Mimi nakubishia,kuamua kusoma chuo chochote ni maamuzi ya mwanafunzi kulingana na nafasi yake na muda wake,kuna watu wanakazi nyingi sana za kufanya na wanaona hawana muda wa kukaa darasani kusoma,pia mfumo wa usomaji kwa kilaza hawezi kuumudu kwani unahitaji watu wenye uwezo mkubwa wa kuchambua materials kwani siyo spoon feeding,hivyo wanaohitajika ni wale waliokizi vigezo vya tcu na hakuna aliyefeli 4m6 anaruhusiwa kudahiliwa open university of Tanzania.
Sent from my SM-A260F using
JamiiForums mobile app