Hivi inawezekana kutatua matatizo bila kumshirikisha mtu?

Hivi inawezekana kutatua matatizo bila kumshirikisha mtu?

Ruyama

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
367
Reaction score
563
Nina tatizo la kifamilia kila nikiwaza nimshirikishe rafiki yangu wa karibu nina sita wazazi wamesha solve lakini bado mwanamke anarudia rudia kutojirekebisha.

Yaani nina mawazo mno sijui nifanyeje ili niwe poa watoto tunao nawaza kuachana lakini naumia nikikumbuka watoto WHAT CAN I DO yaani nateseka kinoma.
 
Nina tatizo la kifamilia kila nikiwaza nimshirikishe rafiki yangu wa karibu nina sita wazazi wamesha solve lakini bado mwanamke anarudia rudia kutojirekebisha
Yaani nina mawazo mnoo sijui nifanyeje ili niwe poa watoto tunao nawaza kuachana lakini naumia nikikumbuka watoto WHAT CAN I DO yaani nateseka kinoma
Du pole sana. Ulivyoandika tu inaonyesha yamekufika shingoni. Kuna ndoa nyingi tu zenye matatizo kuliko hata yako. Ngoja nikuambia: Mwanamke akishajua udhaifu wako ni kupenda sana watoto, na unaona ugumu wa kuachana naye kwa sababu tu ya watoto, basi atakutesa sana. Hatajali, na atakuwa anarudia rudia yale usiyotaka kwa sababu anajua watoto ndiyo ngao yake. Haya yamewapata wanaume wengi sana.
 
Wanawake wengi utaka mwanaume dikteta ukiwa demokract ukuona pimbi tu.
Wanaume wengi sana hasa wale waungwana uteswa sana wanawake zao,sema tu wengi ufa nayo moyoni,thus wanaume ufa mapema.
Kufa nayo moyoni ndio upelekea magonjwa ya moyo, pressure,kiharusi,kukosa nguvu za kiume,nk hii ni kwa wanaume wanaoishi na wake zao sababu ya kulinda watoto.
 
Hata sisi ni watu tushirikishe tu! Ila chagua wa kiwashirikisha si umeshaona hata hapa wameanza kutoa hukumu hata kabla hujasema Nini kinakukwaza..😂
 
Wanawake wengi utaka mwanaume dikteta ukiwa demokract ukuona pimbi tu.
Wanaume wengi sana waungwana uteswa sana wanawake sema tu wengi ufa nayo moyoni,thus wanaume ufa mapema.
Nakubaliana na wewe kwa 100% bila kupunguza chochote.
 
Back
Top Bottom