Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Awe na pesa yani nikifikiria kuziacha narudi nyuma, pisi kali wala hatuogopi wanawake sababu atatokea bwege atakayenipa pesa na mapenzi na kunisifia uzuri nilionao mpk kichwa kitajaa nitajiona hakunaga km mimi 🤣🤣🤣Hakikisha huyo wa nje ni pisi kali kuliko mkeo, hakika wanawake wakiona unatoka na mzuri zaidi yake lazima awe mpole lkn nyumbani uwe unafix kila kitu sio tena na ww ndo mjaza shimo la choo tuu.