USIMKOPESHE USIMKOPESHE USIMKOPESHEHabari zenu wazee wenzangu?
Iko hivi, kuna binti mmoja alikuwa mtu wangu back then. Sasa kutokana na harakati za maisha tukajikuta tumeachana, sema toka tuachane hatukuwa na ukaribu kivile.
So toka last week ananitafuta ananiomba nimkopeshe 800k ya ada ya mwanae kakwama then mwisho wa mwezi atanirudishia.
Kiasi hicho cha pesa naweza kupambana nikakipata ila wasiwasi wangu huyu mtu atanirudishia kweli hiyo pesa au ndio itakua bad debt?
Wenye uzoefu wa kuwakopesha ma ex wenu nipeni ushauri please!
Habari zenu wazee wenzangu?

Jichanganye ile kwakoHabari zenu wazee wenzangu?
Iko hivi, kuna binti mmoja alikuwa mtu wangu back then. Sasa kutokana na harakati za maisha tukajikuta tumeachana, sema toka tuachane hatukuwa na ukaribu kivile.
So toka last week ananitafuta ananiomba nimkopeshe 800k ya ada ya mwanae kakwama then mwisho wa mwezi atanirudishia.
Kiasi hicho cha pesa naweza kupambana nikakipata ila wasiwasi wangu huyu mtu atanirudishia kweli hiyo pesa au ndio itakua bad debt?
Wenye uzoefu wa kuwakopesha ma ex wenu nipeni ushauri please!
usijaribu kabisa zitaanza sababu lukuki mwishowe utaishia kula mbususu tuu na hela yako sahau kuipata.Habari zenu wazee wenzangu?
Iko hivi, kuna binti mmoja alikuwa mtu wangu back then. Sasa kutokana na harakati za maisha tukajikuta tumeachana, sema toka tuachane hatukuwa na ukaribu kivile.
So toka last week ananitafuta ananiomba nimkopeshe 800k ya ada ya mwanae kakwama then mwisho wa mwezi atanirudishia.
Kiasi hicho cha pesa naweza kupambana nikakipata ila wasiwasi wangu huyu mtu atanirudishia kweli hiyo pesa au ndio itakua bad debt?
Wenye uzoefu wa kuwakopesha ma ex wenu nipeni ushauri please!
Hahahahah hii phrase inachekesha mno, 'muongozo'[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanakuja kukupa muongozo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jiandae kulipwa tunda...
Jipige kifua mara tatu halafu sema 'mimi ni bwege mtozeni'Alipotea ghafla.
Akarudi akiwa ameolewa.
Nikajifanya mzungu kwamba tunaendelea kuwasiliana.
Akaniambia nimuazime 150K.
Nikajibu nina 100K.
Akaiomba hiyo hiyo ananirudishia mwisho wa mwezi.
Ilikua 2018 mpaka mwaka jana nikamuambia naongea sana na wewe kwavile una hela yangu.
Akashtuka 'Hivi kumbe unanidai!!?'
Nikajua kajilipa pensheni nimepiga kimya.
Kuliko wewe unayemegewa na wachaga?π π πJipige kifua mara tatu halafu sema 'mimi ni bwege mtozeni'
Huyo mtoto wake hana Baba aliye mzaa? Nakama anasema mwisho wa mwez ata kulipa kwanin asiende shulen akaombe mtoto asome mwisho wa mwez apeleke Ada?Habari zenu wazee wenzangu?