Hivi inawezekana Mke wako akajua mahusiano yako ya nje na akayavumilia, akayaishi ikiwa hutoki relini?

Hivi inawezekana Mke wako akajua mahusiano yako ya nje na akayavumilia, akayaishi ikiwa hutoki relini?

Aisee..
Kama huyo jamaa yupo na anamsuply the areas I can't reach...

As For me.. Sina shida.

Nami anipe muda wangu tu...
Basi ndoa yenu itadumu.
Kweli michepuko huimarisha ndoa😅
 
Basi ndoa yenu itadumu.
Kweli michepuko huimarisha ndoa😅
Kabisa...
Liwa kivyako na ukija kwangu usijaribu kujionesha dalili....
Nitakukagua ...
🥴🥴🥴
 
We huumii!?
Bila kujali naumia au siumii ,kipaumbele changu ni kutunza heshima ya mke wangu , haijalishi anakazwa huko nje au lah, ndio maana katika mwaka wa 12 huu tukiwa pamoja, hakuwah his nakaz nje hata kuhis tu hakuwah na alinitafuta kona zoote hakunipata japo show za disco vumbi ni mrukaji mzuri tu, kwa mbaali akaja kuhis ile mwaka jana mwishon na nikafanya juhud zoote kumpa assurance kuwa am innocent.

MUHESHIMU MKE WAKO huyo ni mtu akichafukwa anaweza akakuua dakika 2 tu.Usimkere
 
Ukiwa na kibunda na home mambo yako sawa huwa wanavumilia hata ukiwa unamcheat. Wanazingatia sana maokoto

Anyway kwanza ukishamzalisha hana tena soko la kuolewa lazima atulie tu ataenda wapi?
 
Kwa swali hili .tuwatag Mshana Jr na Wenzie Kiranga
Mi siko poa Sana kwa biblical verses
Adam na Hawa ni hadithi tu, hawajawahi kuwapo.

Kwenye hoja ya msingi.

Kuna mchizi alikuja kupata malalamiko kutoka kwa mchepuko wake.

Issue ilikuwa, mke alistukia mahusiano ya mume wake na mchepuko.

Mke hakutaka matatizo na mume wake, akamtafuta mchepuko akamwambia achana na mume wangu.

Mchepuko akamwambia mke mume wako ananifuata mwenyewe.

Mume alikuja kupata habari kwa mchepuko.

Mpaka leo mke yuko poa tu kama hana habari yoyote.
 
Bila kujali naumia au siumii ,kipaumbele changu ni kutunza heshima ya mke wangu , haijalishi anakazwa huko nje au lah, ndio maana katika mwaka wa 12 huu tukiwa pamoja, hakuwah his nakaz nje hata kuhis tu hakuwah na alinitafuta kona zoote hakunipata japo show za disco vumbi ni mrukaji mzuri tu, kwa mbaali akaja kuhis ile mwaka jana mwishon na nikafanya juhud zoote kumpa assurance kuwa am innocent.

MUHESHIMU MKE WAKO huyo ni mtu akichafukwa anaweza akakuua dakika 2 tu.Usimkere
Asante studio.....azingatie sana hiyo aya ya mwisho, mimi ningekua me ningeogopa sana kiumbe mwanamke hasa mke

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Yani.

Uko On point kila mahala.

School fees

Family and relatives support

Daily chores..domestics upo.

On Bed even better..

Yani you are perfect.

Kuna haja ya mkeo kusema lolote zaidi ya kumshukuru huyo msaada wa pembeni..!?
Ninavyojua mimi hayo yoote bila heshima ya ndoa yako na kwa mkeo bado haujakuwa mkamilifu,hayo uliyoorodhesha hapo juu hata malaya wanafanyiwa na wahuni.

Ilikuwa haina maana umtoe kwao kwa ahadi ya kwenda kuanzisha nae familia tulivu halafu baada ya muda uendelee kutembeza tupu yako nje bora mapema ungemwambia lengo lako ili ajue achukue hatua gani kama muachane au vipi maana hakuna mwanamke anayependa mume mzinzi.

Kama unadhani amekuelewa subiri anachokiwaza kichwani kwake kitimie urudi hapa kufungua uzi mwengine kuomba ushauri mke anataka mgawane mali.
 
Back
Top Bottom