Hivi inawezekana kutatua matatizo bila kumshirikisha mtu?

Sema mwaka huu tunatoboaaaa"[emoji12][emoji12] aggrey mwandi Tabora 2018
 
Kuna muda huwa nawaza nikimbilie mbali hata kazi niache kuliko kuwa karibu na huyu mwanamke
pole, inaonesha unamuhitaji kuliko yeye anavyokuhitaji, unampenda kuliko yeye anavyokupenda, ningekuwa Mimi ningempuuza, nisimpe "attention" kama mke, naishi maisha yangu ya kibachela kama zamani, huku nikihakikisha natunza watoto. Huenda atashituka.
 
pole, inaonesha unamuhitaji kuliko yeye anavyokuhitaji, unampenda kuliko yeye anavyokupenda, ningekuwa Mimi ningempuuza, nisimpe "attention" kama mke, naishi maisha yangu ya kibachela kama zamani, huku nikihakikisha natunza watoto. Huenda atashituka.
Sawa mkuu
 
Nilishapiga nusu ya kuua
 
Thanks
 
Mkabidhi YESU maisha yako na shida zako zitaisha.

Piga goti utubu, huo ni msalaba wako
 
Suluhisho la kudumu mkuu,jaribu kuichakata vizuri hiyo kitu,ikiwezekana tumia njia unazojua, angalau utumie lisaa limoja kwa goli. Mpe magoli angalau 5 kwa siku. fanya hivyo ndani ya wiki moja. Na kama saizi ya mashine iko vizuri,hapo itakuwa bora zaidi.....Pia jitahidi kuwa muhuni unapokuwa naye kwenye mahaba
 
Hata hili nalo lakuombea?
Hili la kwenda kwa walokole usipokuwa makini, ukaenda kwa mtu kama Gwajima, ukute na mke wako ni mzuri mzuri, mweupe hivi basi andika umempelekea kipoozeo. Trust me. Hakuna watu wabaya kama hawa wachungaji bandia wanapojua una mgogoro na mke wako halafu mnatafuta ushauri kwake. Atatumia huo mgogoro ampate mkeo. Wewe huyo mwanamke usimlegezee. Tilia maanani sijasema umpige au umfokee. Jaribu kufanya kama huna habari naye na uko busy na mambo yako.
 
Unacheza wewe!
 
Daah!! hii ndio style yangu ya kuishi na huyu mwanamke.Anajua kabisa akiondoka,huwa sina ratiba naye,naleta kitu kipya.So huwa anaishi nami kwa adabu ya kike na misingi yao!!
 
Pole Mkuu, inawezekana kabisa kutatua jambo mwenyewe, hasa hili la kifamilia tena wewe na mkeo rafiki au ndugu hawawezi kutatua kamwe, wakijitahidi sana watalipooza tu.

Hili linatatuliwa na nyie wawili tu.

Jaribu kulifahamu tatizo lenu kisha liongeeni ilo tatizo pamoja Mkuu.

Kama ni tatizo la kitabia litakupa changamoto kulitatua labda mkubaliane jambo, ila pia pima uzito na madharaya hilo tatizo ukiona makubwa basi lazimisha liishe hata kwa nguvu.
 
Kama hutojali nishirikishe PM nikushauri mkuu
 
Uwanaume sio suruali kaka matatizo hayakimbiwi ila nikumuomba akupe mabega makubwa ili uweze kuyamudu kaka
 
Wazee wa kaziii ipo Samsung A20 ipo sokon ni mpya sana na ukinunua unapata sim box lake pamoja risit yake ya iliyonunuliwa hivyo inauzwa 200k ipo tegeta dar es salaam kwa muhitaji awasiliane na stoplight au kwa +255 653 271 318 karibu sana na huduma ya gar pikipik bajaji unasafirii unataka gariii chumba nyumba wasiliana na stoplight broker pia ukiwa unasumbuliwa na gariii yako na hujapata suluhisho mda wowote ulipo tunafika kwa mashine za kisasa na hutojuta kwa huduma zangu UZA pia NUNUA na stoplight +255 653 271 318
YOU'RE WELCOME FIRST AND AGAIN [emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817] FOR GOOD SERVICES
 
Labda ungeeleza hayo matatizo ya mwenza wako ni yapi? Mwanamke akipendwa huwa mtiifu ila asipopendwa utii haupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…