Hivi inawezekana kwa aliyesoma Chuo Kikuu Huria shahada ya kwanza na pili akafundisha UDSM, SUA, Muhimbili au UDOM?

Hivi inawezekana kwa aliyesoma Chuo Kikuu Huria shahada ya kwanza na pili akafundisha UDSM, SUA, Muhimbili au UDOM?

Kuna jamaa angu yuko hapo open,huwa simwelewi, yani yeye toka alivyojoin kazi yake ni kulewa tu huku anawalipa jamaa flani hivi wamfanyie assignments zake.huwa napata mashaka sana na wahitimu wa hapo open.
Ila pia tukubaliane hakuna mtu mwenye grades nzuri utamkuta anasoma open asee.
Wengi wanaosoma hapo ni wale walifeli form four au form six alafu wakaungaunga sana. Huwezi kuperform vizuri advance ukaenda kusoma open, HAIWEZEKANI NA HAIPO
 
Elewa kwanza mada, hata hivyo kigezo cha kuwa raisi ni degree yoyote hata kama ulisoma Teku au Sekomu sijui.

Ila katafute kigezo Cha kuwa Assistant Lecturer UDSM, ndio utaelewa
Baada ya hivo vigezo,mwisho wa siku inakuwaje?elimu haijalishi mazingira ni kichwa chako

Km ww ni kilaza ni kilaza tu 😆 hataa usomee angani
 
Baada ya hivo vigezo,mwisho wa siku inakuwaje?elimu haijalishi mazingira ni kichwa chako

Km ww ni kilaza ni kilaza tu [emoji38] hataa usomee angani
Hahahahah jamaa angesoma havard , Stanford, Princeton au MIT sijui ingekuaje!?[emoji2][emoji2][emoji1787]

Mwambie hata angesoma kuzimu kama bichwa lake ni bogus ni bogus tu.

Alisoma kilangalanga na mzumbe au mpitimbi na st Mary wote wanakutana Chuo kimoja kozi Moja.

Mwisho wa uelewa wako ndio una una matter

Mimi nafanya kazi na udsm graduand mchovu kinyama. Hata kazi hawezi tunampush tu.
 
Elimu ya sasa hivi haitaji ukubwa wa chuo bali ni kujiongeza kwa mwanafunzi mwenyewe hivyo mtu anayezungumzia ukubwa wa chuo bado hana maarifa kichwani.
Kwamba wanadhani ukubwa wa Chuo Chao ndio ukubwa wa content wanazosoma.
 
Baada ya hivo vigezo,mwisho wa siku inakuwaje?elimu haijalishi mazingira ni kichwa chako

Km ww ni kilaza ni kilaza tu [emoji38] hataa usomee angani
Kilaza anaweza kusoma UDSM?? Labda maana ya kilaza iwe imebadilika
 
Nyuzi zako tu huwa zinaonesha wewe ni kiazi kitamu,kiunde,juma kilaza.

Intellectual arrogance Yako ni kiwango cha SGR.

huna hoja muflisi.

Huna utafiti wowote kuhusu Hilo Chuo.

Hoja zako umezitoa kwa msingi wa hisia tu sio uhalisia.

Nenda kaangalie top ranking university za nchi hii Hilo Chuo utakiona. Kipo pale juu na akina udsm.

Open university kwa nyakati za Sasa za kiuchumi na kiteknolojia ndio best university.

Ina PhD Holder na professors wa kutosha.

Mifumo ya kisasa ufundishaji.

Tafitii za kutosha.

Wana customer care nzuri.

Na graduands wake wako competitive maana wanafanyis utafiti wanachosoma in deep tofauti na wameza madesa.

Chuo kikuu huria huwezi soma kama huna vigezo vya TCU katika level zote.

Kwakua watz ni wavivu kusoma(hili swala ni janga la Taifa) Ndio maana Wana Notion mbaya kuhusu Hilo Chuo.

Ila wangejua kwamba nyakati za Sasa za mkwamo wa kiuchumi na mchangamko wa teknolojia OPEN university ni only option.

Mpaka shaka hadi hapo utakuws umeelewa ni kiasi gani ulivyo mjinga.

Open University ndio Inaongoza kupeleka watu kufanga Msc nje ya nchi hasa UK, Achenj nyie, WaTz wanakidharau sana hawajui tu.

Course yake ya MONITORING AND EVALUATION in International Policy Development inatambulika WORLDWIDE kukiwa na Vyuo si chini ya 4 vyenye hiyo kozi zinazotambuliwa International
 
Wengi wanaosoma hapo ni wale walifeli form four au form six alafu wakaungaunga sana. Huwezi kuperform vizuri advance ukaenda kusoma open, HAIWEZEKANI NA HAIPO
Mimi nakubishia,kuamua kusoma chuo chochote ni maamuzi ya mwanafunzi kulingana na nafasi yake na muda wake,kuna watu wanakazi nyingi sana za kufanya na wanaona hawana muda wa kukaa darasani kusoma,pia mfumo wa usomaji kwa kilaza hawezi kuumudu kwani unahitaji watu wenye uwezo mkubwa wa kuchambua materials kwani siyo spoon feeding,hivyo wanaohitajika ni wale waliokizi vigezo vya tcu na hakuna aliyefeli 4m6 anaruhusiwa kudahiliwa open university of Tanzania.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Hebu tuelezee Ile foundation course ni ya kazi gani?

Nina mifano halisi.
Hata kama humu mnatetea vyuo vyenu.
 
Vp pale ajira portal huwa wanataka aina ya vyuo ambao wanafunzi wake wanaruhusiwa kuomba kazi kwa ajili ya kufundisha UDSM. Ebu angalia ajira portal nafasi zilizotangazwa juzi Kama Kuna kitu Kama hicho tofauti na hapo unakuwa mpotoshaji Kama wengine.
Chuo cha mchongo hko.. hawez toboa udsm akawa mwalimu.. watamzingua
 
Hebu tuelezee Ile foundation course ni ya kazi gani?

Nina mifano halisi.
Hata kama humu mnatetea vyuo vyenu.
Foundation course ni kuwasaidia wahitimu wa kidato cha sita ambao wamepungukiwa sifa ya kujiunga vyuo vikuu ili waweze kupata sifa kwani ku-resit ni kazi ngumu sana.
 
Hebu tuelezee Ile foundation course ni ya kazi gani?

Nina mifano halisi.
Hata kama humu mnatetea vyuo vyenu.
Na pia mtu aliyesoma hiyo kozi huwezi kumkuta pale out kwani huwa wanaenda kusoma vyuo vingine tofauti, mfano kuna jamaa ysngu anasoma medicine kampala international university of Tanzania, mwingine yupo Archbishop mihayo university of Tanzania-Tabora, hivyo usiishi kwa kukalili na kuwa na mitazamo hasi kama hiyo.
 
Hiyo ni tuition centre, sio chuo kikuu
Hukifahamu chuo kikuu huria kumbe bwana mdogo.
THE OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA ni chuo bora duniani na ni namba 7 kwa Afrika kwa ubora na 14 kidunia kwa vyuo vinavyotoa elimu kwa njia ya masafa.
Tatizo lako umekariri chuo kikuu lazima ukae darasani na tambua kuwa duniani huko kwa wenzetu wameshaanza kuachana na kukaa darasani chuo kikuu wanatumia elimu kwa njia ya masafa. Kipindi cha corona vyuo vyote duniani vikiwemo vya Tanzania vilifunga huduma ya masomo isipokuwa vyuo vikuu huria tu kikiwemo cha Tanzania na wanafunzi walifanya mitihani yao kama kawaida.
Pia chuo kikuu huria cha Tanzania ndio chuo namba 1 hapa Tanzania kwa matumizi ya TEHAMA.
 
Huku mtaani wanafanyiwa assignment na mitihani, wanalipa Hela, hiyo ni tuition centre
 
Labda zamani ulikuwa ukipata dvn 1 ulikuwa huwezi kusomea ualimu ila miaka ya hivi karibuni kupata dvn 1 sio dili tena ani sio swala kabisa kuna watu wanapata dvn 3 wako SUA UDOM MUST wanasoma faculty tofauti na ualimu na kuna watu wana dvn 1 wanasoma education ni just maamuzi

Ukizingatia miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko LA vyuo vikuu mfano mzuri ni medicine zamani ilikuwa hatari bila One ya 6 hutoboi vyuo vya serikali na vyuo vya serikali vina competition kubwa sio kwa sababu vinatoa pure graduates watu wanakimbilia huko kwa sababu ya ada

Ila Siku hizi one ya 9 unaomba pale UDOM au tawi la MUHAS pale mbeya unapata
 
Back
Top Bottom