Hivi inawezekana kutatua matatizo bila kumshirikisha mtu?

Oyaa ipo 120k hapa chukua fasta kabla sijabadili mawazo.
 
Solve your own issues 3rd part ni majanga
 
Kuna muda huwa nawaza nikimbilie mbali hata kazi niache kuliko kuwa karibu na huyu mwanamke
Uache kazi kisa mjinga mmoja mmekutana n kutiana,kuna wengine mnashida kwenye maamuzi...mimi n mke mwaka wa 8 huu nliapa kesi namaliza mwenyewe kma nlivyoanza nae...yani hakuna kupeleka kwa wazazi wala kanisani
 
So mwisho wa siku alirudi na hukumrudisha kwao[emoji16][emoji16][emoji16]
 
So mwisho wa siku alirudi na hukumrudisha kwao[emoji16][emoji16][emoji16]
Alivyorudi nilitaka kumrudisha kwao ,ila mzee alinisihi akaniomba sana ni msamehe ,maana mwanzo wazee wangu walikuwa upande wake nikawa naonekana mimi mkorofi nnamakosa ,ila baadae wakaja kuyaona matatizo yake. maana ilikwenda kwa kukaa kote huko hakujifunza mpaka ikapelekea nilimpa talaka ,baada ya kumpa ndo akili ikakaa sawa maana alinitishia niache kwani umenikuta juu ya mti ,maana alikwenda mpaka akazua uwongo mimi na bi mkubwa tunataka kunyan'ganya mtoto wakati haikuwa kweli ,na wakat mama alimsaidia na kumpigania sana na mpaka alimpeleka shule kwa gharama zake,ILA ALIKUJA KUMZUSHIA ,HAPO NDO BI MKUBWA AKAONA HUYU MTU SIO ,ajabu huyo huyo akawa anamwomba mama amwombee msamaha arudi na kweli akaomba msamaha ,MPAKA LEO YAAN ANAJUA KABISA NILISHAVURUGWA ,hata akiondoka huwa sistukii,MZEE wanawake wanaupuuzi mwingi sana (japo sio wote) kuishi nao kunahitaji uwe na upuuzi kuliko wao , NDOMANA watu wengi wakorofi watata ndio wanadumu katika ndoa ,WENGI wao hawapendi democrasia ,WAO WANATAKA SANA MTU AMBAYE MWENYE UTATA ,hapo watalalamika ila maisha yatasonga ,NA SI WATU WAKUWAPA MIA KWA MIA ,binafsi namchukulia mwanamke kama mchezaji wa mpira ,
kwanza hachelewi kuhama timu
pili hachelewi kuuza siri za timu kama utamshirikisha kwenye kamati ya ufundi ,SIKU ZOTE MWANAMKE MPE 50 hamsini zingine baki nazo ,USIJIMALIZE kupitiliza ATAKUUWA AU kukudhuru kwa namna yeyete ,WAKATI MWINGINE TUNAENDELEA KUBAKI NAO SABABU YA WATOTO TU wasipate shida
 
Kuna muda huwa nawaza nikimbilie mbali hata kazi niache kuliko kuwa karibu na huyu mwanamke
Don't u ever think kuacha kazi ambayo ndo inakupa kiburi mjini.

Kama ni kupiga chini wewe piga mwachie kila kitu and start over maisha yako mapya.

Haya yote ya duniani tutayaacha mwisho wa siku as long as utakavyomuachia pia vitawasaidia wanao.
 
Jaribu kutafuta muda mwafaka na weka mambo ambayo mnataka kujadiliana, halafu muulize mwenzako maoni yake anaonaje kuhusu jambo, anza na moja halafu usianze kwa kumwona mbaya na kumlaumu. Panga mikakati mtadanye ii jambo lisiruxiwe, mpe nafasi yeye atoe mawazo yake.
Tafuta wakati mna furaha au toka kwenda sehemu ta utulivu. Lengo kubwa liwe kutafuta suluhu, sio kugombana, inahitaji utulivu na uvumilivu kweli na usiwe mwepesi wa kusema mpaka mwenzako anapokamilisha maneno yake.
Usianze kwa kumshambulia, jadilianeni kama rafiki mnatafuta suluhisho.

Ikishindikana kwa njia hii ombeni ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…