Hivi inawezekana mtoto kumzidi Baba ake mzazi miaka miwili? Au mimi ndo sielewi? Ufafanuzi tafadhari

Mkuu unawakika? towa hizo tawala ambazo hazikuandikwa Acha kuhisi masuala muhimu kama hayo ya kitabu kama Huna jibu bora ukae kimya.
nakuletea facts unabisha,kwa hiyo mkuu hii biblia imeandika mambo yote yaliyokuwa yakifanyika wakati huo? Kwa nini unauliza swali huku ukitupa limit wachangiaji? Kuna mambo mengi ndani ya biblia yamefanyiwa uhariri.
 
Hapa nimekubaliana na wewe kwa mara ya kwanza wakristo wengi hata dini yao na biblia hawaijui.

Kafir wa kwanza mwenye akili JF ni Mr lwiva
1. Simu unayotumia kuchart JF imetengenezwa na makafiri 😀😀
2. Hii forum unayotumia imetengenezwa na kafiri 😁😁😁😁
3. Internet unayotumia kuchart sasa hivi JF imetengenezwa na makafiri 😁😁😁
4. Huu muda yaani tarehe, mwezi na mwaka ni ya Gregorian Calender (kafiri ndiyo ametengeneza) 😁😁😁
5. Application unazotumia kwenye simu yako 99.9% zimetengenezwa na makafiri😁😁😁
6. Elimu uliyonayo ni makafiri ndiyo wametengeneza😁😁😁
  • Kuna nchi yoyote ya kiislamu inayotengeneza ndege ambazo mnaenda Macca kuhiji?😀😀😀 ukipatia kuna milion 10 nakutumia sasa hivi😀😀😀
  • Hapo ulipo tupa vitu au bidhaa zilizotengenezwa na makafiri tuone kweli wewe ni muislamu😀😀😀
Makafiri siku zote wanaakili sana na bila wao hata huo uislamu unaona wa maana usingeweza kujivunia. Basi mtumie bidhaa, huduma au vitu vilivyotengenezwa na waislamu au na nchi za kiislamu muone kama hamjaishi kama kipindi cha 602A.D😁😁😁
 
nakuletea facts unabisha,kwa hiyo mkuu hii biblia imeandika mambo yote yaliyokuwa yakifanyika wakati huo? Kwa nini unauliza swali huku ukitupa limit wachangiaji? Kuna mambo mengi ndani ya biblia yamefanyiwa uhariri.
Mkuu naomba ulete hizo facts zitakozo rekebisha hayo makosa ya bibulia.
 
Quran 15:26
Na tulimuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura.
15:27
Na majini tuliwaumba kabla kwa moto wa upepo umoto.
Hapa allah alikuwa na nani kipindi wanamuumba mwanadamu na majini?
 
akikujibu nitag. Kwa Jina la Baba,la Mwana na la Roho Mtakatifu.
 
(not debating, just leaving this here.)

1) Kanuni: Kila kitu kiwe na ushahidi wa waandishi wawili hadi watatu. Angalau vitabu viwili viseme kitu kilekile.

“Kila tatizo litatatuliwa kwa ushahidi wa watu wawili au watatu,” yasema Maandiko."
2Wakorintho.13.1.BHN

"Ni ushahidi wa watu wawili au watatu tu ndio utakaothaminiwa."
Kumbukumbu.19.15.BHN

"Asipokusikia, chukua mtu mmoja au wawili pamoja nawe, ili kwa mawaidha ya mashahidi wawili au watatu, kila tatizo litatuliwe."
mathayo.18.16.BHN

2)
Kitabu kingine kinachoongelea story ya Yehoramu na mwanawe Ahazia.

"Ahazia alianza kutawala akiwa na umri wa miaka ishirini na miwili, akatawala kutoka Yerusalemu kwa muda wa mwaka mmoja. Mama yake aliitwa Athalia, mjukuu wa mfalme Omri mfalme wa Israeli."
2Wafalme.8.26.BHN

So Ahazia alianza kutawala na 22 au 42?

3)
Best Explanation (to me): Makosa ya kiuandishi

"Nakala za awali ziliandikwa kwenye nyenzo zinazoharibika kwa urahisi, na ilibidi zinakiliwe tena na tena kwa mamia ya miaka kabla ya kugunduliwa kwa mashine ya uchapishaji.”

"Herufi kadhaa katika maandishi ya Kiebrania zinafanana sana kwa mwonekano, na hali hii inaonekana hasa kwa herufi zinazowakilisha 22 na 42. Mstari mdogo sana wa kalamu unaweza kufuta au kuchanganya tofauti kati yao."

4) Mfano mwingine ni 2Wafalme 24:8, inayosema “Yehoyakini alikuwa na umri wa miaka 18 alipokuwa mfalme.” Huku 2Mambo ya Nyakati 36:9 ikisema alikuwa na umri wa miaka 8 tu alipokuwa akawa mfalme.”

Kuna uwezekano mkubwa kwamba 2Mambo ya Nyakati 36:9 si sahihi, kwa sababu:

i) umri wa miaka minane ni mdogo sana kwa kawaida kupewa uongozi wa serikali—ingawa Yoashi mwana wa Ahazia alikuwa na umri wa miaka saba tu alipoanza kutawala (2 Wafalme 11:21) na Yosia alikuwa na umri wa miaka minane (2 Wafalme 22:1)

ii) pia kwa sababu Wakaldayo walimtendea kama mtu mzima mwenye kuwajibika na wakamhukumu kifungo cha kudumu Babeli baada ya kujisalimisha kwao mwaka 597 KK.

iii) Zaidi ya hayo, ni vigumu zaidi kudhani kwamba mwandishi wa nakala angeona kimakosa mstari wa ziada wa kumi ambao haukuwepo katika maandishi yake ya awali, kuliko kudhani kwamba alishindwa kuona mstari mmoja ambao ulikuwa umefutika au kupakwa.

MUHIMU:
Hakuna tofauti yoyote iliyoandikwa na kuthibitishwa vizuri katika nakala za maandiko yaliyopatikana inayobadilisha fundisho lolote la Biblia kabisa.

Tofauti zilizopo mara nyingi ni za tahajia (spelling) ya majina maalum na za namba, kama tunavyoona katika mfano huu.

( Q16. Does Jehoiachin’s age in 2 Chronicles contradict 2 Kings? – Bible Discovery TV )
 
1. Simu unayotumia kuchart JF imetengenezwa na makafiri 😀😀
2. Hii forum unayotumia imetengenezwa na kafiri 😁😁😁😁
3. Internet unayotumia kuchart sasa hivi JF imetengenezwa na makafiri 😁😁😁
4. Huu muda yaani tarehe, mwezi na mwaka ni ya Gregorian Calender (kafiri ndiyo ametengeneza) 😁😁😁
5. Application unazotumia kwenye simu yako 99.9% zimetengenezwa na makafiri😁😁😁
6. Elimu uliyonayo ni makafiri ndiyo wametengeneza😁😁😁
  • Kuna nchi yoyote ya kiislamu inayotengeneza ndege ambazo mnaenda Macca kuhiji?😀😀😀 ukipatia kuna milion 10 nakutumia sasa hivi😀😀😀
  • Hapo ulipo tupa vitu au bidhaa zilizotengenezwa na makafiri tuone kweli wewe ni muislamu😀😀😀
Makafiri siku zote wanaakili sana na bila wao hata huo uislamu unaona wa maana usingeweza kujivunia. Basi mtumie bidhaa, huduma au vitu vilivyotengenezwa na waislamu au na nchi za kiislamu muone kama hamjaishi kama kipindi cha 602A.D😁😁😁
Kwel wewe dishi limeyumba
 
Mkuu unanifafanulia au umepata hasira ghafra Acha kubinafsisha dini imani au dini ni chazo cha maarifa kwa wote bila kubagua, kama unajibu ka kimya mkuu.
kubagua? Si ninyi vitabu vyenu vmeandkwa msiwe na urafiki wala kushrikiana na wakristo wala wayahudi, si ninyi ndo mmeambiwa muwaue wasio waislam? Huna akili timamu unahangaika na ktu ambacho unajua fika hakikuongezei chochote ila eti unataka tu kuonyesha wenye mali yao kwmba wana mali fake bs ajabu wny hiyo mali hata hawahaiki na ww maana wao ndo wanajua thaman ya mali waliyonayo why not ukpuganika zako tu na iman yako ukaachana na iman ya wengne maana pia hupungukiwi kama unaona iman yako ni bora sn si utuletee hayo mazuri tuyaone tushawishke kuliko kukosoa iman ya wengne halafu husemi uko kwako kuna mazuri gn huu si ni wehu huu....
 
Jehoram alikuwa na miaka thelathini na mbili alipoanza kutawala; alitawala miaka minane Yerusalemu. (2 Nyakati 21:5 (NRSV)

Akakufa pasipo kupendwa na mtu yeyote. Wakamzika katika mji wa David, lakini wasimzike katika makaburi ya wafalme. (2 Nyakati 22:1-2 (NRSV)

Wakazi wa Yerusalemu wakamweka Ahaziah, mwana wa Jehoram mdogo, kuwa mfalme mahali pake; maana wale watu waliofika pamoja na Waarabu katika kambi, walikuwa wameua wazee, ndiyo maana wakamfanya Ahaziah, mwana wa Jehoram, kuwa mfalme wa Yuda.

Ahaziah alikuwa na miaka arobaini na miwili alipoanza kutawala; alitawala mwaka mmoja Yerusalemu. Mama yake aliitwa Athaliah, mjukuu wa Omri. 2 Nyakati 22:1-2 (NRSV)

Kwa mujibu wa maandishi haya, Jehoram alikuwa na miaka 32 alipoanza kutawala na alitawala miaka 8, hivyo akawa na miaka 40 alipokufa. Lakini mwanae, Ahaziah, alikuwa na miaka 42 alipoanza kutawala, hivyo akawa mkubwa miaka 2 kuliko baba yake! [emoji2962] Je, hili linawezekana?
Kuna kitu kinaitwa "Scribal error". Ni kitu cha kawaida kwenye historical document ambayo imenakiliwa mara nyingi na watu tofauti.
 
Mkuu kwahiyo unakubali kwamba hiyo ni scribal error iliofanywa na roho mtakatifu alio mshukia muandishi?
 
Quran 15:26
Na tulimuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura.
15:27
Na majini tuliwaumba kabla kwa moto wa upepo umoto.
Hapa allah alikuwa na nani kipindi wanamuumba mwanadamu na majini?
Mkuu naona uko nje ya mada haya sio mabishano ya Imani jitahidi kujikita kwenya uzi husika sio mengineyo.
 
(not debating, just leaving this here.)

1) Kanuni: Kila kitu kiwe na ushahidi wa waandishi wawili hadi watatu. Angalau vitabu viwili viseme kitu kilekile.

“Kila tatizo litatatuliwa kwa ushahidi wa watu wawili au watatu,” yasema Maandiko."
2Wakorintho.13.1.BHN

"Ni ushahidi wa watu wawili au watatu tu ndio utakaothaminiwa."
Kumbukumbu.19.15.BHN

"Asipokusikia, chukua mtu mmoja au wawili pamoja nawe, ili kwa mawaidha ya mashahidi wawili au watatu, kila tatizo litatuliwe."
mathayo.18.16.BHN

2)
Kitabu kingine kinachoongelea story ya Yehoramu na mwanawe Ahazia.

"Ahazia alianza kutawala akiwa na umri wa miaka ishirini na miwili, akatawala kutoka Yerusalemu kwa muda wa mwaka mmoja. Mama yake aliitwa Athalia, mjukuu wa mfalme Omri mfalme wa Israeli."
2Wafalme.8.26.BHN

So Ahazia alianza kutawala na 22 au 42?

3)
Best Explanation (to me): Makosa ya kiuandishi

"Nakala za awali ziliandikwa kwenye nyenzo zinazoharibika kwa urahisi, na ilibidi zinakiliwe tena na tena kwa mamia ya miaka kabla ya kugunduliwa kwa mashine ya uchapishaji.”

"Herufi kadhaa katika maandishi ya Kiebrania zinafanana sana kwa mwonekano, na hali hii inaonekana hasa kwa herufi zinazowakilisha 22 na 42. Mstari mdogo sana wa kalamu unaweza kufuta au kuchanganya tofauti kati yao."

4) Mfano mwingine ni 2Wafalme 24:8, inayosema “Yehoyakini alikuwa na umri wa miaka 18 alipokuwa mfalme.” Huku 2Mambo ya Nyakati 36:9 ikisema alikuwa na umri wa miaka 8 tu alipokuwa akawa mfalme.”

Kuna uwezekano mkubwa kwamba 2Mambo ya Nyakati 36:9 si sahihi, kwa sababu:

i) umri wa miaka minane ni mdogo sana kwa kawaida kupewa uongozi wa serikali—ingawa Yoashi mwana wa Ahazia alikuwa na umri wa miaka saba tu alipoanza kutawala (2 Wafalme 11:21) na Yosia alikuwa na umri wa miaka minane (2 Wafalme 22:1)

ii) pia kwa sababu Wakaldayo walimtendea kama mtu mzima mwenye kuwajibika na wakamhukumu kifungo cha kudumu Babeli baada ya kujisalimisha kwao mwaka 597 KK.

iii) Zaidi ya hayo, ni vigumu zaidi kudhani kwamba mwandishi wa nakala angeona kimakosa mstari wa ziada wa kumi ambao haukuwepo katika maandishi yake ya awali, kuliko kudhani kwamba alishindwa kuona mstari mmoja ambao ulikuwa umefutika au kupakwa.

MUHIMU:
Hakuna tofauti yoyote iliyoandikwa na kuthibitishwa vizuri katika nakala za maandiko yaliyopatikana inayobadilisha fundisho lolote la Biblia kabisa.

Tofauti zilizopo mara nyingi ni za tahajia (spelling) ya majina maalum na za namba, kama tunavyoona katika mfano huu.

( Q16. Does Jehoiachin’s age in 2 Chronicles contradict 2 Kings? – Bible Discovery TV )
Mkuu mimi binafsi nimekuelewa kwa ufupi unakili kwamba bibulia sio accurate and authoticity, kuna makosa mengi ya kiwaandishi kwasababu ya kupitia kwa mikono mingi ya watu, sasa swali muhimu ni bado bibulia ni kitabu cha Mungu au cha binaadamu?
 
Jehoram alikuwa na miaka thelathini na mbili alipoanza kutawala; alitawala miaka minane Yerusalemu. (2 Nyakati 21:5 (NRSV)

Akakufa pasipo kupendwa na mtu yeyote. Wakamzika katika mji wa David, lakini wasimzike katika makaburi ya wafalme. (2 Nyakati 22:1-2 (NRSV)

Wakazi wa Yerusalemu wakamweka Ahaziah, mwana wa Jehoram mdogo, kuwa mfalme mahali pake; maana wale watu waliofika pamoja na Waarabu katika kambi, walikuwa wameua wazee, ndiyo maana wakamfanya Ahaziah, mwana wa Jehoram, kuwa mfalme wa Yuda.

Ahaziah alikuwa na miaka arobaini na miwili alipoanza kutawala; alitawala mwaka mmoja Yerusalemu. Mama yake aliitwa Athaliah, mjukuu wa Omri. 2 Nyakati 22:1-2 (NRSV)

Kwa mujibu wa maandishi haya, Jehoram alikuwa na miaka 32 alipoanza kutawala na alitawala miaka 8, hivyo akawa na miaka 40 alipokufa. Lakini mwanae, Ahaziah, alikuwa na miaka 42 alipoanza kutawala, hivyo akawa mkubwa miaka 2 kuliko baba yake! [emoji2962] Je, hili linawezekana?
Kuna gap baina ya baba na mtoto wake kwani kuna watawala kadhar katika ti yao. Ləng na ujumbe wa kitabı ni kuonesha jinsi ambavyo mango wa Mungu ulikuwa ni kufanya utawala ubaki kwenye damu ya rafiki yake.
 
Mkuu mimi binafsi nimekuelewa kwa ufupi unakili kwamba bibulia sio accurate and authoticity, kuna makosa mengi ya kiwaandishi kwasababu ya kupitia kwa mikono mingi ya watu, sasa swali muhimu ni bado bibulia ni kitabu cha Mungu au cha binaadamu?
Soma sentensi yangu ya kwanza.

Navyotoaga hiyo taadhari huwa nina maana yangu.
 
(not debating, just leaving this here.)

1) Kanuni: Kila kitu kiwe na ushahidi wa waandishi wawili hadi watatu. Angalau vitabu viwili viseme kitu kilekile.

“Kila tatizo litatatuliwa kwa ushahidi wa watu wawili au watatu,” yasema Maandiko."
2Wakorintho.13.1.BHN

"Ni ushahidi wa watu wawili au watatu tu ndio utakaothaminiwa."
Kumbukumbu.19.15.BHN

"Asipokusikia, chukua mtu mmoja au wawili pamoja nawe, ili kwa mawaidha ya mashahidi wawili au watatu, kila tatizo litatuliwe."
mathayo.18.16.BHN

2)
Kitabu kingine kinachoongelea story ya Yehoramu na mwanawe Ahazia.

"Ahazia alianza kutawala akiwa na umri wa miaka ishirini na miwili, akatawala kutoka Yerusalemu kwa muda wa mwaka mmoja. Mama yake aliitwa Athalia, mjukuu wa mfalme Omri mfalme wa Israeli."
2Wafalme.8.26.BHN

So Ahazia alianza kutawala na 22 au 42?

3)
Best Explanation (to me): Makosa ya kiuandishi

"Nakala za awali ziliandikwa kwenye nyenzo zinazoharibika kwa urahisi, na ilibidi zinakiliwe tena na tena kwa mamia ya miaka kabla ya kugunduliwa kwa mashine ya uchapishaji.”

"Herufi kadhaa katika maandishi ya Kiebrania zinafanana sana kwa mwonekano, na hali hii inaonekana hasa kwa herufi zinazowakilisha 22 na 42. Mstari mdogo sana wa kalamu unaweza kufuta au kuchanganya tofauti kati yao."

4) Mfano mwingine ni 2Wafalme 24:8, inayosema “Yehoyakini alikuwa na umri wa miaka 18 alipokuwa mfalme.” Huku 2Mambo ya Nyakati 36:9 ikisema alikuwa na umri wa miaka 8 tu alipokuwa akawa mfalme.”

Kuna uwezekano mkubwa kwamba 2Mambo ya Nyakati 36:9 si sahihi, kwa sababu:

i) umri wa miaka minane ni mdogo sana kwa kawaida kupewa uongozi wa serikali—ingawa Yoashi mwana wa Ahazia alikuwa na umri wa miaka saba tu alipoanza kutawala (2 Wafalme 11:21) na Yosia alikuwa na umri wa miaka minane (2 Wafalme 22:1)

ii) pia kwa sababu Wakaldayo walimtendea kama mtu mzima mwenye kuwajibika na wakamhukumu kifungo cha kudumu Babeli baada ya kujisalimisha kwao mwaka 597 KK.

iii) Zaidi ya hayo, ni vigumu zaidi kudhani kwamba mwandishi wa nakala angeona kimakosa mstari wa ziada wa kumi ambao haukuwepo katika maandishi yake ya awali, kuliko kudhani kwamba alishindwa kuona mstari mmoja ambao ulikuwa umefutika au kupakwa.

MUHIMU:
Hakuna tofauti yoyote iliyoandikwa na kuthibitishwa vizuri katika nakala za maandiko yaliyopatikana inayobadilisha fundisho lolote la Biblia kabisa.

Tofauti zilizopo mara nyingi ni za tahajia (spelling) ya majina maalum na za namba, kama tunavyoona katika mfano huu.

( Q16. Does Jehoiachin’s age in 2 Chronicles contradict 2 Kings? – Bible Discovery TV )
(not debating just leaving this here)

1) Kama kawaida katika changamoto za Biblia, mambo hayako rahisi kama yanavyoweza kuonekana mwanzoni.

Badala ya kudhani kwamba Maandiko yamekosea, watafsiri makini zaidi (na wenye uzoefu) watasita kutoa hukumu na kutafuta suluhisho.

Hii si kupinga kwamba kuna makosa / tofauti za kunakili katika nakala za maandiko, bali kwamba baadhi ya tofauti kati ya mistari inaweza kuwa na ufahamu mkubwa zaidi ikiwa tutakabiliana nazo kwa makini badala ya kudhani kwamba ni tu kosa la kunakili ndilo chanzo cha tofauti hiyo.

"Ahazia alianza kutawala akiwa na umri wa miaka ishirini na miwili, akatawala kutoka Yerusalemu kwa muda wa mwaka mmoja. Mama yake aliitwa Athalia, mjukuu wa mfalme Omri mfalme wa Israeli."
2Wafalme.8.26.BHN

"Ahazia, alianza kutawala akiwa mwenye umri wa miaka arubaini na miwili, akatawala kutoka Yerusalemu kwa muda wa mwaka mmoja. Mama yake aliitwa Athalia, mjukuu wa Omri."
2Nyakati.22.2.BHN

2)
Wengi wamegundua jinsi herufi za 22 na 42 zinavyofanana hivyo kupendekeza kwamba mwandishi anaweza kuwa amesoma na kuikopi vibaya.

Hii inaweza kuwa ndiyo tafsiri, lakini inakutana na tatizo: Nakala za Kiebrania katika mistari hii miwili hazitumii herufi kuwakilisha umri, bali zinatoa umri kwa maneno.

[ḇen–ʾarbāʿîm wšettayim šānâ] : [a] son of forty and two years : Mwana wa miaka arobaini na miwili

[ḇen–ʿeśrîm wšettayim šānâ] : [a] son of twenty and two years : Mwana wa miaka ishirini na miwili

Maneno ya arobaini na ishirini si rahisi kuchanganywa.

Hili limewafanya baadhi ya chronologists kufikia maelezo mengine ambayo ndani yake kauli zote mbili zinaweza kuwa za kweli.

3) Ufunguo wa kuelewa jambo hili unapatikana kwa kutambua kwamba kwa Kiebrania hapasemi “mwenye umri wa miaka arobaini na miwili.” Badala yake anatumia msemo wa Kiebrania “mwana wa miaka 42.”

Swali linakuwa: mwana wa nani?

4)
Ingawa inaweza kumaanisha “mwana aliyezaliwa na baba yake wa karibu miaka 42 iliyopita,” neno mwana lina maana pana sana katika Kiebrania, na mara nyingi hutumiwa kuhusiana na babu au mtangulizi mwingine, si lazima baba wa moja kwa moja.

Hili ndilo wazo linalopendekezwa na wachambuzi wengi wa Biblia.

5) Kitu kimoja ambacho mistari yote miwili inasisitiza ni kwamba jina la mama yake lilikuwa Ataliah, mjukuu wa Omri ambaye alikuwa mfalme wa Israeli (Ufalme wa Kaskazini).

Kwahiyo Hapa kuna mfalme ameketi kwenye kiti cha enzi cha Yuda (Ufalme wa Kusini), ambaye ni mzaliwa wa ukoo uliomuasi MUNGU kutoka Ufalme wa Kaskazini.

Omri ni baba wa Ahabu, mfalme muovu aliyemuoa malkia muovu Yezebeli. Kwahiyo huyu mama Athaliah ni mjukuu wa Yezebeli.

"Omri alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; alifanya maovu zaidi ya wale wote waliomtangulia."
1Wafalme.16.25.BHN

"Nyinyi mnafuata mfano mbaya wa mfalme Omri na mfano wa jamaa ya mfalme Ahabu na mfano mbaya wa jamaa ya mwanawe, Ahabu, na mmefuata mashauri yao. Kwa hiyo nitawaleteeni maangamizi, na kila mtu atawadharau. Watu watawadhihaki kila mahali.”
mika.6.16.BHN

MUNGU anakataa
kumtambua Ahazi kama mwana wa Daudi, badala yake anamtambulisha kupitia mama yake, mjukuu wa Yezebeli muovu.

Yeye ni mzao wa nyumba ya Ahabu, mwana wa nyumba ya Omri, na kwa maana hiyo ni “mwana wa miaka 42,” kwa kuwa nasaba (dynasty) ya nyumba ya Omri ilikuwa na umri wa miaka 42 kamili.

Hiyo si njia ya “kisasa” ya kuandika historia, bali ni njia ya waandishi wa Agano la Kale na wa Agano Jipya.

Huo ulikuwa mwaka wa 42 kamili wa nasaba (dynasty) ya Israeli aliyoiunda Omri mwaka 929 BC alipomuua Zimri.

Miaka hii 42 si umri wa Ahazia, bali ni umri wa utawala wa familia ya Omri, mfalme wa Israeli.

Umri wa Ahazia unakuja kutajwa kuwa ni 22.

6) Wengine hufasiri hiyo miaka 42 kuwa ni umri wa mama yake Athalia, yaani mwana wa mama aliyekuwa na umri huo; na kwa haki kabisa umri wake ukawekwa badala ya wake, ili kumlaumu, kwa sababu yeye ndiye aliyemwelekeza na kufanya apendavyo—kwa hakika, yeye ndiye aliyekuwa akitawala, naye hakuwa na zaidi ya cheo cha mfalme tu.

Kwa hiyo wewe ikiandikwa Kikwete alianza kutawala akiwa na miaka 32

Kisha baadaye mtoto wake akatawala akiwa na miaka 42
Maana yake kikwete kazidiwa miaka 10 na mtoto wake?

Hiki kinaweza kuwa kichekesho cha kufunga mwaka
Hayo maandikk hayaoneshi muda umepita,tena wamelazimika kuweka mtoto maana wanaume wakubwa waliuawa
 
Wapi wameandika kwamba mda ulikua umepita nahapakua na mfalume, Acha kuhisi mambo muhimu.
 
Jehoram alikuwa na miaka thelathini na mbili alipoanza kutawala; alitawala miaka minane Yerusalemu. (2 Nyakati 21:5 (NRSV)

Akakufa pasipo kupendwa na mtu yeyote. Wakamzika katika mji wa David, lakini wasimzike katika makaburi ya wafalme. (2 Nyakati 22:1-2 (NRSV)

Wakazi wa Yerusalemu wakamweka Ahaziah, mwana wa Jehoram mdogo, kuwa mfalme mahali pake; maana wale watu waliofika pamoja na Waarabu katika kambi, walikuwa wameua wazee, ndiyo maana wakamfanya Ahaziah, mwana wa Jehoram, kuwa mfalme wa Yuda.

Ahaziah alikuwa na miaka arobaini na miwili alipoanza kutawala; alitawala mwaka mmoja Yerusalemu. Mama yake aliitwa Athaliah, mjukuu wa Omri. 2 Nyakati 22:1-2 (NRSV)

Kwa mujibu wa maandishi haya, Jehoram alikuwa na miaka 32 alipoanza kutawala na alitawala miaka 8, hivyo akawa na miaka 40 alipokufa. Lakini mwanae, Ahaziah, alikuwa na miaka 42 alipoanza kutawala, hivyo akawa mkubwa miaka 2 kuliko baba yake! [emoji2962] Je, hili linawezekana?
Hilo linawezekana Tanzania pekee,hamna pengine duniani hilo linawezekana.
 
Mkuu kwahiyo unakubali kwamba hiyo ni scribal error iliofanywa na roho mtakatifu alio mshukia muandishi?
Kumbuka duniani tumepewa muongozo na Mungu ila na shetani yupo kutia dosari ili tujalibiwe ....au weee dini yako inasema Mungu yupo ila shetani hayupo? Kwa nini umeusisha makosa (error) na Roho Mtakatifu siyo na Shetani.
 
Back
Top Bottom