Hivi inawezekana Mke wako akajua mahusiano yako ya nje na akayavumilia, akayaishi ikiwa hutoki relini?

Hakikisha huyo wa nje ni pisi kali kuliko mkeo, hakika wanawake wakiona unatoka na mzuri zaidi yake lazima awe mpole lkn nyumbani uwe unafix kila kitu sio tena na ww ndo mjaza shimo la choo tuu.
Awe na pesa yani nikifikiria kuziacha narudi nyuma, pisi kali wala hatuogopi wanawake sababu atatokea bwege atakayenipa pesa na mapenzi na kunisifia uzuri nilionao mpk kichwa kitajaa nitajiona hakunaga km mimi 🤣🤣🤣
 
Lkn kuna ile unatembea hv unakutana na mwanamke mkali kuliko ww mpaka unatamani ungekuwa yeye
 
Lkn kuna ile unatembea hv unakutana na mwanamke mkali kuliko ww mpaka unatamani ungekuwa yeye
Wanawake kumbe hujatujua vzr sisi ni wanafiki hata tuone mwanamke mwenzetu mzuri kiasi gani tutatafuta kasoro moja ambayo itanipa nguvu na nitamuona wa kawaida tu!!!
Mtu pekee anayetunyima raha akitukosoa ni mwanaume aiseee… ndiomana tunapendeza ili tusifiwe na wanaume, na sifa ikitolewa na mwanaume tunafurahi kuliko wanawake wenzetu sababu tunajua sifa za kinafiki.
 
Kuna demu flan mshikaji wangu nlwahi kumuuliza khs kumuonea wivu wanawake wenzake pisi kuliko yeye, akasema hua anaona wivu na roho kumuuma akiona demu pisi hasa wenye maumbo kuzidi yeye
 
Kuna demu flan mshikaji wangu nlwahi kumuuliza khs kumuonea wivu wanawake wenzake pisi kuliko yeye, akasema hua anaona wivu na roho kumuuma akiona demu pisi hasa wenye maumbo kuzidi yeye
Alikudanganya 😂😂😂
Hapo aliona wivu sababu bado alikuwa anampenda mshkaji, sisi wanawake tukimchoka mwanaume tunamsaidia mpk kumtongezea mwanamke ili tupumzike 🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umemaliza kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…