Hivi inawezekanaje kijana miaka 28 bado yupo nyumbani

Hivi inawezekanaje kijana miaka 28 bado yupo nyumbani

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Hili toto nimelilea limemaliza shule halitaki kutoka nyumbani huu mwaka wa 8 Sasa wakuu nashindwa kuelewa toto kama Hilo haliwazi hata future yake na familia yake nawaza jinsi ya kulifukuza aisee

Naombeni mnipe principle ya kumfukuza maana mama yake analitetea zee kama hili Mimi ni baba yake wa kufikia
 
School mate wangu niliye maliza nae shule ya secondari ananiambia mwaka 2018"kaka sasa hivi nina mke na ninaongelea malioni".ilinifurahisha sana.
 
Back
Top Bottom