajua mapenzi unajua kujali familia huna aibu mchezoni upo tayari kusaidiana maisha nipo arusha umenipata
 
Utapata … weka nia basi watu waje …
 
mm urefu wangu ni cm 177, mengine yote tutayajenga i mean inategemea na wewe ulivyo, kama uko powa let we make one thing clear
 
Nipo mkuu sema hujaniona!!ila hapo kwenye!!"asiwe mpenda ndogo"mkuu umeniacha kidoogo umemaanisha ndogo ipi[emoji86]
 
Imposible!!!#
 
Ungeongeza sifa nyingine *Awe mcha Mungu hakika ningefuata popote huendako.
 
Wapo wa hivyo... Sema hawapati shida kupata wadada, usipokutana nae mtaani huko huku huwezi mpata. Labda uwe mchepuko wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…