Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Wengi wanaosoma hapo ni wale walifeli form four au form six alafu wakaungaunga sana. Huwezi kuperform vizuri advance ukaenda kusoma open, HAIWEZEKANI NA HAIPOKuna jamaa angu yuko hapo open,huwa simwelewi, yani yeye toka alivyojoin kazi yake ni kulewa tu huku anawalipa jamaa flani hivi wamfanyie assignments zake.huwa napata mashaka sana na wahitimu wa hapo open.
Ila pia tukubaliane hakuna mtu mwenye grades nzuri utamkuta anasoma open asee.
Baada ya hivo vigezo,mwisho wa siku inakuwaje?elimu haijalishi mazingira ni kichwa chakoElewa kwanza mada, hata hivyo kigezo cha kuwa raisi ni degree yoyote hata kama ulisoma Teku au Sekomu sijui.
Ila katafute kigezo Cha kuwa Assistant Lecturer UDSM, ndio utaelewa
Elewa mzee kuna watu wanapenda kua walimu na wapo wabobezi na wana mkwanja kinoma kwa kazi hiyo.Acha utani, huwezi kupata Div one ukaenda kusoma ualimu
Hahahahah jamaa angesoma havard , Stanford, Princeton au MIT sijui ingekuaje!?[emoji2][emoji2][emoji1787]Baada ya hivo vigezo,mwisho wa siku inakuwaje?elimu haijalishi mazingira ni kichwa chako
Km ww ni kilaza ni kilaza tu [emoji38] hataa usomee angani
Kwamba wanadhani ukubwa wa Chuo Chao ndio ukubwa wa content wanazosoma.Elimu ya sasa hivi haitaji ukubwa wa chuo bali ni kujiongeza kwa mwanafunzi mwenyewe hivyo mtu anayezungumzia ukubwa wa chuo bado hana maarifa kichwani.
chuo huria wanafunzi wanajisomea wenyewe online,wanafanya practical,zoom meeting harafu useme vilaza ulinganishe na watu wanao kesha na ma lecture madarasaniUkweli huo, umez
Kilaza anaweza kusoma UDSM?? Labda maana ya kilaza iwe imebadilikaBaada ya hivo vigezo,mwisho wa siku inakuwaje?elimu haijalishi mazingira ni kichwa chako
Km ww ni kilaza ni kilaza tu [emoji38] hataa usomee angani
Narudia tena, hakuna aliyepata DIV I Advance akaenda kusoma ualimu. HAKUNAElewa mzee kuna watu wanapenda kua walimu na wapo wabobezi na wana mkwanja kinoma kwa kazi hiyo.
Ukweli nimeshakupa labda nirudie tenawa
chuo huria wanafunzi wanajisomea wenyewe online,wanafanya practical,zoom meeting harafu useme vilaza ulinganishe na watu wanao kesha na ma lecture madarasani
Nyuzi zako tu huwa zinaonesha wewe ni kiazi kitamu,kiunde,juma kilaza.
Intellectual arrogance Yako ni kiwango cha SGR.
huna hoja muflisi.
Huna utafiti wowote kuhusu Hilo Chuo.
Hoja zako umezitoa kwa msingi wa hisia tu sio uhalisia.
Nenda kaangalie top ranking university za nchi hii Hilo Chuo utakiona. Kipo pale juu na akina udsm.
Open university kwa nyakati za Sasa za kiuchumi na kiteknolojia ndio best university.
Ina PhD Holder na professors wa kutosha.
Mifumo ya kisasa ufundishaji.
Tafitii za kutosha.
Wana customer care nzuri.
Na graduands wake wako competitive maana wanafanyis utafiti wanachosoma in deep tofauti na wameza madesa.
Chuo kikuu huria huwezi soma kama huna vigezo vya TCU katika level zote.
Kwakua watz ni wavivu kusoma(hili swala ni janga la Taifa) Ndio maana Wana Notion mbaya kuhusu Hilo Chuo.
Ila wangejua kwamba nyakati za Sasa za mkwamo wa kiuchumi na mchangamko wa teknolojia OPEN university ni only option.
Mpaka shaka hadi hapo utakuws umeelewa ni kiasi gani ulivyo mjinga.
Mimi nakubishia,kuamua kusoma chuo chochote ni maamuzi ya mwanafunzi kulingana na nafasi yake na muda wake,kuna watu wanakazi nyingi sana za kufanya na wanaona hawana muda wa kukaa darasani kusoma,pia mfumo wa usomaji kwa kilaza hawezi kuumudu kwani unahitaji watu wenye uwezo mkubwa wa kuchambua materials kwani siyo spoon feeding,hivyo wanaohitajika ni wale waliokizi vigezo vya tcu na hakuna aliyefeli 4m6 anaruhusiwa kudahiliwa open university of Tanzania.Wengi wanaosoma hapo ni wale walifeli form four au form six alafu wakaungaunga sana. Huwezi kuperform vizuri advance ukaenda kusoma open, HAIWEZEKANI NA HAIPO
Chuo cha mchongo hko.. hawez toboa udsm akawa mwalimu.. watamzinguaWatu kibao wamesoma hicho chuo hasa masters mpk viongozi serikalini,kinatambulika na Tcu sana
Kapige shule
Hebu tuelezee Ile foundation course ni ya kazi gani?Mimi nakubishia,kuamua kusoma chuo chochote ni maamuzi ya mwanafunzi kulingana na nafasi yake na muda wake,kuna watu wanakazi nyingi sana za kufanya na wanaona hawana muda wa kukaa darasani kusoma,pia mfumo wa usomaji kwa kilaza hawezi kuumudu kwani unahitaji watu wenye uwezo mkubwa wa kuchambua materials kwani siyo spoon feeding,hivyo wanaohitajika ni wale waliokizi vigezo vya tcu na hakuna aliyefeli 4m6 anaruhusiwa kudahiliwa open university of Tanzania.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Chuo cha mchongo hko.. hawez toboa udsm akawa mwalimu.. watamzingua
Acha upotishaji wewe,kawadanganye wajinga wajinga huko,ingekua ni hivo watu wangekua wanaoajiriwa ni wa udsm tu.Chuo cha mchongo hko.. hawez toboa udsm akawa mwalimu.. watamzingua
Foundation course ni kuwasaidia wahitimu wa kidato cha sita ambao wamepungukiwa sifa ya kujiunga vyuo vikuu ili waweze kupata sifa kwani ku-resit ni kazi ngumu sana.Hebu tuelezee Ile foundation course ni ya kazi gani?
Nina mifano halisi.
Hata kama humu mnatetea vyuo vyenu.
Na pia mtu aliyesoma hiyo kozi huwezi kumkuta pale out kwani huwa wanaenda kusoma vyuo vingine tofauti, mfano kuna jamaa ysngu anasoma medicine kampala international university of Tanzania, mwingine yupo Archbishop mihayo university of Tanzania-Tabora, hivyo usiishi kwa kukalili na kuwa na mitazamo hasi kama hiyo.Hebu tuelezee Ile foundation course ni ya kazi gani?
Nina mifano halisi.
Hata kama humu mnatetea vyuo vyenu.
Hukifahamu chuo kikuu huria kumbe bwana mdogo.Hiyo ni tuition centre, sio chuo kikuu
Huku mtaani wanafanyiwa assignment na mitihani, wanalipa Hela, hiyo ni tuition centreHukifahamu chuo kikuu huria kumbe bwana mdogo.
THE OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA ni chuo bora duniani na ni namba 7 kwa Afrika kwa ubora na 14 kidunia kwa vyuo vinavyotoa elimu kwa njia ya masafa.
Tatizo lako umekariri chuo kikuu lazima ukae darasani na tambua kuwa duniani huko kwa wenzetu wameshaanza kuachana na kukaa darasani chuo kikuu wanatumia elimu kwa njia ya masafa. Kipindi cha corona vyuo vyote duniani vikiwemo vya Tanzania vilifunga huduma ya masomo isipokuwa vyuo vikuu huria tu kikiwemo cha Tanzania na wanafunzi walifanya mitihani yao kama kawaida.
Pia chuo kikuu huria cha Tanzania ndio chuo namba 1 hapa Tanzania kwa matumizi ya TEHAMA.