Hivi inawezekana Mke wako akajua mahusiano yako ya nje na akayavumilia, akayaishi ikiwa hutoki relini?

Hivi inawezekana Mke wako akajua mahusiano yako ya nje na akayavumilia, akayaishi ikiwa hutoki relini?

Hakikaa
JamiiForums-14735800.jpg
 
Adam na Hawa ni hadithi tu, hawajawahi kuwapo.

Kwenye hoja ya msingi.

Kuna mchizi alikuja kupata malalamiko kutoka kwa mchepuko wake.

Issue ilikuwa, mke alistukia mahusiano ya mume wake na mchepuko.

Mke hakutaka matatizo na mume wake, akamtafuta mchepuko akamwambia achana na mume wangu.

Mchepuko akamwambia mke mume wako ananifuata mwenyewe.

Mume alikuja kupata habari kwa mchepuko.

Mpaka leo mke yuko poa tu kama hana habari yoyote.
Huyo mchizi si wewe kweli!??😄
 
Ninavyojua mimi hayo yoote bila heshima ya ndoa yako na kwa mkeo bado haujakuwa mkamilifu,hayo uliyoorodhesha hapo juu hata malaya wanafanyiwa na wahuni.

Ilikuwa haina maana umtoe kwao kwa ahadi ya kwenda kuanzisha nae familia tulivu halafu baada ya muda uendelee kutembeza tupu yako nje bora mapema ungemwambia lengo lako ili ajue achukue hatua gani kama muachane au vipi maana hakuna mwanamke anayependa mume mzinzi.

Kama unadhani amekuelewa subiri anachokiwaza kichwani kwake kitimie urudi hapa kufungua uzi mwengine kuomba ushauri mke anataka mgawane mali.
Haya Mambo magumu mkuu... Don't take it too personal...
 
Wapo ila ni wachache sana. Hasa wale wasio na elimu na wana ushamba fulani hivi. Yule mke wa ''askofu'' Gwajima unamjua? Huyu anaweza kuwa mmoja wapo. Hata yule wa mwendazake anaweza kuwa alikuwa hivyo.
Weweeee...hao ambao hawana elimu ndo hatari zaidi ndugu.Usiombe kabisa..kuna maamuzi atafanya utashangaa.Bora tu hawa wenye upeo kuna reasoning atafanya, kuna sehemu ataanzia ambayo kuna kitu inaweza saidia.
 
Hakuna mwanamke anayesamehe usaliti, either atalipiza Kwa kugawa nje, au atakuvizia uzeeni akugombanishe na watoto, akutese Kwa masimango ufe Kwa sonona arithi mali mapema......usione wajane ni wengi kuliko wagane.....Kuna njia halali nyingi za kuua mume bila kushtakiwa.....sasa wewe jidaaaangganyee.
 
Aisee..
Kama huyo jamaa yupo na anamsuply the areas I can't reach...

As For me.. Sina shida.

Nami anipe muda wangu tu...
Fainali uzeeni ndugu, uwezo na nguvu za kuhudumia huyo mchepuko miaka 20 mbele huna na atakukimbia, ila mkeo Kwa mapenzi, mazoea na kutunza heshima ya familia atakuvumilia......sasa siku utayorudisha mpira Kwa kipa ndo utamkuta kipa mkeo kageuka Diara🤣🤣🤣, mara mpira auweke kwapani, mara aukalie.....utakereka upate presha na sukari ufe mapema.

Usijidanganye mkeo haumii, anakusubiri uchoke aanze mashambulizi.....
 
Hakuna mwanamke anayesamehe usaliti, either atalipiza Kwa kugawa nje, au atakuvizia uzeeni akugombanishe na watoto, akutese Kwa masimango ufe Kwa sonona arithi mali mapema......usione wajane ni wengi kuliko wagane.....Kuna njia halali nyingi za kuua mume bila kushtakiwa.....sasa wewe jidaaaangganyee.
Ehh!!!🙆🙆🙆
 
Yani.

Uko On point kila mahala.

School fees

Family and relatives support

Daily chores..domestics upo.

On Bed even better..

Yani you are perfect.

Kuna haja ya mkeo kusema lolote zaidi ya kumshukuru huyo msaada wa pembeni..!?
kama ana akili nzuri,na kwa kutegemea historia yenu,anaweza kuvumilia
 
Weweeee...hao ambao hawana elimu ndo hatari zaidi ndugu.Usiombe kabisa..kuna maamuzi atafanya utashangaa.Bora tu hawa wenye upeo kuna reasoning atafanya, kuna sehemu ataanzia ambayo kuna kitu inaweza saidia.
Ukichukuwa ambao hawana elimu uwe mwangalifu. Kama ukimbilia hawa wa uswazi utakuwa na hali mbaya sana. Wao kuchepuka ni jadi. Kwa kifupi ambaye hana elimu halafu amalimbukia kwenye social media ni hatari. Mimi nazungumzia wale wa vijijini, wenye malezi ya kijijini, hata kusikia mawigi hawajui.
 
Labda uwe na pesa za kutosha na yeye ni tegemezi.
Maana ni Bora uishiwe nguvu za kiume na sio pesa.
 
Wapo ila ni wachache sana. Hasa wale wasio na elimu na wana ushamba fulani hivi. Yule mke wa ''askofu'' Gwajima unamjua? Huyu anaweza kuwa mmoja wapo. Hata yule wa mwendazake anaweza kuwa alikuwa hivyo.
Wale Wana maadili,maadili means Wana Mungu ndani Yao.
Mtu yeyeto asiye na Mungu ndani mwake,kwake dhambi ni maji ya kunywa.
 
Kuchepuka ni hulka ya mtu,hulka ukaa kwenye damu ukichunguza utakuta ni asili yao
 
Back
Top Bottom