Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
NakaziaMoyo wa mtu ni kiza kinene sana
Haya mambo bwana, ushaambiwa, "ukitaka kuruka agana na nyonga", sasa kutombea wenzie anapenda, kutombewa yeye roho inamuumaSwali zuri sana......kihoro cha nini sasa kama hujali[emoji1787]
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Basi ndoa yenu itadumu.Aisee..
Kama huyo jamaa yupo na anamsuply the areas I can't reach...
As For me.. Sina shida.
Nami anipe muda wangu tu...
Bila kujali naumia au siumii ,kipaumbele changu ni kutunza heshima ya mke wangu , haijalishi anakazwa huko nje au lah, ndio maana katika mwaka wa 12 huu tukiwa pamoja, hakuwah his nakaz nje hata kuhis tu hakuwah na alinitafuta kona zoote hakunipata japo show za disco vumbi ni mrukaji mzuri tu, kwa mbaali akaja kuhis ile mwaka jana mwishon na nikafanya juhud zoote kumpa assurance kuwa am innocent.We huumii!?
Adam na Hawa ni hadithi tu, hawajawahi kuwapo.
Yani kuna namna tu wa Cuba tumeelewa maumivu yake,.....mapensi mapensi mabaya[emoji1787][emoji119]Haya mambo bwana, ushaambiwa, "ukitaka kuruka agana na nyonga", sasa kutombea wenzie anapenda, kutombewa yeye roho inamuuma
Asante studio.....azingatie sana hiyo aya ya mwisho, mimi ningekua me ningeogopa sana kiumbe mwanamke hasa mkeBila kujali naumia au siumii ,kipaumbele changu ni kutunza heshima ya mke wangu , haijalishi anakazwa huko nje au lah, ndio maana katika mwaka wa 12 huu tukiwa pamoja, hakuwah his nakaz nje hata kuhis tu hakuwah na alinitafuta kona zoote hakunipata japo show za disco vumbi ni mrukaji mzuri tu, kwa mbaali akaja kuhis ile mwaka jana mwishon na nikafanya juhud zoote kumpa assurance kuwa am innocent.
MUHESHIMU MKE WAKO huyo ni mtu akichafukwa anaweza akakuua dakika 2 tu.Usimkere
Ninavyojua mimi hayo yoote bila heshima ya ndoa yako na kwa mkeo bado haujakuwa mkamilifu,hayo uliyoorodhesha hapo juu hata malaya wanafanyiwa na wahuni.Yani.
Uko On point kila mahala.
School fees
Family and relatives support
Daily chores..domestics upo.
On Bed even better..
Yani you are perfect.
Kuna haja ya mkeo kusema lolote zaidi ya kumshukuru huyo msaada wa pembeni..!?
π haijawai kutokeaYaani mwanamke anyamaze, thubutu
πππππakijua akakaa kimya, ujue naye anamchepuko
.
Inabidi anyamaze as long as ana hudumiwa vizuriYaani mwanamke anyamaze, thubutu