BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Kwenye circuit ya stabilizerFuse umeiondoa wapi? kwenye circuit ya stabilizer au kwenye wire unaoenda kwenye kuingia kwenye wall/switch socket.
Kwenye circuit ya stabilizerFuse umeiondoa wapi? kwenye circuit ya stabilizer au kwenye wire unaoenda kwenye kuingia kwenye wall/switch socket.
Kwenye circuit ya stabilizerFuse umeiondoa wapi? kwenye circuit ya stabilizer au kwenye wire unaoenda kwenye kuingia kwenye wall/switch socket.
Kwenye circuit ya stabilizer View attachment 3256335sina utaalamu sana na maswala ya umeme lakini kama umeiondoa fuse hapo na Bado inaendelea kufanya kazi basi Kuna shida..labda hiyo stabilizer inafanya kazi kama UPS Ina battery ya kutunza umeme ata kwa dakika 30. Jipe muda mkuu
Yaani anataka kuvuka mto bila kutumia daraja manaake anataka kupaa!!!!!Duuuh hatari
Je kazi ya fuse unaijua??
Kwa ufupi fuse inatoa kinga , ikitokea kuna mzigo mkubwa wa umeme au hitilafu ya umeme (kwa mantiki hiyo ni hatari sana kuondoa fuse kwenye stabiliser yako)
Mwisho wa siku ukishaitoa fuse , umeme unaoingia hauwezi ukadhibitiwa , kitu ambacho kinaweza kusababisha uharibifu mkubwa wa vifaa vyako vya umeme.
Hivi inawezekana ukaondoa FUSE kwenye stabilizer na bado ikandelea kuwaka na kufanya kazi au kuna tatizo
Hiyo stabiliser umeiona ina viashiria gani vya tatizo, usaidiwe.Wataalamu na wafundi wa electronics, Nina stabilizer ambayo leo sijaielewa.
Hivi inawezekana ukaondoa FUSE kwenye stabilizer na bado ikandelea kuwaka na kufanya kazi au kuna tatizo. Na km ni tatizo, litakuwa tatizo gani.
Nilitoa baada ya kuhisi imeungua baada ya kuona umeme unapungua nguvu lakini stabilizer haitoi sauti yoyote kuashiria kustabilize voltage ya umeme km ilivyo kawaida. Ndipo nikaona ikiendelea kuwaka hata baada ya kuchomoa FUSE.Kwanini uitoe?inakuzuia kufanya nini hata unataka kuitoa unahisi walioiweka walikosea na wewe ndiye mwenye akili sana au?