Cheti cha form four kipo
Au mi ndo sielewi mkuu, nieleweshe zaidisasa nilitaka nirisiti mitihani ya form four,
HaiwezekaniNataka nisome ngazi ya cheti wakati huo huo nirudie mtihan wa form four, je inawezekana?
Wasikutishe,Habari za wakati huu wadau? Kichwa cha habari hapo juu chahusika, Hivi inawezekana mtu akaenda kusoma cheti na upande mwingine amerisiti kufanya mitihani ya kidato cha nne?