Du pole sana. Ulivyoandika tu inaonyesha yamekufika shingoni. Kuna ndoa nyingi tu zenye matatizo kuliko hata yako. Ngoja nikuambia: Mwanamke akishajua udhaifu wako ni kupenda sana watoto, na unaona ugumu wa kuachana naye kwa sababu tu ya watoto, basi atakutesa sana. Hatajali, na atakuwa anarudia rudia yale usiyotaka kwa sababu anajua watoto ndiyo ngao yake. Haya yamewapata wanaume wengi sana.Nina tatizo la kifamilia kila nikiwaza nimshirikishe rafiki yangu wa karibu nina sita wazazi wamesha solve lakini bado mwanamke anarudia rudia kutojirekebisha
Yaani nina mawazo mnoo sijui nifanyeje ili niwe poa watoto tunao nawaza kuachana lakini naumia nikikumbuka watoto WHAT CAN I DO yaani nateseka kinoma
Gunia la mkaa ni kushindwa kumcontrol shetani kwann shetani akuzidi nguvuDah..... Kwani gunia la mkaa shing ngapi banaa 🤣🤣🤣🤣🤭
Nakubaliana na wewe kwa 100% bila kupunguza chochote.Wanawake wengi utaka mwanaume dikteta ukiwa demokract ukuona pimbi tu.
Wanaume wengi sana waungwana uteswa sana wanawake sema tu wengi ufa nayo moyoni,thus wanaume ufa mapema.
Wenzetu waislamu walijua haya thus wakaruhusu mke zaidi ya mmoja.Nasapoti hili maana competition uleta nidhamu.Kuna muda huwa nawaza nikimbilie mbali hata kazi niache kuliko kuwa karibu na huyu mwanamke
Atakumaliza!Kuna muda huwa nawaza nikimbilie mbali hata kazi niache kuliko kuwa karibu na huyu mwanamke