Huyu ChoiceVariable anaweza kukusaidia katika hilo.Tumekuwa tukisomewa budget za wizara zote ila sina kumbukumbu kama wananchi tuliwahi kujulishwa vyanzo vyote vya mapato na kiasi kinachopatikana kwenye kila chanzo kwa mwezi au mwaka...
Maji ataita mmaunataka uguse miradi ya watu...
Hakuna haja nilitegemea Wananchi mngeandamana kudai MAFISADI wa MAPATO yenu WANAUAWATumekuwa tukisomewa budget za wizara zote ila sina kumbukumbu kama wananchi tuliwahi kujulishwa vyanzo vyote vya mapato na kiasi kinachopatikana kwenye kila chanzo kwa mwezi au mwaka...
TRA Huwa inawatoa zile taarifa za robo zikiwakilisha Mapato ya Kila mwezi.Tumekuwa tukisomewa budget za wizara zote ila sina kumbukumbu kama wananchi tuliwahi kujulishwa vyanzo vyote vya mapato na kiasi kinachopatikana kwenye kila chanzo kwa mwezi au mwaka...
Ni vyema tukaanzia hapo kwenye taarifa za mapato.Hakuna haja nilitegemea Wananchi mngeandamana kudai MAFISADI wa MAPATO yenu WANAUAWA
Labda nifuatilie Bunge nipate taarifa. Ila point tatu za kwanza hazijitoshelezi.TRA Huwa inawatoa zile taarifa za robo zikiwakilisha Mapato ya Kila mwezi.
Pili Kuna ishu ya Halmashauri,zamani walikuwa wanasoma Mapato ila saizi Wizara haitoi hizo taarifa tena.
Tatu, Serikali Ina taasisi nyingi sana zinazokusanya Mapato , wengine wanatoa wengine hawatoi.
Mwisho saizi Bunge la Bajeti linaendelea ,ndio pale Kuna Mapato na matumizi ya Nchi yote Utajua vyanzo na matumizi yake.
Hazijajitosheleza kivipi? Hata huko kwenye Bunge hutojua maana utaoewa gross revenues na expenditures tuu.Labda nifuatilie Bunge nipate taarifa. Ila point tatu za kwanza hazijitoshelezi.
Si umesema kuna wanaotoa taarifa na wengine hawatoi. Sasa hapo imejitosheleza hiyo?Hazijajitosheleza kivipi? Hata huko kwenye Bunge hutojua maana utaoewa gross revenues na expenditures tuu.
Mkuu umejuaje hazijitoshelezi wakati umeuliza kujua, unajuzwa unasema hazijitoshelezi, unasanifu watu au??Labda nifuatilie Bunge nipate taarifa. Ila point tatu za kwanza hazijitoshelezi.
Taarifa karibu wote wanatoa ila hawatoi Kwa utaratibu sawa wa monthly au robo mwaka.Si umesema kuna wanaotoa taarifa na wengine hawatoi. Sasa hapo imejitosheleza hiyo?
Hizi taarifa ni muhimu sana.