Hivi inawezekana rais bachelor kukaa ikulu?

Hivi inawezekana rais bachelor kukaa ikulu?

Na kama mtu kazaliwa akiwa hawezi ku maintain erectile penis...hana haki ya kuwa rais?

Mkuu na hii umeitoa wapi???? Kwani Urais ni kama upadre? Kama huna erectile penis huwezi kupewa upadre...
 
raisi asiye na mke hafai, lakin kumuoa josephine ni sawa na bure maana yule mkurupukaji tu
 
Mkuu,

Kwani aliyekwambia Dr Slaa hajaoa nani?
Dr Slaa ameoa na ana mtoto na mkewe Josephine

Au ulikuwa unataka yapigwe MATARUMBETA mtaani na wewe ushiriki Kula pilau?
 
Si wanasema ukiishi na mwanamke kwa miezi sita au zaidi Serikali inamtambua kuwa ni mkeo!
 
Mkuu,

Kwani aliyekwambia Dr Slaa hajaoa nani?
Dr Slaa ameoa na ana mtoto na mkewe Josephine

Au ulikuwa unataka yapigwe MATARUMBETA mtaani na wewe ushiriki Kula pilau?

josephine anatambulika kama mchumba wake c mke
 
Kwani lazima kuoa tena bora mabachela maana hawa ma firstlady wanatuongezea foleni tu za ving'ora na kumakiza kodi zetu kwa kuanzisha vi NGO's na safari zisizokuwa na msingi
 
Mbowe hawezi kugombea uraisi sababu katiba mpya itataka mgombea uraisi angalau aweze kuwa na degree sasa mbowe na form four yake ataenda wapi hata ubunge hataweza kwenda,kingine slaa nae hawezi kuwa mgombea sababu hana mke,labda mabele marando
unaonaje uwe shemej yetu uolewe na slaa?
 
Mkuu,

Kwani aliyekwambia Dr Slaa hajaoa nani?
Dr Slaa ameoa na ana mtoto na mkewe Josephine

Au ulikuwa unataka yapigwe MATARUMBETA mtaani na wewe ushiriki Kula pilau?
kaka wabongo bila pilau na matarubeta ya anamelemeta-anamelemeta hawawezi kuamini kwamba ndoa imefungwa - ngoja wasubirie - ha ha ha
 
Jaman naomba kuuliza kama inawezekana rais asiye na mke akaingia ikulu.
Nauliza hv kwa sababu vijana wapenda mageuzi tunataman dr. wetu Slaa aingie ikulu lakini ninavyojua mimi dr. ana mchumba tu josephine. Josephine hadi sasa anajulikana kama mchumba na si mke. Je slaa itabid aoe kwanza ndo aingie madarakani?
Threads zingine huwa ni za kuondolea stress. Hakika nimefurahi na kucheka sana, sijui wanaojadiliwa wanajisikiaje? Yaani kama namwona Mkapa anacheka ile mbaya kwa kusoma michango ya uzi huu. Slaa kanuna kweli kweli, n.k.
 
Lowasa ana mke mzuri tu tena wa ndoa kwa hiyo kwa sasa hakuna wasiwasi swali lako liweke utauliza mwaka 2020 au 2025.
 
I don't think kama itakuwa so potential
Cha msingi ni uaminifu na uongozi bora tu.
 
slaa inabid aoe lakin atafute mke mwingne sio josephine. Josephine huwa anaropoka hata vitu ambavyo slaa mwenyewe anaona aibu. Akiingia nae ikulu ni janga kwa tanzania
 
Jaman naomba kuuliza kama inawezekana rais asiye na mke akaingia ikulu.
Salale!
Tukipata Rais bachela wa kiukweli(siyo kama mzee wa kuelekea Chalinze ,kama Dr wa chama fulani!)

Disco kuanzia ijumaa kila wiki
Miss Tanzania kila week end ya mwezi
Mashindano ya Disco kufanyika Ikulu kila baada ya miezi sita
Ma miss kuingia Ikulu kumtebelea Rais

Msafara wa Rais utakuwa wa Lamborghini na Ferrari
Marufuku Rais kupanda Landrover 109
Kiatu ni stilletto na dont touch
Baibui, Hijab, kanzu, kanga vitenge ,migolole hata mashati yasiyochomekwa itakuwa marufuku maeneo ya Ikulu
Akionekana mtu kavaa ndala au makubadhi kwenye shughuli ya kiserekali atashitakiwa mara moja.

Rais kijana bachela atakuwa poa.
 
Kwani mama yetu Salma anafanya nn cha kipekee?
Alafu mbona siku hizi ile misafara yake mikoani si isikii tena?
Hata hivyo umuhimu wa rais kuwa na mwenzi kwa sababu tu ya persnality yake upo palepale!
 
Back
Top Bottom