Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
😀😀kwa njia jinsi mambo yanavyokwenda kweli Nusu Mkate yanukia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀kwa njia jinsi mambo yanavyokwenda kweli Nusu Mkate yanukia
Hakuna nchi yenye kufanya uchaguzi bila dosari tumeona uchaguzi wa marekani ndio wameendelea kwenye kila kitu na mie nimeona muraga na wenzie wamekosewa sababu hoja bishaniwa ilikuwa ni namna kura zilivyosafirishwa kutoka kwenye vituo vya kura kwenda kwenye kituo kikuu Cha majumuisho kisha nikajiuliza kwakuwa odinga ajapinga mahesabu ya kura kutoka kwenye vituo vya kura kwanini hakutoa order ili IEBC warudie upya kuhesabu kura au kusafirisha kura kwa usahihi na Sio kubatilisha uchaguzi wote sasa kama uchaguzi wa uraisi una dosari maana yake hata ule wa magavana, maseneta, wabunge nao ulikuwa batili..... Mahakama imetaka kuweka historia Lakini naamini mwisho wao haukuwa sahihi....Hapa nawaza na kuwasilisha, mahakama ya Kenya imebatilisha matokeo ya uchaguzi kwa kile ilichokitaja kuwa ukiukwaji wa katiba na tume huru ya uchaguzi. Japo mahakama iliomba muda ili itoe maelezo kamili kuhusu ilivyofikia kwenye hayo maaamuzi, hivyo kwa kifupi hadi hapo hakuna anayejua nini sababu haswa za kufutwa kwa matokeo, sote tunasubiri kwa hamu taarifa kamili.
Ninachojiuliza, hivi inawezekana tukarudia uchaguzi na ufanyike mwanzo hadi mwisho bila dosari? Ama ndio tena tutajikuta kwenye hali hii hii baada ya siku sitini zijazo. Kama Wakenya tumejiandaa vipi, maana kampeni zimeanza, hivyo inamaana tutaburuzana kwa miezi miwili ijayo, ikumbukwe pia Raila naye ameanzisha mtiti dhidi ya tume, hivyo lazima patachimbika hadi awatolee nje viongozi wa tume kama alivyofanya kwa wale wa awali.
Vipi katiba inasema nini, ama inawezekana tukarudia chaguzi mpaka basi, maana kila ikitokea dosari tutarudi hapa. Binafsi nina furaha kwa kuona mahakama zetu zimedhihirisha kuwa huru, lakini nahisi sisi wenyewe hatupo tayari kwa demokrasia ya kiwango hicho.
Hakuna nchi yenye kufanya uchaguzi bila dosari tumeona uchaguzi wa marekani ndio wameendelea kwenye kila kitu na mie nimeona muraga na wenzie wamekosewa sababu hoja bishaniwa ilikuwa ni namna kura zilivyosafirishwa kutoka kwenye vituo vya kura kwenda kwenye kituo kikuu Cha majumuisho kisha nikajiuliza kwakuwa odinga ajapinga mahesabu ya kura kutoka kwenye vituo vya kura kwanini hakutoa order ili IEBC warudie upya kuhesabu kura au kusafirisha kura kwa usahihi na Sio kubatilisha uchaguzi wote sasa kama uchaguzi wa uraisi una dosari maana yake hata ule wa magavana, maseneta, wabunge nao ulikuwa batili..... Mahakama imetaka kuweka historia Lakini naamini mwisho wao haukuwa sahihi....
Sent using Jamii Forums mobile app
Chapaneni tu tujue moja. Mnachosha.Cha msingi sasa hivi ni kusubiri hukumu yenyewe ili tuichambue neno kwa neno na kujua kipi kilisababisha mahakama kubatilisha uchaguzi wote. Binafsi pia nahisi ingekua busara kuzihesabu upya, anyway kwa vyovyote vile tutarudi uwanjani tena kwenye mafoleni na kupiga kura kwa mamilioni.
Wabunge, magava,na maseneta, na MCA wote watatiririka mashinani kuwafanyia kampeni akina Raila na Uhuru, hapo mchezo utakua wa kuvutia.
Tumia akili kuwaza na kujadili maada ambazo zinatakiwa kuwa kioo kwa mataifa yaliyoendelea yaliyoendelea. Hatutarajii kuwa na uchaguzi wenye dosari kwani hiyo inaminya demokrasia kwa kiasi kikubwa. Angalia mataifa mengi duniani yanaiangazia Kenya km nchi yenye katiba huru, thabiti na mihimili yake inaheshimiana.Hapa nawaza na kuwasilisha, mahakama ya Kenya imebatilisha matokeo ya uchaguzi kwa kile ilichokitaja kuwa ukiukwaji wa katiba na tume huru ya uchaguzi. Japo mahakama iliomba muda ili itoe maelezo kamili kuhusu ilivyofikia kwenye hayo maaamuzi, hivyo kwa kifupi hadi hapo hakuna anayejua nini sababu haswa za kufutwa kwa matokeo, sote tunasubiri kwa hamu taarifa kamili.
Ninachojiuliza, hivi inawezekana tukarudia uchaguzi na ufanyike mwanzo hadi mwisho bila dosari? Ama ndio tena tutajikuta kwenye hali hii hii baada ya siku sitini zijazo. Kama Wakenya tumejiandaa vipi, maana kampeni zimeanza, hivyo inamaana tutaburuzana kwa miezi miwili ijayo, ikumbukwe pia Raila naye ameanzisha mtiti dhidi ya tume, hivyo lazima patachimbika hadi awatolee nje viongozi wa tume kama alivyofanya kwa wale wa awali.
Vipi katiba inasema nini, ama inawezekana tukarudia chaguzi mpaka basi, maana kila ikitokea dosari tutarudi hapa. Binafsi nina furaha kwa kuona mahakama zetu zimedhihirisha kuwa huru, lakini nahisi sisi wenyewe hatupo tayari kwa demokrasia ya kiwango hicho.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Waoga nyie, watanzania wamevamua jukwaa wakenya wote mmekimbia na kujificha nyuma ya kabati [emoji38]
Mzee hebu nisaidie kitu kodogo halafu ntakuja kuchangia baadae!Hapa nawaza na kuwasilisha, mahakama ya Kenya imebatilisha matokeo ya uchaguzi kwa kile ilichokitaja kuwa ukiukwaji wa katiba na tume huru ya uchaguzi. Japo mahakama iliomba muda ili itoe maelezo kamili kuhusu ilivyofikia kwenye hayo maaamuzi, hivyo kwa kifupi hadi hapo hakuna anayejua nini sababu haswa za kufutwa kwa matokeo, sote tunasubiri kwa hamu taarifa kamili.
Ninachojiuliza, hivi inawezekana tukarudia uchaguzi na ufanyike mwanzo hadi mwisho bila dosari? Ama ndio tena tutajikuta kwenye hali hii hii baada ya siku sitini zijazo. Kama Wakenya tumejiandaa vipi, maana kampeni zimeanza, hivyo inamaana tutaburuzana kwa miezi miwili ijayo, ikumbukwe pia Raila naye ameanzisha mtiti dhidi ya tume, hivyo lazima patachimbika hadi awatolee nje viongozi wa tume kama alivyofanya kwa wale wa awali.
Vipi katiba inasema nini, ama inawezekana tukarudia chaguzi mpaka basi, maana kila ikitokea dosari tutarudi hapa. Binafsi nina furaha kwa kuona mahakama zetu zimedhihirisha kuwa huru, lakini nahisi sisi wenyewe hatupo tayari kwa demokrasia ya kiwango hicho.
Mzee hebu nisaidie kitu kodogo halafu ntakuja kuchangia baadae!
Wafanya kazi wa tume huru ya uchaguzi na mipaka wanapatikana kwa utaratibu upi? Wanawajibika kwa nani? Nini nafasi ya vyama vya siasa dhidi ya tume hii? Utaratibu wa kuwaondoa madarakani ukoje?
Akhsante sana! Niliuliza hili suala kwa kuwa hapa kwenye tume ndo kuna kiini kizima na pengine sura ya nini kinaweza kutokea!Muundo wa tume ni makamishna tisa wakiwa na mwenyekiti na naibu wake, halafu pembeni kuna katibu na watendaji wengine.
Huwa lazima bunge iridhie kuajiriwa au kufutwa kwao kazi, rais hana mamalaka juu yao kikatiba. Na kuwafuta huwa ni mchakato unaohusu kuburuzana bungeni, hivyo sio kitu cha kutegemea ndani ya siku sitini zijazo.
Lakini watendaji wanawajibika kwa mwenyekiti na ana uwezo wa kuwatolea nje.
Hapa nawaza na kuwasilisha, mahakama ya Kenya imebatilisha matokeo ya uchaguzi kwa kile ilichokitaja kuwa ukiukwaji wa katiba na tume huru ya uchaguzi. Japo mahakama iliomba muda ili itoe maelezo kamili kuhusu ilivyofikia kwenye hayo maaamuzi, hivyo kwa kifupi hadi hapo hakuna anayejua nini sababu haswa za kufutwa kwa matokeo, sote tunasubiri kwa hamu taarifa kamili.
Ninachojiuliza, hivi inawezekana tukarudia uchaguzi na ufanyike mwanzo hadi mwisho bila dosari? Ama ndio tena tutajikuta kwenye hali hii hii baada ya siku sitini zijazo. Kama Wakenya tumejiandaa vipi, maana kampeni zimeanza, hivyo inamaana tutaburuzana kwa miezi miwili ijayo, ikumbukwe pia Raila naye ameanzisha mtiti dhidi ya tume, hivyo lazima patachimbika hadi awatolee nje viongozi wa tume kama alivyofanya kwa wale wa awali.
Vipi katiba inasema nini, ama inawezekana tukarudia chaguzi mpaka basi, maana kila ikitokea dosari tutarudi hapa. Binafsi nina furaha kwa kuona mahakama zetu zimedhihirisha kuwa huru, lakini nahisi sisi wenyewe hatupo tayari kwa demokrasia ya kiwango hicho.
wabongo hawawezi kukaa kimya lazima tutoe ushauri sababu sisi hatutaki kupokea wakimbizi,tanzania, kifupi athari mtakazopata huko, sis pia tutakuwa affected.waache hawa wabongo...jamaa wanashabikia jambo utadhani yesu amerudi...mbona hizi mammbo za kawaida tu? wapo mbali sana mkuu
Hapa nawaza na kuwasilisha, mahakama ya Kenya imebatilisha matokeo ya uchaguzi kwa kile ilichokitaja kuwa ukiukwaji wa katiba na tume huru ya uchaguzi. Japo mahakama iliomba muda ili itoe maelezo kamili kuhusu ilivyofikia kwenye hayo maaamuzi, hivyo kwa kifupi hadi hapo hakuna anayejua nini sababu haswa za kufutwa kwa matokeo, sote tunasubiri kwa hamu taarifa kamili.
Ninachojiuliza, hivi inawezekana tukarudia uchaguzi na ufanyike mwanzo hadi mwisho bila dosari? Ama ndio tena tutajikuta kwenye hali hii hii baada ya siku sitini zijazo. Kama Wakenya tumejiandaa vipi, maana kampeni zimeanza, hivyo inamaana tutaburuzana kwa miezi miwili ijayo, ikumbukwe pia Raila naye ameanzisha mtiti dhidi ya tume, hivyo lazima patachimbika hadi awatolee nje viongozi wa tume kama alivyofanya kwa wale wa awali.
Vipi katiba inasema nini, ama inawezekana tukarudia chaguzi mpaka basi, maana kila ikitokea dosari tutarudi hapa. Binafsi nina furaha kwa kuona mahakama zetu zimedhihirisha kuwa huru, lakini nahisi sisi wenyewe hatupo tayari kwa demokrasia ya kiwango hicho.
Pumbavu zako, huelewi nchi yetu ya Kenya wewe! Sisi tunafanya yetu hatuangalii mzungu wala nini! Kwani watatoka kwao waje kupiga kura? Nyinyi tz mnang'ang'ania katiba yenyu ya jadi na dikteta wenyu ili muwafurahishe nani? Babu Zenyu, Mugabe, Museveni au nani?Si mnataka kusifiwa na Muzungu, kwamba Kenya is a democratic country in Afrika, haya sasa, mlishalikoroga itabidi tu mlinywe, na huo uchaguzi hautaisha labda Raila Odinga atangazwe mshindi vinginevyo utaendelea mpaka 2020, mpaka mpate election fatigue halafu Wakikuyu wakubali kumuachia Jaluo nchi, na hiyo itakuwa ni suicide kwa Kikuyu people, Mimi demu wangu ameshahamia Bongo kitaambo, hivyo shauri yenu!
Hapa nawaza na kuwasilisha, mahakama ya Kenya imebatilisha matokeo ya uchaguzi kwa kile ilichokitaja kuwa ukiukwaji wa katiba na tume huru ya uchaguzi. Japo mahakama iliomba muda ili itoe maelezo kamili kuhusu ilivyofikia kwenye hayo maaamuzi, hivyo kwa kifupi hadi hapo hakuna anayejua nini sababu haswa za kufutwa kwa matokeo, sote tunasubiri kwa hamu taarifa kamili.
Ninachojiuliza, hivi inawezekana tukarudia uchaguzi na ufanyike mwanzo hadi mwisho bila dosari? Ama ndio tena tutajikuta kwenye hali hii hii baada ya siku sitini zijazo. Kama Wakenya tumejiandaa vipi, maana kampeni zimeanza, hivyo inamaana tutaburuzana kwa miezi miwili ijayo, ikumbukwe pia Raila naye ameanzisha mtiti dhidi ya tume, hivyo lazima patachimbika hadi awatolee nje viongozi wa tume kama alivyofanya kwa wale wa awali.
Vipi katiba inasema nini, ama inawezekana tukarudia chaguzi mpaka basi, maana kila ikitokea dosari tutarudi hapa. Binafsi nina furaha kwa kuona mahakama zetu zimedhihirisha kuwa huru, lakini nahisi sisi wenyewe hatupo tayari kwa demokrasia ya kiwango hicho.
Akhsante sana! Niliuliza hili suala kwa kuwa hapa kwenye tume ndo kuna kiini kizima na pengine sura ya nini kinaweza kutokea!
Kwanza ifahamike kuwa wakenya (nikimaanisha wananchi wa kawaida) hawana shida na kuhusiana na haya matokeo. Hata wale tunaowaona wakifanya fujo baada ya uchaguzi kama hakuna neno kutoka kwa hawa wanaotafuta madaraka hawawezi kuonekana wakifanya lolote.
Nikirudi kwenye hoja ya kuwa nabuchaguzi salama hadi mshindi akapatikana, hilo ni suala la kuombea kila mtu kwa imani yake, tena kuomba kweli kweli!
Tayari pande mbili hizi zimeshahitilafiana kimtazamo kuhusu hii tume ya uchaguzi na mipaka! Kama tume hii haitabadilishwa, kama nasa wanavyotaka, ni dhahili matokeo yasipokuwa upande wa nasa wataendelea kulalamikia tume hii na!
Halafu kitu kingine ambacho UK alikosea ni maamuzi ya kutangaza hadharani kuwa hawataibadilisha tume kama nasa wanavyotaka! Kwa jicho la pembeni unaweza kuhisi kuna kitu hapo hata kama hicho kitu hakipo. Nahisi UK angetumia vyombo husika vinavyohusika na kuiweka tume hii madarakani kuonyesha ugumu wa suala hilo kufanyika ndani ya kipindi kifupi hicho!
Lakini kitendo cha UK ambaye ni mgombea na rais kupinga kata kata kubadili tume, tena bila kutoa sababu yoyote ya kitaalamu zaidi ya kusema tu kuwa nasa wamekuwa wakiomba kufanya mambo mengi hivyo kwa hili hawatakubali, inaweza kuonekana kama kuna kitu cha ziada!
Kingine ambacho kwa mtazamo wangu hakikuwa kitu cha kuongea sa hizi ni masuala ya NUSU MKATE. Hayakuwa mambo ya kuongea sa hz maana yanaanza kupanda mbegu mbaya mapema!
Wito wangu kwa hawa wanasiasa wanaoomba madaraka ni kuwa waangalie maslahi ya wakenya! Wapambane tu kwa hoja na mshindi apatikane kihalali ili mambo mengine yaendelee!
Unaona hata hapa jukwaani mijadala ya maendeleo imesimama sababu ya hizi siasa!.
There will never be a perfect election and that's where i fault Judge Maraga's ruling.With 41000 polling stations and thousands of officials things will not go smoothly again.So are we gonna use the same excuse to nullify this and the next and the next repeat elections?Hapa nawaza na kuwasilisha, mahakama ya Kenya imebatilisha matokeo ya uchaguzi kwa kile ilichokitaja kuwa ukiukwaji wa katiba na tume huru ya uchaguzi. Japo mahakama iliomba muda ili itoe maelezo kamili kuhusu ilivyofikia kwenye hayo maaamuzi, hivyo kwa kifupi hadi hapo hakuna anayejua nini sababu haswa za kufutwa kwa matokeo, sote tunasubiri kwa hamu taarifa kamili.