Hivi inawezekana kusoma cheti cha sheria na upande mwingine umerisiti private candidate?

Hivi inawezekana kusoma cheti cha sheria na upande mwingine umerisiti private candidate?

M45

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
1,110
Reaction score
1,462
Habari za wakati huu wadau? Kichwa cha habari hapo juu chahusika, Hivi inawezekana mtu akaenda kusoma cheti na upande mwingine amerisiti kufanya mitihani ya kidato cha nne?
 
Mahitaji ya kusoma certificate ni matokeo ya form four AMBAYO HUNA
Cheti cha form four kipo,sasa nilitaka nirisiti mitihani ya form four,hapo hapo nisome sheria ngazi ya cheti. Form four nilimaliza 2014.
 
Acha mambo ya shule mzee 2014 ad leo Sheria ni solid alafu kaz pia ad upate waste time
 
Habari za wakati huu wadau? Kichwa cha habari hapo juu chahusika, Hivi inawezekana mtu akaenda kusoma cheti na upande mwingine amerisiti kufanya mitihani ya kidato cha nne?
Wasikutishe,
Soma sheria kuanzia Cheti mpaka Shahada ya kwanza.
Pia risiti, na unatoboa.
 
  • Thanks
Reactions: M45
Back
Top Bottom