Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kama mtu kazaliwa akiwa hawezi ku maintain erectile penis...hana haki ya kuwa rais?
Nafikiri ni hatari zaidi kuwa na Raisi mzinzi, anaweza kuuza nchi.
Mkuu,
Kwani aliyekwambia Dr Slaa hajaoa nani?
Dr Slaa ameoa na ana mtoto na mkewe Josephine
Au ulikuwa unataka yapigwe MATARUMBETA mtaani na wewe ushiriki Kula pilau?
josephine anatambulika kama mchumba wake c mke
unaonaje uwe shemej yetu uolewe na slaa?Mbowe hawezi kugombea uraisi sababu katiba mpya itataka mgombea uraisi angalau aweze kuwa na degree sasa mbowe na form four yake ataenda wapi hata ubunge hataweza kwenda,kingine slaa nae hawezi kuwa mgombea sababu hana mke,labda mabele marando
kaka wabongo bila pilau na matarubeta ya anamelemeta-anamelemeta hawawezi kuamini kwamba ndoa imefungwa - ngoja wasubirie - ha ha haMkuu,
Kwani aliyekwambia Dr Slaa hajaoa nani?
Dr Slaa ameoa na ana mtoto na mkewe Josephine
Au ulikuwa unataka yapigwe MATARUMBETA mtaani na wewe ushiriki Kula pilau?
Threads zingine huwa ni za kuondolea stress. Hakika nimefurahi na kucheka sana, sijui wanaojadiliwa wanajisikiaje? Yaani kama namwona Mkapa anacheka ile mbaya kwa kusoma michango ya uzi huu. Slaa kanuna kweli kweli, n.k.Jaman naomba kuuliza kama inawezekana rais asiye na mke akaingia ikulu.
Nauliza hv kwa sababu vijana wapenda mageuzi tunataman dr. wetu Slaa aingie ikulu lakini ninavyojua mimi dr. ana mchumba tu josephine. Josephine hadi sasa anajulikana kama mchumba na si mke. Je slaa itabid aoe kwanza ndo aingie madarakani?
Na kama mtu kazaliwa akiwa hawezi ku maintain erectile penis...hana haki ya kuwa rais?
slaa inabid aoe lakin atafute mke mwingne sio josephine. Josephine huwa anaropoka hata vitu ambavyo slaa mwenyewe anaona aibu. Akiingia nae ikulu ni janga kwa tanzania
kwa hiyo akuoe wewe?
Salale!Jaman naomba kuuliza kama inawezekana rais asiye na mke akaingia ikulu.