Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Mimi mambo yangu huwa nasolve mwenyewe,huwa Sihitaji kabisa ishu za ushauri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia!!kurudia rudia maana yake haujasolve
hii inamaanisha umeziba shimo la panya kwa mkate
kuna muda heri ujenge ukuta mpya kuliko kuziba nyufa kila siku
umezungumza point mkuu mpaka imenibidi kucomenti japo kwa kipindi kirefu nimekuwa ni msomaji tu kuliko kuchangia ,kutokana na matusi kejeli za humu ,Wanawake wengi utaka mwanaume dikteta ukiwa demokract ukuona pimbi tu.
Wanaume wengi sana waungwana uteswa sana wanawake sema tu wengi ufa nayo moyoni,thus wanaume ufa mapema.
Ukiona mke wako kaondoka usiangaike nae kesho kanunue nguo za kike uwe unaanika nje KILA mara mara majirani watampelekea umbea kwamba kuna chuma kipya kimeshaingia kesho tu atarudi.Sometimes huwa Wana mdudu kichwani anawadrive lengo ni kumvuruga mume kupitia shetani baada ya kushindwa kukuingia wewe Ili avuruge mipango yako.umezungumza point mkuu mpaka imenibidi kucomenti japo kwa kipindi kirefu nimekuwa ni msomaji tu kuliko kuchangia ,kutokana na matusi kejeli za humu ,
iko hivi haya mambo yashawahi nikuta,kipindi nina mtoto wa kwanza ,
Mwanamke alishawahi nizinguwa kipindi mtoto wangu akiwa mdogo ,alikuwa anashikwa masikio kwa kutaka kufanya biashara wakati mtoto akiwa mdogo na niliona wazi hawezi kumudu haya yote ,kwamba alee mtoto huku na biashara na ilihali hapo hafanyi biashara mambo yalikuwa mengi na anashindwa kuyahandle ,
Sasa kila nikimwelewesha jaribu kutulia lea kwanza mtoto akishakuwa basi utafanya unachotaka ,mimi sikuzui ,basi ikawa maneno na kelele hanielewi ,.
Sasa ilifika mahali ikawa ugomvi na kelele ndani mpaka kuna siku nikamzaba makofi ,basi akatangaza kwa ndgu zangu na kwao nimempiga ,bi mkubwa nae bila kufikiria akamwambia uje huku ,Basi bwana narudi mtu anapanga safari bila kuniambia ,nikamwambia usiondoke sitaki mwanangu awe mbali na mimi ,mwanamke hakusikia ,mimi nilivyoondoka asubuhi nikaacha hela ya matumizi kama kawaida ,
Niko njiani kuna rafiki yangu alinipigia simu kwamba kapigiwa simu na wife amsindikize ubungo asafari ,nikwambia usiende popote huyo mke wangu na sikumruhusu aondoke ,ila baada ya muda mwamba akanipigia siku anaona aende amsindikize shemeji maana analia ,Mimi nilichomjibu sawa ,
Nilivyorudi jioni nikakuta familia haipo washaondoka mimi sikumuuliza mtu kitu nikashafisha nyumba yako ,nikaendelea na maisha ,basi mwanamke alivyofika huko akapiga simu mimi sikupokea ,tumekaa wiki bi mkubwa ananipigia simu mimi sikumuuliza chochote kwamba familia imefika au vipi ,na tukiongea tunaongea mengine,na yule mwanamke akipiga simu mimi sipokei,Basi na yule mwamba nikamwambia chochote kitachompata mwanangu utakuwa responsible ,na mimi wala sitomwambia arudi ,yule alomwita basi siku akimchoka atamwambia arudi ,alompa nauli ya kwenda atampa yakurudi ,na alompelekea ubungo ndio atamrudisha ,na akishafika hapa kisha mimi ntamrudisha kwao ,
Yule mwanamke alikwenda kukaa huko kwetu kama miesi 6 sijawahi mpigia simu wala kumtumia chochote wala kupokea simu yake ,wazazi walisema mpaka basi ,nikamwambia hamuwezi mchukuwa mke wa mtu bila ruksa ya mume ,kwahiyo acha ajifunze adabu ,
MPAKA LEO ANAJUA AKIONDOKA BILA IDHINI YANGU MBONA SIHANGAIKI NAYE ,maana naye alikuwa anatumia kigezo cha kuwa nampenda mtoto wangu basi kama fimbo yakunichapia ,
SASA HATA KAMA NILIKUWA NAUMIA NILIJIKAZA sikuonyesha udhaifu wala kutetereka ,WANAWAKE WENGI HUTUMIA UDHAIFU WA WATOTO KUTUADHINU WANAUME ,usipokuwa na msimamo utateseka sana ,
Ingawaje hujaweka wazi ya kuwa tatizo ni nini na kama chano ni yeye moja kwa moja au ni wewe kutokana na matendo yako, hivyo ikiwezekana baada ya kukwama kwenye ngazi ya awali unaweza washirikisha viongozi wa kiroho/kidini but wawe ni wanaoaminika kimatendo na kimaadili. Ikishindikana itabidi uchukue uamuzi mathubuti kwa kufocus kwenye ustawi wa watoto na maendeleo yako/familia kwa ujumla huku ukijua changamoto ni sehemu ya maisha tunayopitia.Nina tatizo la kifamilia kila nikiwaza nimshirikishe rafiki yangu wa karibu nina sita wazazi wamesha solve lakini bado mwanamke anarudia rudia kutojirekebisha.
Yaani nina mawazo mno sijui nifanyeje ili niwe poa watoto tunao nawaza kuachana lakini naumia nikikumbuka watoto WHAT CAN I DO yaani nateseka kinoma.
Nina tatizo la kifamilia kila nikiwaza nimshirikishe rafiki yangu wa karibu nina sita wazazi wamesha solve lakini bado mwanamke anarudia rudia kutojirekebisha.
Yaani nina mawazo mno sijui nifanyeje ili niwe poa watoto tunao nawaza kuachana lakini naumia nikikumbuka watoto WHAT CAN I DO yaani nateseka kinoma.
Pole sanaNina tatizo la kifamilia kila nikiwaza nimshirikishe rafiki yangu wa karibu nina sita wazazi wamesha solve lakini bado mwanamke anarudia rudia kutojirekebisha.
Yaani nina mawazo mno sijui nifanyeje ili niwe poa watoto tunao nawaza kuachana lakini naumia nikikumbuka watoto WHAT CAN I DO yaani nateseka kinoma.
Chukua nafasi ya uwanaume ..Kuna muda huwa nawaza nikimbilie mbali hata kazi niache kuliko kuwa karibu na huyu mwanamke
Ndio maana mimi nilisema ukitaka kudumu na mwanamke kamwe usikae kiboya! Na usikubali mwanamke akuelewe au ajue udhaifu wako upo sehem gani? Yaani unatakiwa uwe unabadilika badilika, sometines upo romantic sometimes kauzu, nk.Ukiona mke wako kaondoka usiangaike nae kesho kanunue nguo za kike uwe unaanika nje KILA mara mara majirani watampelekea umbea kwamba kuna chuma kipya kimeshaingia kesho tu atarudi.Sometimes huwa Wana mdudu kichwani anawadrive lengo ni kumvuruga mume kupitia shetani baada ya kushindwa kukuingia wewe Ili avuruge mipango yako.
Na hasa akijua unamvumilia kwa ajili ya watoto umekwisha.
Hii sahihi mkuu. Ukiwa mstaarabu anakutesa makusudi.Ndio maana mimi nilisema ukitaka kudumu na mwanamke kamwe usikae kiboya! Na usikubali mwanamke akuelewe au ajue udhaifu wako upo sehem gani? Yaani unatakiwa uwe unabadilika badilika, sometines upo romantic sometimes kauzu, nk.
Mimi nashukuru mke wangu anajua kabisa kwamba siku akiondoka, yaani wiki mbali atakuta nimeshaingiza kifaa kingine kikali ndani.
Kitu usichojua kuwa kama yeye mwenyewe hataki badilika hata waje Malaika haweziNina tatizo la kifamilia kila nikiwaza nimshirikishe rafiki yangu wa karibu nina sita wazazi wamesha solve lakini bado mwanamke anarudia rudia kutojirekebisha.
Yaani nina mawazo mno sijui nifanyeje ili niwe poa watoto tunao nawaza kuachana lakini naumia nikikumbuka watoto WHAT CAN I DO yaani nateseka kinoma.